Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Hawa jamaa wameshajilimbikizia mimali na kadri miaka inavyozidi kwenda wanazidi kutesa wananchi ni wajibu wetu sisi kama wananchi kuingia barabarani kivyovyote vile na hii ndio njia rasmi ya kudai haki mtandaoni tumeshawaweza ni mda wa kuingia barabarani na tutashinda tu wataobaki salama wataombea wengine wataopoteza maisha nchi hii itakombolewa na mtanganyika mwenyewe Wala sio jeshi na dalili zimeonekana kwamba jeshi halipo upande wa kutetea haki za nchi na wananchi hii ndio Africa kama wanavyoapa No reform No election