Uchaguzi 2020 Tumechangishwa tena michango. Nimeuchuna, sijatoa

Na were mada zako za michango tuondolee hapa kwani umelazimishwa acha umbea
 
Usitoe hata mia
Ungekuwa kweli unaipenda Chadema usingetoa comment ya kipuuzi kama hiyo hapo juu, wewe ni mshamba unaejaribu kuchezea akili za wajanja, rudi bush, toka jana nimekuchora leo nakupa za uso wewe kubwa jinga.
 
Si mnasema wametumwa na MABEBERU? ina maana hao MABEBERU hawajawapa pesa hadi wanachangishana? Ukiwa Ccm hata uwe na PhD unakuwa mpumbavu kama mwenyekiti tu
Waliwapa masharti mpaka yatokee maandamano na polisi waumize watz ndiyo wanaanza kuleta pesa. Ndiyo maana unamwona Lissu kila mara anataka watu waandamane lakini watz hawataki kabisa wanampenda sana Magufuli umeona leo nyomi ya Dodoma...!!?? Jiji la Dodoma lilisimama!!
 
Ungekuwa kweli unaipenda Chadema usingetoa comment ya kipuuzi kama hiyo hapo juu, wewe ni mshamba unaejaribu kuchezea akili za wajanja, rudi bush, toka jana nimekuchora leo nakupa za uso wewe kubwa jinga.
Kachange pesa huko saccos imefulia pesa zote walizochanga wabunge wa Saccos Mwenyekiti Faru John na kundi lake amezipiga!!
 
Nazani chadema walitakiwa kabla ya kuchangisha waseme rudhuku zimefanya kaz gan.
 
Kachange pesa huko saccos imefulia pesa zote walizochanga wabunge wa Saccos Mwenyekiti Faru John na kundi lake amezipiga!!
Nimeshachanga, mwambie huyo boga mwenzio aiteme Chadema.
 
Ifike wakati waone aibu hata rungwe haombi pesa tena anagawa maubwabwa nyie kuomba pesa kama ombaomba wa ubungu
 
Haujalazimishwa hata US kuna michango kwenye siasa cha ajabu kipi. Unataka pesa zitoke serikalini kama wale waliojibinafsisha viwanja vya serikali?
 
Hivi nyie kila siku ni michango tu kwani mko harusini au mkutanoni si mtoke tu🤣😂
 
Mbona dawa ndogo tu, kampeni za Chadema usiende na simu au ukisikia "Tufikishe ujumbe kwa Magufuli, bonyeza nyota 150 nyota 01 nyota.... " Jua ni wizi wa mtandao. Zima simu chomoa na battery.
Hii ndio dawa yao
 
Wewe gamba una kiherehere sana, mnafiki fulani unaejidai kuipenda Chadema kumbe ni muongo, hata hiyo mikutano nani mwenye akili timamu atakaeamini unaenda?

Wewe ni Idiot.
Nimeenda na kesho pale tabata liwiti ninaenda tena.
Ila mkianza kuchanga pesa, tutawaongopea tena kuwa hakuna network
 
Na were mada zako za michango tuondolee hapa kwani umelazimishwa acha umbea
Sasa kama hatujalazimishwa kwa nn kila mkutano mnatuambia tutoe simu zetu alafu tubonyeze *150*00#???
 
Ungekuwa kweli unaipenda Chadema usingetoa comment ya kipuuzi kama hiyo hapo juu, wewe ni mshamba unaejaribu kuchezea akili za wajanja, rudi bush, toka jana nimekuchora leo nakupa za uso wewe kubwa jinga.
Unataka tutoe pesa tunazitolea wapi?? Tunawacjangiaje watu ambao wamechukua kiinua mgongo zaidi ya mil 200???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…