Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

Baada ya mtume kufa,kulizuka vita Kati ya familia yake na wakazi wengine wa mecca na Madina kuhusu nani aongoze wa Islam,na walioshinda na kuchukua uongozi waliitesa sana familia ya Mtume.
Na caliphs waliofuata baadae,wote waliuwawa,lakini Cha ajabu waislam duniani kote,huwa wanaamini kwamba kipindi hicho ndio golden age ya Uislam,yaani uislam ulitamaraki,na hutamani hizo zama zirudi
 
Acha ujinga wako wewe.Hizo kejeli ziko wapi?.Mtoa mada kasema aulizwe chochote kinachomuhusu Mtume.sasa unajua maana ya neno chochote.Kama huna majibu ya kinachoulizwa na watu kaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wako hadharani.
 
Sijaona kejeli yoyote kwenye maswali yaliyoulizwa.kwasababu mambo mengi ni story ambazo ziko uko mitaani sasa kama kuna mtu kajitolea kujibu maswali kwanini asiulizwe.na majibu ni simple tu.kua kama unajua jibu la swali unalijibu kama ulijui unasema sijui na kama unaona ni swali la kipuuzi unajibu tu simple kua hakuna hicho kitu.tusipende sana kucomplicate mambo ya dini wakati zimekuja tu na tutaziacha kama waliozianzisha walivyoziacha.
 
Waafrika tuna roho mbaya sana. Asante umejibu vizuri sana. Mi ni mkristu ila siwezi kumsema vibaya mtu wa dini nyingine hayatuhusu hayo mambo. Yetu tu yanatushinda tukomae na yetu na kuheshimiana ndo jambo la msingi.
Kwani wakati mtoa mada anatoa mada yake alilenga aulizwe na watu wa dini yake tu?.Angesema aulizwe na waislam wenzake sidhani kama kuna mtu wa dini nyingine angekuja kwenye huu uzi,ata hivyo naamini alilenga zaidi wasio wa dini yake ili kutoa elimu watu waelewe.sasa hizo nyingine ni porojo zenu watu wanafiki.
 
Wewe umeongea jambo bora zaidi.kwasababu nimeona kuna watu kwasababu yakukosa majibu sahihi ya maswali yaliyoulizwa wanakimbilia kusema hizo porojo za kejeli.Japo siafiki sana tukawa na utengano kwenye kujifunza mafundisho yoyote ya hizi dini.
 
Acha ujinga wako wewe.Hizo kejeli ziko wapi?.Mtoa mada kasema aulizwe chochote kinachomuhusu Mtume.sasa unajua maana ya neno chochote.Kama huna majibu ya kinachoulizwa na watu kaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wako hadharani.

Wewe mnafiki usiekuwa na soni ficha uozo huu
Unaonyesha kwa matamko yako na mwandiko wako wewe ni chokoraa
Umekuja na maneno ya kipumbavu hapa

Unaonekana unatafuta mume kwa nguvu
Don’t quote me again you dickhead
 
Wewe mnafiki usiekuwa na soni ficha uozo huu
Unaonyesha kwa matamko yako na mwandiko wako wewe ni chokoraa
Umekuja na maneno ya kipumbavu hapa

Unaonekana unatafuta mume kwa nguvu
Don’t quote me again you dickhead
Mnafiki ni wewe.Unashindwa kujibu maswali unajificha kwenye ujinga.kama husomi koran sema sio kutapatapa nakujaa jazba zisizo na msingi.Mbona mtoa mada kajibu maswali vizuri wewe kilichokushinda nini hadi ukakimbilia kuleta utengano wa kidini.Acha chuki zakishamba wewe.
 
Wewe mnafiki usiekuwa na soni ficha uozo huu
Unaonyesha kwa matamko yako na mwandiko wako wewe ni chokoraa
Umekuja na maneno ya kipumbavu hapa

Unaonekana unatafuta mume kwa nguvu
Don’t quote me again you dickhead
Alafu acha kabisa kunitishia wewe.Kama hujui sema hujui sio kuleta mikwara mbuzi utadhani Jf yakwako.
 
We khurafi la kisufi acha kueneza uzushi wako wakijahili, ibrahiim hakuwah kutumia buraq bali alitumia faras wakawaida, elim iliyochanganyika na ujahili ni sumu mbaya sana ktk jamii
 
Ahsante ndugu, tupatie mtazamo wako wa elimu na mafundisho yako yanasemaje ili watu wapate kufahamu ukweli
mbona historical background inaonesha kabila la wa kuraish wa pale Makka walikua wapagan na waabudu miungu yaani makafiri maana inaonesha Mohammed kupata Nuru ni zile safari zake za kwenda sehemu mbali mbali na huko akakutana na Mayahudi wakamfundisha dini na dhana ya Mungu Mmoja yaani Imani ya Abraham Babu wa Wayahudi na hapo akawa anaabudu Kama Mayahudi walivyo na Alikua akitunza sabato Kwa kusali kuelekea Jerusalem,
Hapo ni kabla hajapata mafunuo na kushukiwa na Jibril Kule mapangoni
Sasa hapa utanambiaje kua baba wa Mohammed Alikua na Imani ya Abraham ilihali mwanae alianza kufuata dini za kiyahudi akiwa mkubwa?
 
Kwa mantiki hiyo ni halil kufanya birthday party ata kwa waislam wengne?
 
Wote wanajibiwa acha uoga na kupandikiza chuki
 
Neno muuaji kwa tafsiri IPI?
 
Yaani uikashifu dini yako please
Haihitaji rocket science kumjua adui
Kwani hii thread umetoa wew alieandika kasema uliza chochote na icho kinachoulizwa ni chochote kwaiyo maswali ya kejeli unayoyaona hujibiwa kwa fact zile konki muulizaji atakimbia mwenyw ndio maana ya mjadala wa maswali na majibu,,,, NB fatilia mihadhara utaona how Muslim walivo na kejel sio vimaswali by humu ambavy havina kichw wal miguu na unaita kejeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…