Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali


Mbona umeongea huku umejijitutumua hivyo mpaka unataka kutoa ushuzi shehe kisa wanzako wanamiliki magari,acha roho choyo na ubinafsi

Halafu nakushauri uwe japo una tafakari mambo kwa kina, kelele za mafuta sio lazima mtu apige kelele kwa kuwa ana gari, chukulia mfano usafiri wa umma huoni mafuta yakipanda na nauli zinapanda, pia wapo wanaotumia kilimo cha umwagiliaji anatumia pump kunyeshea mradi wake wa kilimo sasa bei ya mafuta ikipanda huoni ina muathiri moja kwa moja jifunze kuwa muungwana
 
Kwani Nchi hii omesha pata Rais bada ya kifo cha Magifili
 
Nchi ambayo kila mwenye mwanya wa kupiga anapigaaa sababu president anacheka na wapigaji ni tatizo sana...!! rais anakomaa na tozo na kukopa mahela ambayo hata utumikaji wake hakuna ufatiliaji wa karibu kabisa.. LEO KUNA TOZO UKINUNUA UMEME...TOZO KWENYE MIAMALA YA SIMU..TOZO KWENYE MAFUTA ZINAONGEZEKA BILA AIBU KILA KUKICHA. hizi tozo angefanya Magufuli hata hii impact ya bei ya mafuta kupanda isingekuwepo.
 
Kupanda kwa vitu KUPO.
Tatizo Samia anashindwa kujieleza.
Ana onekana mama anachochea vile
aeleze nini na hakuna anachoelewa?? yani yeye waziri akimletea proposal ya bei inaonekana hata haoji akija kwetu ni story ya vita ya ukraine tu hana kingine.
 
Jiwe liliharibu nchi, Samia amekabidhiwa nchi wizara ya fedha haina hata mia
Umesikiliza mjadaa wa leo wa Bunge kuhusu mafuta? Umeona zile data zilizokuwa zinatolewa pale? Prove hiyo statement yko kuwa nchi iliachwa bila pesa?? Acha kusikiliza habari za mtaani.
 
Jiwe liliharibu nchi, Samia amekabidhiwa nchi wizara ya fedha haina hata mia
Umesikia pia na upigaji wa MSD aliokuwa anaongelea leo Waziri Mkuu? Sasa hivi watu ndio wanaipiga nchi, sasa we endelea kubwabwaja....Hiyo ni MSD tu, bado hatujasikia kwingine....
 
Daa, yaani siku si nyingi mnalia, hakuna viroba baharini, hakuna one men alone say, hakuna one zone manage!.
 
Umesikia pia na upigaji wa MSD aliokuwa anaongelea leo Waziri Mkuu? Sasa hivi watu ndio wanaipiga nchi, sasa we endelea kubwabwaja....Hiyo ni MSD tu, bado hatujasikia kwingine....
Huo ni ukaguzi wa hesabu za utawala wa JPM
 
Hahahhaa
 
Huo ni ukaguzi wa hesabu za utawala wa JPM
Pesa aliyoleta Mama, Mkopo wa UVIKO 19, huu Mkopo uliopelekwa kwenye madawati, na Vifaa vya Mahospitai na Madawa, ni Wakati wa JPM? Wewe umelala wapi Dunia hii? Uko Mabamba - Kibondo au Wapi? Huu mkopo watu wameshautafuna, na uliletwa juzi juzi tu hapa. Na hilo deni na wewe utalilipa. Ndio maana nchi zetu za Africa haziendelei. Watu wachache wanapiga mikopo, deni linalipwa na wengi ukiwemo wewe ambae uko huko Mabamba-Kibondo unalima. Wakati hawakukuletea hata hizo dawa na vifaa vya mahospitali.
 
Kazi ya serikali ni nini?
Unataka serikali ifanye nn? Fanya kazi acheni kulalama serikali serikali kila saa wewe unafanya nn tafta hela mia tatu ni hela ndogo sana raisi hachimbi mafuta wanaochimba ndio wamepandisha
 
Umepata taarifa ya CAG kuhusu fedha hizo?
 
Wewe Mpumbavu Ukristo Utakuwepo na Utakua Juu siku Zote! Utake usitake utaishi chini ya Mfumo Huo! Na huna Chochote Cha Kufanya.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe mkristo wa dhehebu lipi, maana kuna moja hilo kubwa kina disaster kweli kweli huko Vatikano. Ni wa dhehebu hilo wewe?
 
Akili yako kisude kweli bro, mafuta yakipanda bro hayapigi wenye magari tu yanapandisha kila kitu kwenye soko, gharama za usafirishaji zinapanda na gharama za uzalishaji pia zinapanda kwaio madhara yake inapandisha bei ya kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…