Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

Kuna utofauti gan kati ya rozali na tasbih? Nieleweshe tafadhal
 
Kuna utofauti gan kati ya rozali na tasbih? Nieleweshe tafadhal
 

Kabla ya mwaka 570 BK hakukua na mtu anaitwa "Muhammad" na yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kuitwa "Muhammad bin Abdullah" huu ni ushidi tosha ,Sasa kujua huyu mtu alikuwepo kweli inabidi tuasome historia yake....mtume amepigana vita vingi inafahamika na kwana namna yeyote vita lazima ibakishe alama na ndio maana nikakuletea alama ya vita vya battle of trench ,Machi 627 BK - Aprili 627 BK.
Nabadhi ya maandiko kumuhusu ambayo mengine hayapo kwenye sira na hayawakuandikwa waislamu ambao walitambua uwepo wake

Njia nyingine ya kungalia ushahidi wa existence yake kwa kungalia mabaki ya familia yake , watu wake wa karibu (masahaba) na viongizi wa kipindi chake...maana kama yeye hakuwepo basi hao watu wote watukuwa ni WA kusadikika pia. Can you handle this ?
 
Salaams. Nimependa majibu yako uliyojibu kwa weledi mkubwa. Lkn ktk kujibu swami hili nadhani kuna uelewa finyu miongoni kwa waislam wengi.
Yawezekana sababu hii inatokana na ufinyu la lugha ya kiswahili wa neno lenyewe.

Soma kwa kimombo lina maana nyingi.

Memorize (soma kwa maana -hifadhi kilichoandikwa), learn ( soma kitu kipya na elewa maana yake) , Read ( soma kilichoandikwa).

Naamini maana sahihi zaidi Mtume (S) aliamrishwa ni zote tatu na zote alizitekeleza. Lkn pale pangoni aliamrishwa a- Learn, na sio read au memorize kama waislam wangi wanavyoelewa.

Na context ya aya hii aliamrishwa elimu yeyote atakayoisoma sawa na maelekezo ya MwenyeziMungu. Kwa maana kusoma kuwa ni sehemu ya ibada. Na wala isiwe ni kama dhana za elimu nyingine lengo likiwa ni kupata ajira au mfano wa hayo...
 
Kwa sasa sina ila ntakutafutia

Ukristo umeanza miaka.mamia kabla ya uislam inakuwaje maandiko ya Biblia yanashabihiana na Qur'an? Je wana wa Israel ni waislam? Kama ndio mbona mnawachukia?
Najaribu kuweka sawa sentensi yako. Quran inashabihiana kwa kiasi kikubwa na agano la kale, has a taurati na zaburi.
 


Hebu tufafanulie kwamba uislamu ulianza Karne ya 9
 
Mche mola wako akhy...


( bid'a hasana),
Kila bida'a ktk ni upotovu na kila upotovu.....?
Lakini ni ajenda maalum iliyotengenezwa na wamagharibi ili kuupunguza nguvu uwislamu, kwani mawlid hutumika kuutangaza uwislamu.
Hii leo mpya....kwa hyo adi sasa uislamu ulivyoenea ni jitihada za maulidi?

Ila mche Allah,na iyogope sku ya mwisho.
 
Najaribu kuweka sawa sentensi yako. Quran inashabihiana kwa kiasi kikubwa na agano la kale, has a taurati na zaburi.
Toa na mfano...maana ukisoma torati inaelezea sifa Za nabii ambazo muhamad hakuwa nazo
 
Kwanini mnasema muhamad alikuwa nabii/mtume? Kuna uspecial Gani alikuwa nao?
 
Kwa nini ya Muhamad iwe real ya Yesu iwe uongo chief? Unaweza kutupa maelezo kidogo ya hapo ili tuelewe u real na uongo uko wapi?
KWASABABU hakuna andiko lolote la kihistoria au kidini linaloonyesha tarehe ya kuzaliwa yesu lakini yapo maandiko ya kihistoria na kidini yanayoonyesha tarehe halisi aliyozaliwa Muhamad
 
hicho kitendo si unyanyasaji wa kingono? mtoto wa miaka 9 uke unaweza kubeba uume wa mtu wa miaka 25? je , Mwanao wa miaka 9 akitolewa mahari na Hasheem dhabit -utaruhusu afanywe mapenzi?
kwanza kabisa mtume hakumuoa Aisha akiwa na miaka 25 bali kipindi anamuoa aisha mtume alikua na miaka 53 wakati aisha akiwa na miaka 9.kuhusu swali la je mwanangu nitaruhusu aoelewe akiwa na miaka tisa jibu ni NO na ishu sio hasheem thabiti wala nani ishu ni sitashiriki ukatili kwa mtoto
 
KWASABABU hakuna andiko lolote la kihistoria au kidini linaloonyesha tarehe ya kuzaliwa yesu lakini yapo maandiko ya kihistoria na kidini yanayoonyesha tarehe halisi aliyozaliwa Muhamad
Hakuna andiko hilo. Kinachofahamika ni kwamba Mtume alizaliwa siku ya j'tatu. Na hili alilithibitisha mwenyewe.
Kama unalo andiko sahihi kuhusu tarehe,mwezi tuwekee
 
kwamba mtume aliishi karne ya tisa ? au unamaanisha hakuwahi kuwepo
 
Kuna andiko lolote linalothibitisha? maandiko yote nimeona ni 40 kwa 25 hiyo 28 umeitoa wapi
Soma vitabu vikubwa vya siira au taarikh. Achana na khulaaswaat.
Jaribu kupitia kwenye siiratu ibn Hishaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…