fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
UKURASA WA NGAPI? unaweza ukascreen shot tuoneSoma vitabu vikubwa vya siira au taarikh. Achana na khulaaswaat.
Jaribu kupitia kwenye siiratu ibn Hishaam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKURASA WA NGAPI? unaweza ukascreen shot tuoneSoma vitabu vikubwa vya siira au taarikh. Achana na khulaaswaat.
Jaribu kupitia kwenye siiratu ibn Hishaam
Sipo karibu na kitabu muda huuUKURASA WA NGAPI? unaweza ukascreen shot tuone
Stori zake zilitungwa karne ya 9kwamba mtume aliishi karne ya tisa ? au unamaanisha hakuwahi kuwepo
una maana hajawahi kuexist? mbona kaburi lake lipo ,sehemu zote alizopita zinaexist hadi leo,Stori zake zilitungwa karne ya 9
Hata mimi akida 2002 nakumbukHii picha ilishawahi niathiri kisaikolojia nilipokuwa mtt kwa kupanda bus lenye picha hii nilishtuka sana
Hiyo tarehe uliyo itaja ni tarehe aliyo fariki sio tarehe aliyo zaliwa.Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570.
Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa babu yake na Muhammad, Mzee Abdul Muttalib, ambaye alikuja, akamchukuwa mikononi mwake, na akampa jina hili la Muhammad.” Lenye maana ya MSIFIWA.
Nawakaribisha kuuliza maswali kuhusu mtume wetu huyu MUHAMMAD "amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake".
View attachment 1975182
Ila waafrika hapa tulikamatwa Sana akili.Ad-uuka ahmad ya Muhammad,
Yaa Sayyidarrussuli al muqadam
(Allahumma swallii aala Muhammad Yaa rabbi swalli alayhi wasallim)
Ish-faa ilaallahi ya Muhammad,
Yawmal qiyamat kay una-aam
(Allahumma swallii aala Muhammad Yaa rabbi swalli alayhi wasallim)
Arjuu sh-shafaat min Muhammad,
Law kuntu artakibu al muharram
(Allahumma swallii aala Muhammad Yaa rabbi swalli alayhi wasallim)
Man jaa wamal jaana Muhammad,
Yawmal hawaani bihi tahash-sham
(Allahumma swallii aala Muhammad Yaa rabbi swalli alayhi wasallim)
Wannuru jaa-abihi Muhammad,
Wal haqqu buyyina in takallam
(Allahumma swallii aala Muhammad Yaa rabbi swalli alayhi wasallim)
Aala ssamaai samaa Muhammad,
Jibriilu qaala lahu taqaddam
(Allahumma swallii aala Muhammad Yaa rabbi swalli alayhi wasallim)
Wal jun-du hiina ghazaa Muhammad,
Minhum Mmalaaikatun tasawwam
(Allahumma swallii aala Muhammad Yaa rabbi swalli alayhi wasallim)
Waddinu adh-harahuu Muhammad,
Walkufru abtwalahu fahaddam
(Allahumma swallii aala Muhammad Yaa rabbi swalli alayhi wasallim)
Kwanini alimbaka Aisha wakati yeye akiwa na miaka 54 na mtoto Aisha akiwa na miaka 9 tu? Mungu anaruhusu ubakaji kwa watoto kweli?Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570.
Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa babu yake na Muhammad, Mzee Abdul Muttalib, ambaye alikuja, akamchukuwa mikononi mwake, na akampa jina hili la Muhammad.” Lenye maana ya MSIFIWA.
Nawakaribisha kuuliza maswali kuhusu mtume wetu huyu MUHAMMAD "amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake".
