Watoto wa kike hawapati mimba kwasababu ya aibu ya jamii kuzungumza nao maswala ya ngono.Watoto wengi wa kike Tanzania wanapata mimba katika umri mdogo kwa sababu ya aibu kama hizi.
Una Akili ( Intelligent ) hadi Nimefurahi.Umejitetea sana. Hoja zako ni nzuri sana na ninakubaliana na wewe ila naomba ufahamu kuwa kuna mambo ya msingi kitaifa na mambo ya makundi maalumu ambayo hayana haja ya kuyaleta kwenye media.
Nyuma ya hii issue ya maswala ya hedhi kuna watu wanapush ajenda ili hili swala liwe popular wao wauze pedi especially maeneo ya vijijini ambapo watu hawana uwezo kumudu pedi kupitia michango na fedha za wafadhili kutoka nje.
Hili mimi nalijua kitambo sana. Kama utakumbuka kunakipindi mange kimambi alimpost Flaviana Matata akawa ana mind kuwa ametengeneza brand ya pedi imefeli kwenye soko sababu ya bei na watu hawanunui anapata hasara so ameamua kuuza kupitia kampeni za hedhi salama.
Miaka yote unataka kunambia mabinti walikuwa wanasurvive vipi?!
Unajua ni taboo kuongelea hedhi ya mtoto wa kike hadharani?! Haya mambo wanawake huwa wanadeal nayo very private. Hedhi haijaanza juzi, ni kitu cha muda mrefu. Kwahiyo hao mabinti wa miaka hiyo wameishi vipi hadi watoto wa sasa mzungumze maswala yaonya privacy hadharani as if mnazungumzia magonjwa ya zinaa?!
Huu ni udhalilishaji lakini pia ni upotoshaji wenye lengo la kupush ajenda ya siri ya kibiashara ya kuuza pedi.
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Wanaume siku zote tupo mstari wa mbele kutetea wanawake ila hawa wachache wenye nafasi wanaitumia vibaya kujinufaisha kibinafsi.
Leo umeandika Cha maana acha upopomaKila Siku tu ukifungulia Redio mbalimbali Mada nyingi ni Hedhi kwa Mabinti hadi wengine sasa mnatutia Kinyaa tu kutokana na wengine kuelezea jinsi Damu zinavyotoka.
Huu muda mnaoutumia kufanya Kampeni za Hedhi Salama kwa Mabinti utumieni katika Kuwajenga zaidi Kimaadili na kuwaasa waache Tamaa na wasiwe Mazuzu ( Majuha ) katika Jamii.
Mbona miaka ya zamani akina Bibi zetu, Mama zetu, Shangazi zetu na Dada zetu walikuwa hawapati Changamoto zozote na Shule walikuwa Wanaenda, Wanafaulu, walikuwa Werevu na mpaka Wametuzaa Sisi Watoto Wao tuliorithi Uwerevu wao?
Acheni Unafiki na jikiteni katika Mambo ya Msingi juu ya hawa Mabinti na siyo Kelele za Kutwa za Hedhi Salama.
Nimemaliza.
Una vzr mkuuu mwanamk adui wake Ni mwanamkeUmejitetea sana. Hoja zako ni nzuri sana na ninakubaliana na wewe ila naomba ufahamu kuwa kuna mambo ya msingi kitaifa na mambo ya makundi maalumu ambayo hayana haja ya kuyaleta kwenye media.
Nyuma ya hii issue ya maswala ya hedhi kuna watu wanapush ajenda ili hili swala liwe popular wao wauze pedi especially maeneo ya vijijini ambapo watu hawana uwezo kumudu pedi kupitia michango na fedha za wafadhili kutoka nje.
Hili mimi nalijua kitambo sana. Kama utakumbuka kunakipindi mange kimambi alimpost Flaviana Matata akawa ana mind kuwa ametengeneza brand ya pedi imefeli kwenye soko sababu ya bei na watu hawanunui anapata hasara so ameamua kuuza kupitia kampeni za hedhi salama.
Miaka yote unataka kunambia mabinti walikuwa wanasurvive vipi?!
