Tumechoka na Kampeni za Hedhi Salama 'Maredioni'. Himizeni Mabinti kuacha Tamaa na Kumomonyoka Kimaadili

Kila Siku tu ukifungulia Redio mbalimbali Mada nyingi ni Hedhi kwa Mabinti hadi wengine sasa mnatutia Kinyaa tu kutokana na wengine kuelezea jinsi Damu zinavyotoka.

Huu muda mnaoutumia kufanya Kampeni za Hedhi Salama kwa Mabinti utumieni katika Kuwajenga zaidi Kimaadili na kuwaasa waache Tamaa na wasiwe Mazuzu ( Majuha ) katika Jamii.

Mbona miaka ya zamani akina Bibi zetu, Mama zetu, Shangazi zetu na Dada zetu walikuwa hawapati Changamoto zozote na Shule walikuwa Wanaenda, Wanafaulu, walikuwa Werevu na mpaka Wametuzaa Sisi Watoto Wao tuliorithi Uwerevu wao?

Acheni Unafiki na jikiteni katika Mambo ya Msingi juu ya hawa Mabinti na siyo Kelele za Kutwa za Hedhi Salama.

Nimemaliza.
Kweli hawa mabinti wanajielewa na wanapata elimu za kujitunza maeneo mbalimbali haikuwa lazima hadi vipindi maalum ktk vyombo vya habari.Wengine wanatupia mbinu ya kutoa peds mashuleni wanaenda kujitangaza ili wajulikane taasisi fulani au wafanyabiashara fulani.Uzembe unawapa watu fursa.
 
Ila wadada wa sasa wamejawa na tamaa sana, yaani ngono kwao ni kama basic needs. Hali inatisha sana huku mtaani.
 
Kila Siku tu ukifungulia Redio mbalimbali Mada nyingi ni Hedhi kwa Mabinti hadi wengine sasa mnatutia Kinyaa tu kutokana na wengine kuelezea jinsi Damu zinavyotoka.

Huu muda mnaoutumia kufanya Kampeni za Hedhi Salama kwa Mabinti utumieni katika Kuwajenga zaidi Kimaadili na kuwaasa waache Tamaa na wasiwe Mazuzu ( Majuha ) katika Jamii.

Mbona miaka ya zamani akina Bibi zetu, Mama zetu, Shangazi zetu na Dada zetu walikuwa hawapati Changamoto zozote na Shule walikuwa Wanaenda, Wanafaulu, walikuwa Werevu na mpaka Wametuzaa Sisi Watoto Wao tuliorithi Uwerevu wao?

Acheni Unafiki na jikiteni katika Mambo ya Msingi juu ya hawa Mabinti na siyo Kelele za Kutwa za Hedhi Salama.

Nimemaliza.
Haya ndugu yangu ni matangazo ya biashara chini ya mgongo wa kampeni; wanaona kuyatoa kama matangazo ya biashara gharama iakuwa ni kubwa, kwa sababu itabidi walipie na wawalipe wahusika wa matangazo hayo.

Mimi mwenyewe nilishalalamika siku nyingi sana kuhusiana na huu upupu. Hii kitu inasababisha mmonyoko wa maadili pasipo kuwa na sababu za msingi. Hadi mtu unafikia hatua unajiuliza, hivi huko tukikotoka, hedhi haikuwepo? Nashukru kwamba na wewe pia umeliona hilo
 
Kila Siku tu ukifungulia Redio mbalimbali Mada nyingi ni Hedhi kwa Mabinti hadi wengine sasa mnatutia Kinyaa tu kutokana na wengine kuelezea jinsi Damu zinavyotoka.

Huu muda mnaoutumia kufanya Kampeni za Hedhi Salama kwa Mabinti utumieni katika Kuwajenga zaidi Kimaadili na kuwaasa waache Tamaa na wasiwe Mazuzu ( Majuha ) katika Jamii.

Mbona miaka ya zamani akina Bibi zetu, Mama zetu, Shangazi zetu na Dada zetu walikuwa hawapati Changamoto zozote na Shule walikuwa Wanaenda, Wanafaulu, walikuwa Werevu na mpaka Wametuzaa Sisi Watoto Wao tuliorithi Uwerevu wao?

