Tumedhihilisha Yanga ni Team kubwa sana Afrika

Tumedhihilisha Yanga ni Team kubwa sana Afrika

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Msimu ujao mtaumia sana. Faida mwaka huu tumepata tsh mil 500. Na mmeona matumizi yetu ni mabilion ya fedha.

Screenshot_2023-06-24-15-41-26-987_com.whatsapp~2.jpg
 
Kwa hesabu hizo kwa Lugha ya kiuchumi ni hasara kubwa.

Unatoa BILIONI 17.3

FAIDA UNAYOPATA NI MILIONI 500.
 
Kwenye mapato kuna mkopo wa bil. 4
Kwenye matumizi hakuna sehemu mmeainisha marejesho ya huo mkopo.
Je, huo mkopo ndani ya mwaka mzima bdo hamjaanza kuurudisha?
 
KUna
1.mkopo, sijaelewa, hakuna sehemu umelipwa, au yanga ndio walikopesha, kiasi iwe ni mapato.
2. mapato mengine, ni yapi hayo?
3. Bakaa, ni ipi hiyo?
4.. Zawadi za ushindi ni b 1.29, hii ni sawq, yanga kufika fainali ya confedaration walipata ngapi? Bingwa wa tpl alivuta ngapi? Mbona inavuka hiyo 1.29B
 
Back
Top Bottom