Uchaguzi 2020 Tumechangishwa tena michango. Nimeuchuna, sijatoa

Kafilisiwa kabla ya kampeni kuanza?
Achana na habari ya mbowe hapa tunaongelea cdm. Kuendesha kampeni si gharama ndogo eti;!! Hugo mbowe mwenyewe ni kama kafilisiwa
 
Katoe kwa Gwajima aendelee kukumwagia miuno moto.
 
Sema huna hata mia, kapulu mkubwa wewe, utakuta unaishi kwa shemeji yako umekosa ajaira na bado huoni kama ni tatizo, siku dada yako akiachika utaelewa
 
Ni kweli sina ajira na ndio.maana nimeshindwa kuchanga hizo pesa
Sema huna hata mia, kapulu mkubwa wewe, utakuta unaishi kwa shemeji yako umekosa ajaira na bado huoni kama ni tatizo, siku dada yako akiachika utaelewa
 
You are in love with CHADEMA. Wape publicity kama unavyofanya...
 
Si mnasema wametumwa na MABEBERU? ina maana hao MABEBERU hawajawapa pesa hadi wanachangishana? Ukiwa Ccm hata uwe na PhD unakuwa mpumbavu kama mwenyekiti tu
Mabeberu walizituma kupitia NGO fulani ya Haki za Binadamu Tanzania ila zimezuiliwa bank kutumika hadi upelelezi wa kusudi wa hela hizo utakapokamilika.
 
Hahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…