Acheni Unafiki na jikiteni katika Mambo ya Msingi juu ya hawa Mabinti na siyo Kelele za Kutwa za Hedhi Salama.

Nimemaliza.
Maxence mello akupe cheo hapa JF,katika vitu vya msingi umeongea ni pamoja na hiki.
 
Nimefurahi sana kumtaja huyu Mtani wangu wa Kihaya, Kaka na Rafiki yangu Maxence Melo International Certified Digital Security Expert ambaye Siku zote nimekuwa nikitamani nifikie angalau hata tu 50% ya IQ yake Kubwa ya 100%. Ninamkubali mno na hata Yeye analijua hili.
 
Hiyo ni biashara nyuma ya mgongo wa kampeni ya kusaidia mabinti.

Kuna mtu kama flaviana matata alitengeneza Pedi zake zikawa hazitoki maana standard yake na bei ya soko ikawa mtihani kuuza bei ya chini na kukamata soko.

Ikabidi aunde kampeni kijanja kwa kushirikiana na viongozi mashosti hawa wadada kama ummy mwalimu ili wamsaidie kupush ajenda kwenye vyombo vya serikali kama mawizara na bunge kupendekeza kampeni maalumu ya raia kusaidia kuchangia mabinti vijijini kununuliwa pedi na kupewa bila kulipia hata mia.

Hii imesaidia hizi kampuni kubreak even kibiashara na kuweza kupona kupata hasara ambayo wangeipata kama wangeuza pedi kikawaida. Kiongozi anakula percentage yake kwenye hayo mauzo, na mwenye biashara anapata mpunga wake maisha yanaendelea.

Jamii inapokosa maarifa basi huwa wanatokea watu wanawatumia sana katika kujipatia faida.

Anyways tunafanya sana kampeni ya hizi pedi ila sijawahi kuona mtu ahoji impact yake katika mazingira. Mimi nikiwa kama mdau katika kamati ya kudumu binafsi ya kutunza na kulinda mazingira ya jamii, nafuatilia sana uchafunzi wa mazingira unaosababishwa na waste product yaani watu kudump hizi used pads baada ya matumizi wengi hawana elimu ya namna ya kuzihifadhi na kuziteketeza hizi pedi na zile diapers za watoto.

Kuna sehemu nilienda nilikuta uwanja mzima umetapakaa mapedi yaliyotumika yenye madamu huko mkoani. Nikajiuliza ina maana hizi kampuni zikishauza ndio basi nani anaepewa corporate Social responsibility kudeal na handling ya hizi taka maana wanawapa tu raia elimu juu ya matumizi ila sio kuhifadhi na kuteketeza taka hizi ambazo zinaweza hata kusababisha maambukizi ya magonjwa ya Virusi.

Ni vema kuwa na mijadala ya wazi kama hii ili watu wachache wasiwe wana take advantage ya attention ya jamii kuwarubuni wakijifanya kusaidia kumbe nyuma ya pazia wana ajenda binafsi na huku jamii ikipoteza mara mbili.

Kama hizi kampeni zinawadhalilisha sana jamii, watoto wa kike na kuleta mfadhaiko especially kwa raia ambao wengi mila,desturi na imani haziwaruhusu kujadili maswala ya hedhi.

Hedhi ni swala la kike na hujadiliwa kati ya binti na mashangazi zake,mama zake wazazi,mama wadogo kwa wakubwa na akina dada.

Ila sio unakuja nielezea mimi na ndevu zangu hapa umuhimu wa hedhi na mambo mengineyo mimi kama mwanaume nashiriki vipi zaidi ya kumnunulia mwanamke au binti pedi? Zaidi ni kuwachoresha na kuwadhalilisha tu watoto wa kike ili kupata hela.
 
Kila Siku tu ukifungulia Redio mbalimbali Mada nyingi ni Hedhi kwa Mabinti hadi wengine sasa mnatutia Kinyaa tu kutokana na wengine kuelezea jinsi Damu zinavyotoka.

