Maswali kama haya usiya jibu OstadhiJe, Mtume alisema siku ya kiyama tutapewa mabikira 70?
Je, kama ndivyo tutatumia mkongo au alkasusu?
Ahsante tutayajibu yote kwa uwelediMaswali mengi na kejeli ndani yake,,
1.Mkongo Na alkasusu Ni Mambo Ya Maisha haya ya kidunia.Je, Mtume alisema siku ya kiyama tutapewa mabikira 70?
Je, kama ndivyo tutatumia mkongo au alkasusu?
Swali la msingi, lini hatuendi kazini kutokana na siku ya kuzaliwa mtume?Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570...
وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ
Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara mpaka ufuate mila zao. [Al-Baqarah (2: 120)]
Cha ajabu, kwa upande wa waisilamu wa jamiiforum n.k mada muhimu kama hizi huwezi waona ila wachache sana, hata kuchangia tuu hamna. Mleta mada anajikuta kaambulia wachangiaji wachache sana kama 2onavyo manaswara wameingia kuuliza maswali, na wengine wanapitisha kejeli,,,,. Lakinii nenda jukwaa la siasa, mapenzi, sports, jokes, international furum n.k utawakuta waislamu kama co wengi bac ni wachache wao wakichangia.
Madhehebu ni mafundisho, maadili na matendo ya ibada yaliyo ya msingi katika dini fulani. Hutumiwa pia kutaja makundi ndani ya dini fulani ambayo yanatofautiana bila ya kuvunja umoja wa msingi. Historia inashuhudia hata leo kwamba madhehebu mbalimbali ya dini ileile yanaweza kushindana hata kupigana vita.Mohammed alikua SHIA au SUNNI?
Waafrika tuna roho mbaya sana. Asante umejibu vizuri sana. Mi ni mkristu ila siwezi kumsema vibaya mtu wa dini nyingine hayatuhusu hayo mambo. Yetu tu yanatushinda tukomae na yetu na kuheshimiana ndo jambo la msingi.Cha ajabu wachangiaji watakuwa wa upande mwingine na kukejeli kwa kashfa na matusi
Ni ajabu moja nimeiona JF uzi ukiletwa wa wakristo wachangiaji wengi wanakuwa ni wakristo kwa mfano jana uzi kuhusu RC na ndoa...
baada ya jibu hili nimesitisha nilichotaka kuuliza, nimepata ukakasi na ujuzi na uadilifu wa mtoa mada.....kuna kitu kinaniambia tofauti, the guy is here just to make fun of islam!!!Kwa dini yetu ni sawa. Mwanamke wa miak 9 amepevuka! Sijui utofaut w hao wa miaka ile na sasa... Kislam mwanamke ni chombo tu kibachosevia uzazi na kumtumikia mume
Waafrika tuna roho mbaya sana. Asante umejibu vizuri sana. Mi ni mkristu ila siwezi kumsema vibaya mtu wa dini nyingine hayatuhusu hayo mambo. Yetu tu yanatushinda tukomae na yetu na kuheshimiana ndo jambo la msingi.
Kwa dini yetu ni sawa. Mwanamke wa miak 9 amepevuka! Sijui utofaut w hao wa miaka ile na sasa... Kislam mwanamke ni chombo tu kibachosevia uzazi na kumtumikia mume
Je ni ushahidi gani unathibitisha uislam ulikuwepo kabla ya Mtume Muhammed s.w.a?Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570...
Jitahidi kupitia marejeo yako(vitabu).Ahsante. Buraq maana yake ni "mwendo mkali mfano wa umeme" au kwa ujumla "ni kama mwanga wa radi") ni kiumbe katika mila ya Kiisilamu ambaye alitumika kama usafiri kwa manabii fulani. Buraq alimbeba nabii wa Kiislam Muhammad kutoka Makka kwenda Yerusalemu na kwenda juu mbinguni na kurudi usiku huo huo. Kwasababu alikuwa akikimbia sana, anatua pale macho yake yanapoishia kutazama, alikuwa kikimbia mfano wa speed ya mwanga.
Pia Ibrahimu alipomtembelea Hajiri na Ishmaeli. Ibrahimu aliishi na Sara huko Kanaani lakini usafiri wake ilikuwa ni Buraq walimsafirisha asubuhi kwenda Makka kuiona familia yake huko na kumrudisha jioni.
Ingawa Hadithi haionyeshi Buraq wazi kuwa na sura ya kibinadamu, bali hiyo ni sanaa ya Kiislamu ya Uhindi na Uajemi. Hii inaweza kuwa ilitokana na tafsiri ya kiumbe kuelezewa kuwa na "uso mzuri" kama uso wa kibinadamu badala ya mnyama.
wanasema sababu ya waislam kutokula kitimoto (nguruwe) japo wengine wanakula kwa kuvizia. Wanasema kwamba walimzika Muhhamad wakamuacha mkono unanin'ginia nje ili afufuke, nguruwe akapita nao.Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570.
Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa babu yake na Muhammad, Mzee Abdul Muttalib, ambaye alikuja, akamchukuwa mikononi mwake, na akampa jina hili la Muhammad.” Lenye maana ya MSIFIWA.
Nawakaribisha kuuliza maswali kuhusu mtume wetu huyu MUHAMMAD "amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake".
View attachment 1975182
Mimi nimehoji kwa lengo la kujua uhalisia wa hiyo habari kama zipo njia zilizowahi kuthibitisha hiyo habari.HAYA NI MAMBO YA KIIMANI ZAIDI. KWANI NI VIGEZO GANI VILIVYOTUMIKA KUTHIBITISHA MIMBA YA YESU, KWAMBA ILIPATIKANA BILA BABA? MIMI NA WW TUNAAMINI ILIPATIKANA KWA UWEZA WA ROHO MTAKATIFU, LKN WAYAHUDI MPK LEO WANAAMINI KWMB YESU NI MTOTO WA ZINAA