Yeye (
Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake,
Abu Talib, katika “mtaa wa
Bani Hashim” huko
Makka, tarehe
12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa
Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe
8 Juni 570.
Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w),
Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa babu yake na Muhammad,
Mzee Abdul Muttalib, ambaye alikuja, akamchukuwa mikononi mwake, na akampa jina hili la
Muhammad.” Lenye maana ya
MSIFIWA.
Nawakaribisha kuuliza maswali kuhusu mtume wetu huyu MUHAMMAD "amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake".
View attachment 1975182