Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

Aisha alikua na miaka 6 lakini aliamza kulala nae kama mke akiwa na miaka 9.
Hadija alikua na miaka 40 pindi anaolewa na mtume ambaye alikua na miaka 25 .
Kuhusu kupita na mke wa jamaa alipomtembelea sijui ingawa alimuoa mke wa zayd lakini baada ya kuachwa na zayd
hicho kitendo si unyanyasaji wa kingono? mtoto wa miaka 9 uke unaweza kubeba uume wa mtu wa miaka 25? je , Mwanao wa miaka 9 akitolewa mahari na Hasheem dhabit -utaruhusu afanywe mapenzi?
 
Sio ngamia tena..?hao farasi na jangwa wapi na wapi..wafia dini hata logic tu ndogo hamna.

#MaendeleoHayanaChama
Duh
images%20(2).jpg
 
Sijaona kejeli yoyote kwenye maswali yaliyoulizwa.kwasababu mambo mengi ni story ambazo ziko uko mitaani sasa kama kuna mtu kajitolea kujibu maswali kwanini asiulizwe.na majibu ni simple tu.kua kama unajua jibu la swali unalijibu kama ulijui unasema sijui na kama unaona ni swali la kipuuzi unajibu tu simple kua hakuna hicho kitu.tusipende sana kucomplicate mambo ya dini wakati zimekuja tu na tutaziacha kama waliozianzisha walivyoziacha.
👉Je, Mtume alisema siku ya kiyama tutapewa mabikira 70?
👉Je, kama ndivyo tutatumia mkongo au alkasusu?

👉Ni kweli hakutahiriwa alikuwa govi? Na kama ni kweli kwa nini aliiga vyote akashindwa kuiga kutahiriwa? Au alikuwa anaogopa kitu chenye ncha kali?

👉Tumepigwaaaaaa
Nasemaje tumepigwaaaaaaaa!
Sheikh wangu hapa umenipiga kamba kubali ukatae!

👉Wafia dini bhna.

👉unawaambia nini wanaokataa kuwa Muhammad si muuaji?.
 
Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570.

Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa babu yake na Muhammad, Mzee Abdul Muttalib, ambaye alikuja, akamchukuwa mikononi mwake, na akampa jina hili la Muhammad.” Lenye maana ya MSIFIWA.

Nawakaribisha kuuliza maswali kuhusu mtume wetu huyu MUHAMMAD "amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake".

View attachment 1975182
Kwanini mnaadhimisha Maulidi (Mazazi) ya Mtume ?
 
Eti ni kweli alipaa angani na mnyama aitwaye "buraq" ambaye anamuonekano wa farasi jamii ya punda ila yeye ana kichwa cha mwanamke?

Tukio hilo liliwahi kutokea kweli au ni masimulizi tu kunogesha stori?
Wewe hizi habari umezipata wapi ?
 
Je ni kweli mtume alikuwa hajui kusoma na kuandika?Na vp kuhusu kupokea aya za kishwetan!??
Ndio ni kweli, kwasababu inasema "Na wewe hukusoma kabla ya utume kitabu chochote, wala hukuandika kitabu chochote kwa mikono yako mwenyewe, la sivyo wasomi wangekuwa na sababu ya shaka." Kwa hivyo ni wazi kama Mwenyezi Mungu anatuarifu hapa kwamba Mtume (saw) hakuweza kusoma wala kuandika. Hii ni miujiza kwa mtume wetu.

Wakati wa Mtume, Uarabuni hakukuwa na mfumo wowote wa masomo. Wale ambao walitaka kujifunza kusoma na kuandika walipaswa kupata mtu anayesoma aliye tayari kufundisha na kisha kuwa mwanafunzi wake. Kwa hivyo, asilimia ndogo ya watu walikuwa wakisoma.

Mtume alizaliwa yatima, baba yake alikufa ilihali yeye yuko tumboni, mama yake alikufa akiwa na miaka sita, na hata babu yake alikufa akiwa na miaka nane, wakati alipolelewa na mjomba wake ambaye alikuwa amebanwa sana kifedha. Mtume alianza kuchunga mbuzi wa watu wengine katika umri mdogo. Alipokuwa na umri wa miaka 12, mjomba wake alipanga kwenda safari ya kibiashara, lakini Nabii ambaye tayari alikuwa amepoteza walezi watatu mmoja baada ya mwingine, alihisi kama anaachwa na alisikitishwa na mipango ya mjomba wake, kwa hivyo mjomba huyo alikwenda nae kwa safari hiyo ya biashara. Halafu, katika miaka ya mapema ya 20 alianza kutumikia kama mfanyabiashara wa Bi Khadija ambaye baadae alikuja kuwa mke wake wa kwanza. Khadeejah. Aliweza kuchukua ujuzi wa kununua na kuuza kwa wakati unaofaa, lakini hakuwahi kupata nafasi yoyote ya kupata anasa ya kusoma au kuandika.
 
Tukio hilo liliwahi kutokea kweli au ni masimulizi tu kunogesha stori?
Masimulizi ya kunogesha stori yana sifa gani na unayatofautisha vipi na masimulizi yasiyo ya kunogesha stori ?

Lengo la maswali haya ili ujibiwe maswali yako vizuri na usije kurudia tena maswali ambayo utakuwa umejibiwa.
 
Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570.
Je ni kweli mtume alizaliwa tarehe 12 ? Ushahidi wa hili uko wapi ? Je vipi kuhusu tarehe 8 ?
 
Mgawanyiko wa mwezi ni muujiza wa kweli katika mila ya Waislamu inayohusishwa na nabii wa wetu Muhammad. Kisa hicho kimeelezwa kwenye Qur'an 54: 1-2, Maswahaba pia walisema ''Tulikuwa pamoja na Mjumbe wa Mungu huko mlima wa Mina, mwezi huo uligawanyika mara mbili. Sehemu moja yake ilikuwa nyuma ya mlima na ile nyingine ilikuwa upande huu wa mlima.''
praise allah
 
Masimulizi ya kunogesha stori yana sifa gani na unayatofautisha vipi na masimulizi yasiyo ya kunogesha stori ?

Lengo la maswali haya ili ujibiwe maswali yako vizuri na usije kurudia tena maswali ambayo utakuwa umejibiwa.
Kama yale ambayo yameelezwa kwenye dini tofauti na yako na hukubaliani nayo kua yana uhalisia
 
tayari nisha jibiwa, nenda kamuulize aliyejibu kazielewaje
Hujajibu swali nililo kuuliza. Jibu lake nimeliona.

Ndiyo maana nikakupa angalizo usije kuuliza tena maswali ambayo umejibiwa

Kingine jitahidi sana uwe mtafiti wa mambo siyo unachukua chukua kisha unajenga hoja kwayo.
 
Back
Top Bottom