Unajua ni taboo kuongelea hedhi ya mtoto wa kike hadharani?! Haya mambo wanawake huwa wanadeal nayo very private. Hedhi haijaanza juzi, ni kitu cha muda mrefu. Kwahiyo hao mabinti wa miaka hiyo wameishi vipi hadi watoto wa sasa mzungumze maswala yaonya privacy hadharani as if mnazungumzia magonjwa ya zinaa?!
Huu ni udhalilishaji lakini pia ni upotoshaji wenye lengo la kupush ajenda ya siri ya kibiashara ya kuuza pedi.
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Wanaume siku zote tupo mstari wa mbele kutetea wanawake ila hawa wachache wenye nafasi wanaitumia vibaya kujinufaisha kibinafsi.
Ni sawa na kuuliza:Hapakua na hedhi zamani?
Vyoo si wajenge?
Elimu si waweke vipeperushi wawape mabinti
Do they really have to do majukwaa about this?
Kwani ngono sio basic need?😲😲😲Ila wadada wa sasa wamejawa na tamaa sana, yaani ngono kwao ni kama basic needs. Hali inatisha sana huku mtaani.
Acheni kiwasingizia wazungu. Kwani hayo mambo mnalkzimishwa au tunayataka wenyewe kwa tamaa zetu za hela yaoSiyo tu Hedhi, kelele za wanawake tukizikalia kimya, huko mbeleni Kuna hatari Kwa kizazi cha kiume, mzungu anaenda anageuza ukurasa taratibu wa Dunia, haki Kwa wanawake, uwezo wa kufanya kama wanaume, ndoa za jinsia moja, uzazi wa mpango utakaofanya Dunia hasa ya kiAfrika ipungue watu na kumomonyoka kukubwa Kwa maadili, South Africa wameanza kuiwini kwa kasi ya 6G
Kwani ngono sio basic need?[emoji44][emoji44][emoji44]
Sasa sii tumeambiwa tuwapende na tuwalinde. Mzeya ngono inawasaidia wanawake katika kuimarisha fya zao na ata za kwetu wanaumeJamaa unapenda wanawake sijawahi ona
Ndugu yangu,Umejitetea sana. Hoja zako ni nzuri sana na ninakubaliana na wewe ila naomba ufahamu kuwa kuna mambo ya msingi kitaifa na mambo ya makundi maalumu ambayo hayana haja ya kuyaleta kwenye media.
Nyuma ya hii issue ya maswala ya hedhi kuna watu wanapush ajenda ili hili swala liwe popular wao wauze pedi especially maeneo ya vijijini ambapo watu hawana uwezo kumudu pedi kupitia michango na fedha za wafadhili kutoka nje.
Hili mimi nalijua kitambo sana. Kama utakumbuka kunakipindi mange kimambi alimpost Flaviana Matata akawa ana mind kuwa ametengeneza brand ya pedi imefeli kwenye soko sababu ya bei na watu hawanunui anapata hasara so ameamua kuuza kupitia kampeni za hedhi salama.
Miaka yote unataka kunambia mabinti walikuwa wanasurvive vipi?!
Unajua ni taboo kuongelea hedhi ya mtoto wa kike hadharani?! Haya mambo wanawake huwa wanadeal nayo very private. Hedhi haijaanza juzi, ni kitu cha muda mrefu. Kwahiyo hao mabinti wa miaka hiyo wameishi vipi hadi watoto wa sasa mzungumze maswala yaonya privacy hadharani as if mnazungumzia magonjwa ya zinaa?!
Huu ni udhalilishaji lakini pia ni upotoshaji wenye lengo la kupush ajenda ya siri ya kibiashara ya kuuza pedi.
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Wanaume siku zote tupo mstari wa mbele kutetea wanawake ila hawa wachache wenye nafasi wanaitumia vibaya kujinufaisha kibinafsi.
Wakununua pedi.Mshahara wa nin tena mkuu
Binti mpe pedi na mfundishe usafi na namna ya kuzitumiaNi sawa na kuuliza:
"Hapakuwa na uzazi zamani?" au "hapakuwa na magonjwa ya macho zamani?", nk.
