KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Huo hapoLeta ushahidi
Mama kafail kabisa kabisa.Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.
Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.
Wamechukulia Ubusy wa Rais vibaya. Wanaamua kukomoa wananchi. Nchi imekuwa ngumu maradufu. Hakuna anayewatetea wananchi wasio na uwezo.
Mafuta yanapanda kwa tsh 300 nzima? Tunaenda wapi ndugu Watanzania? Ni wapi tunakwenda? Hawa watu wanaofanya hizi biashara watatuumiza mpaka lini?
Rais jamani aambiwe maana najua wanamficha hii michezo yao michafu. Wanapandishia humo humo kwa kisingizio cha soko la Dunia. Tunajua hii mipango hasa ikiratibiwa na watu ambao awamu iliyopita walikuwa wanapora maeneo na kuanzisha vituo vya mafuta.
Tunajua watu ambao wamerudishwa kwa ajili ya kuja kumalizia ngwe nyingine ya upigaji. Jamani mkila na kipofu msimshike mkono.
Watu wanakula mpaka wanavuka urefu wa kamba zao. Na haya yote Mhe Rais haambiwi. Na watu wanamshauri vibaya sana. Wanamshauri kwa nia ya kumwaribia.
Ionekane nchi imeshamshinda. Kila kitu kinaenda kiholela holela. Hadi Panya road wanafunga mitaa polisi wamejazana barabarani wakisidiana na traffic. Kwa sasa traffics wamekuwa wengi kuliko askari wa kulinda usalama wa raia .
Kwa kweli kwa hali hii tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali utosini.
Mafuta yakipanda Bei, usafirishaji wa bidha hasa chakula unapanda Bei pia. Hivo, mafuta yakipanda hayaathiri wenye magari Sana, Bali watu wa Hali ya chini kwani mfumko wa Bei kwa vyakuala na bidhaa nyingine haukwepeki.Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.
Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.
Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Gari sio lazima kweli kwa MTU binafsi, lakini umeambiwa matumizi ya petrol&Diesel ni kwenye magari tu ya privatr,vipi magari yanayosafirisha mizigo,bidhaa,na mazao,vipi diesel inayotumiwa katika viwanda,vipi gari moshi ,ndege na meli zinazotumia hayo mafuta??Gari siyo hitaji la lazima. Kwahiyo, Kama hawezi kumudu gari basi.
Kelele mitandaoni Ni trash.
Kama vipi anzisheni chama Cha wamiliki wa magari ya kutembelea Kiwe kinawasemea.
Sawa ila WALALAMIKAJI wakubwa Ni hawa wenye vigari vya mkopo.Mafuta yakipanda Bei, usafirishaji wa bidha hasa chakula unapanda Bei pia. Hivo, mafuta yakipanda hayaathiri wenye magari Sana, Bali watu wa Hali ya chini kwani mfumko wa Bei kwa vyakuala na bidhaa nyingine haukwepeki.
MWANZO yalikuwa kiasi gani?
Duh, jiandae, wahanga wa mfumko wa Bei wata kushhambulia Sana hum. Nadhani inaishia nje ya nchi.Sawa ila WALALAMIKAJI wakubwa Ni Hawa takataka wenye vigari vya mkopo.
Tunasafari ndefu sana kama baadhi ya watz wanaakili za namna hii.Unataka serikali ifanye nn? Fanya kazi acheni kulalama serikali serikali kila saa wewe unafanya nn tafta hela mia tatu ni hela ndogo sana raisi hachimbi mafuta wanaochimba ndio wamepandisha
Nyie endeleeni na ujinga wa kila hoja inayokinzana na Bibie kuitwa SUKUMAGANG.Mwache mama aifungue nchi tuwakomoe hao madikteta SUKUMAGANG. Kupanda kwa bei ya mafuta ni demokrasia tuliyoikosa kipindi cha JPM.
Wewe ndio huna akili timamu kwasababu huna unachosimamia.Tunasafari ndefu sana kama baadhi ya watz wanaakili za namna hii.
Hivi hujui mafuta kwa aslimia kubwa yana control bei za bidhaa nchini, ongezeko la bei ya mafuta ni leseni ya ongezeko la bei ya bidhaa zingine na ungezeko la gharama za maisha.
Inflation ikiwa kubwa matokeo ake fedha yetu itazidi kupoteza thamani,
Huyu mama mwezi Mungu ajaalie afe tu..
Mkuu, it's very simple kuwa kwa convo zako you lack knowledge, yaani kama unadhani kupanda bei ya mafuta wanaoumia ni waendesha baby walker, wewe utakuwa mjinga mno. Nimetumia lugha laini kidogo.Leta ushahidi