View attachment 1975182
Yale yale tu, hivi vitabu vimetungwa na watu na si Mungu. Constantin The 1st akishirikiana na wafalme 12 wa nchi za Ulaya ndiyo waliotunga Ukristu na sheria zake. Hawakuwa na siku maalum ya sherehe ya dini yao, wakakopi siku kuu nyingi za kipagani na za Misri (Kiafrika). Waafrika tumechezewa sana akili na hizi dini za kuletewa na ndiyo maana siku za nyuma tukiwa wadogo sie tuliyetaka kujuwa ukweli tulikatazwa kuuliza maswali na kuambiwa kila kilichoandikwa kwenye Quran na Biblia ni neno sahihi la Mungu, kuuliza maswali ni dhambi. What kind of crap is this, Mohammad na mitume wengi walikuwa wauwaji...Mungu anaruhusu haya kweli?siku ya kuzaliwa yesu sio realistic maana haijaandikwa popote ni kundi flani liliamua kuitenga tar 25/12 ,wangeweza kuitenga siku yoyote ile ila ya muhamad ni real
Doh! Kwamba Wakristo waliokuwa wanateswa na Neeo, Domitian et al mamia ya miaka kabla ya Constantine walikuwa wanatumia sheria zipi? Au Constantine alitunga akafa na kuja kufufuka mamia ya miaka baadaye?Yale yale tu, hivi vitabu vimetungwa na watu na si Mungu. Constantin The 1st akishirikiana na wafalme 12 wa nchi za Ulaya ndiyo waliotunga Ukristu na sheria zake.
Biblically hizo siku hazipo. Kikristo siku zote ni za Bwana na unaruhusiwa kusheherekea. Yesu hakuzaliwa tar 25/12. Hilo liko wazi. Lakini Mkristo hafingwi kusheherekea kuzaliwa, maisha. Kufa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu muda wowote. Ndio maana kuwa wengine wana tarehe tofauti na 25/12 na pasaka vivyo hivyo.Hawakuwa na siku maalum ya sherehe ya dini yao, wakakopi siku kuu nyingi za kipagani na za Misri (Kiafrika).
Ukiwa mjinga hata wa vitu vidogo hivi lazima uchezewe sana. Sasa kama unaandika kwa confidence kabisa Ukristo ulianza na Constantine karne ya tatu wakati historia iko wazi ulianza karne ya kwanza, kwa nini usichezewe?Waafrika tumechezewa sana akili
Kama vtu vya kuletewa ni vibaya tupa basi na hiyo simu, tupa nguo kavae magome ya miti. Ujinga wa kuacha kupima kitu on merit na kuanza kulialia vya kuletewa na unaandika kwa kutumia simu ya kuletewa kwenye software ya forum ya kuletewa, ni ujinga mkubwa!na hizi dini za kuletewa
Sasa unaulaumu Ukristo kwa ujinga wa uliowauliza? Kwa akili hizi lazima uchezewe sana. Biblia inakualika kuhojina ndiyo maana siku za nyuma tukiwa wadogo sie tuliyetaka kujuwa ukweli tulikatazwa kuuliza maswali na kuambiwa kila kilichoandikwa kwenye Quran na Biblia ni neno sahihi la Mungu, kuuliza maswali ni dhambi.
Hilo la Muhammad nitawaachia Waislam wakujibu. Ila hakuna mtume wa Kikristo hata mmoja aliua kwa sababu ya dini. In fact mitume wote 11 ukiacha Yohana pekee waliuawa wakihubiri injili. Kwa hiyo kama ulikuwa unahisianisha hii comment na Ukristo, hakuna kitu kama hicho huku!What kind of crap is this, Mohammad na mitume wengi walikuwa wauwaji...Mungu anaruhusu haya kweli?
Wa miaka 9Kwa nini alioa binti mdogo khadja?
Je, hii ni sawa?
Waweza kuwa uko sahihi lakini ukweli kuwa huo ukristo umeletewa kama ulivyoletewa simu. Sasa kujifanya unaujua kuliko waliokuletea si sawa na jua siyo asili yakoDoh! Kwamba Wakristo waliokuwa wanateswa na Neeo, Domitian et al mamia ya miaka kabla ya Constantine walikuwa wanatumia sheria zipi? Au Constantine alitunga akafa na kuja kufufuka mamia ya miaka baadaye?