Kwa nini tuone haya au ubaya kuzungumzia hedhi? Hizi haya ndizo zilitufikisha pabaya hata watu wakaanza kuficha watoto wenye ualbino au wenye mahitaji maalum.
Swala siyo kujenga tu, ila unavijenga vipi? Si ni hivi karibuni tu baada ya kuanza kampeni za kutambua mahitaji ya watu wenye ulemavu ndio tumeanza kujenga majengo yanayokidhi ufikwaji wa watu wenye mahitaji maalum?
Elimu itolewe popote jamii inapofikika. Tuache fikra potofu za kuhodhi "elimu na maarifa" kwa visingizio vya utamaduni au kusingizia maadili. Tunaumiza makundi ya jamii kwa tabia hizi.
Binti ukishampa sanitary pads akajistiri kuna shida gani nyingine hapo?Ndugu yangu,
Siku zote kwenye jambo lolote hukusanyika watu wenye malengo tofauti tofauti. Ndio ulimwengu ulivyo. Hata hivyo hatuachi kuzungumzia au kuangazia maswala muhimu kwa visingizio kuwa kuna watu wana ajenda zao.
Tukianza kuhoji dhamira ya kila mmoja bila kutazama upana na uhalisia wa jambo na jinsi linavyoathiri jamii, hatutafika popote. Je hakuna wasichana wanaodhurika na kutofahamu au kuwa na uwezo wa hedhi salama? Jibu, ni kuwa wapo.
Tukisema hedhi ni jambo limekuwa kwa muda mrefu, tunasahau maswala mengi yamekuwa kwa muda mrefu ila leo hii bado tunakabiliana nayo. Maswala ya uzazi salama, ni mfano mmoja tu. Leo hii tunazungumzia kujenga hospitali, kwenda kliniki wazazi wote, elimu ya afya ya mtoto na mzazi, nk. Kwanini tusibaki na utaratibu wa zamani kwa kuwa uzazi umekuwepo tangu zamani?
Mijadala au kazi zinazolenga kweli kumhakikishia msichana na mwanamke hedhi salama siyo udhalilishaji. Hasa, udhalilishaji ni kmuacha msichana au mwanamke ateseke kwa sababu tu, jamii inaonea haya jambo la kiasili, yaliyotokana na uumbaji wa Mwenyezi Mungu.
Mila na desturi hubadilika kwa jinsi maisha yanavyobadilika. Kwa mfano, zamani hatukuwa na kwenda shule, hivyo kujisitiri kuliendana na shughuli za kipindi hicho. Leo hii umwambie mtoto wa kike asiende shule kwa sababu ajisitiri nyumbani?
Tusiepuke mijadala ya mbadala salama na mbinu bora katika mapito yetu kama binadamu. Muhimu ni kuheshimiana, kuthaminiana na kupunguza madhara hasi kwa binadamu mwenzako na mazingira yako.
Wewe ni mmoja wa Wanawake 'very intelligent' hapa JamiiForums na nimetokea Kukupenda kwa Udadavuaji ( Uchambuzi ) wako mfupi ila wenye Elimu Kubwa kwa Wahusika, Wazazi, Walezi na Jamii yote.Binti ukishampa sanitary pads akajistiri kuna shida gani nyingine hapo?
Maisha na majukumu yanaendelea as usual
The rest ni elimu ya kawaida ajilinde
Heri wawekeze kufundisha mabinti utulivu mana sikuhz mabinti mapepe htrr na hii 50/50
Mimi ndiyo huwa naona Kinyaa kabisa.Binti mpe pedi na mfundishe usafi na namna ya kuzitumia
Apate washroom safi thats it
Whats this thing majukwaani daily
Mi naona kadhia kulijadili sana
Mana nikiwa kwenye hio hali wala ht sitaki mtu ajue
Ni kitu private
Ni kitu ht mume si vizuri akaonaMimi ndiyo huwa naona Kinyaa kabisa.