Huu muda mnaoutumia kufanya Kampeni za Hedhi Salama kwa Mabinti utumieni katika Kuwajenga zaidi Kimaadili na kuwaasa waache Tamaa na wasiwe Mazuzu ( Majuha ) katika Jamii.

Mbona miaka ya zamani akina Bibi zetu, Mama zetu, Shangazi zetu na Dada zetu walikuwa hawapati Changamoto zozote na Shule walikuwa Wanaenda, Wanafaulu, walikuwa Werevu na mpaka Wametuzaa Sisi Watoto Wao tuliorithi Uwerevu wao?

Acheni Unafiki na jikiteni katika Mambo ya Msingi juu ya hawa Mabinti na siyo Kelele za Kutwa za Hedhi Salama.

Nimemaliza.
Taifa la hamasa, yaani kila kitu mnahamasishwa hata kujenga choo...
Inafikirisha sana.
 
Hiyo ni biashara nyuma ya mgongo wa kampeni ya kusaidia mabinti.

Kuna mtu kama flaviana matata alitengeneza Pedi zake zikawa hazitoki maana standard yake na bei ya soko ikawa mtihani kuuza bei ya chini na kukamata soko.

Ikabidi aunde kampeni kijanja kwa kushirikiana na viongozi mashosti hawa wadada kama ummy mwalimu ili wamsaidie kupush ajenda kwenye vyombo vya serikali kama mawizara na bunge kupendekeza kampeni maalumu ya raia kusaidia kuchangia mabinti vijijini kununuliwa pedi na kupewa bila kulipia hata mia.

Hii imesaidia hizi kampuni kubreak even kibiashara na kuweza kupona kupata hasara ambayo wangeipata kama wangeuza pedi kikawaida. Kiongozi anakula percentage yake kwenye hayo mauzo, na mwenye biashara anapata mpunga wake maisha yanaendelea.

Jamii inapokosa maarifa basi huwa wanatokea watu wanawatumia sana katika kujipatia faida.

Anyways tunafanya sana kampeni ya hizi pedi ila sijawahi kuona mtu ahoji impact yake katika mazingira. Mimi nikiwa kama mdau katika kamati ya kudumu binafsi ya kutunza na kulinda mazingira ya jamii, nafuatilia sana uchafunzi wa mazingira unaosababishwa na waste product yaani watu kudump hizi used pads baada ya matumizi wengi hawana elimu ya namna ya kuzihifadhi na kuziteketeza hizi pedi na zile diapers za watoto.

Kuna sehemu nilienda nilikuta uwanja mzima umetapakaa mapedi yaliyotumika yenye madamu huko mkoani. Nikajiuliza ina maana hizi kampuni zikishauza ndio basi nani anaepewa corporate Social responsibility kudeal na handling ya hizi taka maana wanawapa tu raia elimu juu ya matumizi ila sio kuhifadhi na kuteketeza taka hizi ambazo zinaweza hata kusababisha maambukizi ya magonjwa ya Virusi.

Ni vema kuwa na mijadala ya wazi kama hii ili watu wachache wasiwe wana take advantage ya attention ya jamii kuwarubuni wakijifanya kusaidia kumbe nyuma ya pazia wana ajenda binafsi na huku jamii ikipoteza mara mbili.

Kama hizi kampeni zinawadhalilisha sana jamii, watoto wa kike na kuleta mfadhaiko especially kwa raia ambao wengi mila,desturi na imani haziwaruhusu kujadili maswala ya hedhi.

Hedhi ni swala la kike na hujadiliwa kati ya binti na mashangazi zake,mama zake wazazi,mama wadogo kwa wakubwa na akina dada.

Ila sio unakuja nielezea mimi na ndevu zangu hapa umuhimu wa hedhi na mambo mengineyo mimi kama mwanaume nashiriki vipi zaidi ya kumnunulia mwanamke au binti pedi? Zaidi ni kuwachoresha na kuwadhalilisha tu watoto wa kike ili kupata hela.
Umeandika Madini tupu Mkuu tena yanayoelimisha na Binafsi nimejifunza zaidi, nakushukuru na nina uhakika kuwa hata uwezo wako wa Kufikiri ( IQ ) ni mkubwa mno. Hongera.
 
Back
Top Bottom