Biblically hizo siku hazipo. Kikristo siku zote ni za Bwana na unaruhusiwa kusheherekea. Yesu hakuzaliwa tar 25/12. Hilo liko wazi. Lakini Mkristo hafingwi kusheherekea kuzaliwa, maisha. Kufa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu muda wowote. Ndio maana kuwa wengine wana tarehe tofauti na 25/12 na pasaka vivyo hivyo.
Ukiwa mjinga hata wa vitu vidogo hivi lazima uchezewe sana. Sasa kama unaandika kwa confidence kabisa Ukristo ulianza na Constantine karne ya tatu wakati historia iko wazi ulianza karne ya kwanza, kwa nini usichezewe?
Kama vtu vya kuletewa ni vibaya tupa basi na hiyo simu, tupa nguo kavae magome ya miti. Ujinga wa kuacha kupima kitu on merit na kuanza kulialia vya kuletewa na unaandika kwa kutumia simu ya kuletewa kwenye software ya forum ya kuletewa, ni ujinga mkubwa!
Sasa unaulaumu Ukristo kwa ujinga wa uliowauliza? Kwa akili hizi lazima uchezewe sana. Biblia inakualika kuhoji
“Haya, leteni maneno yenu, asema BWANA; toeni hoja zenu zenye nguvu, asema mfalme wa Yakobo.” Isa 41:21
“Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa hofu.”
1 Pet 3:15
Kwa hiyo kama Biblia inakualika kuhoji na inafundisha tuwe tayari kuwajibu watu wenye maswali wewe unacholaumu ni kipi? Naamini ni ule ule ukinga wa kukosoa usichokijua. Yaani unakosoa kwa kutumia ufahamu wa kusikia ma sio wa kujifunza wewe mwenyewe.
Hilo la Muhammad nitawaachia Waislam wakujibu. Ila hakuna mtume wa Kikristo hata mmoja aliua kwa sababu ya dini. In fact mitume wote 11 ukiacha Yohana pekee waliuawa wakihubiri injili. Kwa hiyo kama ulikuwa unahisianisha hii comment na Ukristo, hakuna kitu kama hicho huku!
Nikushauri tu ujifunze Ukristo na kuuelewa nadala ya ule wa kukaririshwa na kukariri. Ili hata ukiamua kuukosoa angalau makosoo yawe ni yenye mantiki
Bado huelewi?Ila waafrika hapa tulikamatwa Sana akili.
Duuh aiseeAhsante. Buraq maana yake ni "mwendo mkali mfano wa umeme" au kwa ujumla "ni kama mwanga wa radi") ni kiumbe katika mila ya Kiisilamu ambaye alitumika kama usafiri kwa manabii fulani. Buraq alimbeba nabii wa Kiislam Muhammad kutoka Makka kwenda Yerusalemu na kwenda juu mbinguni na kurudi usiku huo huo. Kwasababu alikuwa akikimbia sana, anatua pale macho yake yanapoishia kutazama, alikuwa kikimbia mfano wa speed ya mwanga.
Pia Ibrahimu alipomtembelea Hajiri na Ishmaeli. Ibrahimu aliishi na Sara huko Kanaani lakini usafiri wake ilikuwa ni Buraq walimsafirisha asubuhi kwenda Makka kuiona familia yake huko na kumrudisha jioni.
Ingawa Hadithi haionyeshi Buraq wazi kuwa na sura ya kibinadamu, bali hiyo ni sanaa ya Kiislamu ya Uhindi na Uajemi. Hii inaweza kuwa ilitokana na tafsiri ya kiumbe kuelezewa kuwa na "uso mzuri" kama uso wa kibinadamu badala ya mnyama.
Hakuna anaejuw buraq anafananaje hixo nyingine ni storyEti ni kweli alipaa angani na mnyama aitwaye "buraq" ambaye anamuonekano wa farasi jamii ya punda ila yeye ana kichwa cha mwanamke?
Tukio hilo liliwahi kutokea kweli au ni masimulizi tu kunogesha stori?