Hata mwendo kasi mwendazake alikuwa anasema ni yake wakati ilikuwa ya KikweteWhether Kikwette yuko na SSH au Rais SSH ana tumia falsafa ya JK basi Watanzania tujipige kifua mara 5, tuseme TAIFA liko kwenye mikono salama.
Kikwette aliichukua nchi kwa BWM na akaifanyia mema mengi sana na mengine ni haya ambayo Mwendazake alikuwa analazimisha kuwa ni ya kwake. Kikwette mtu wa watu, hakuhangaika kuteka na kuua WAKOSOAJI.
Whether kulikuwa na ufisadi kama inavyodaiwa lakini watu walikuwa na hela na furaha mitaani.
Long live KIKWETTE
Eti TAKUKURU nao kujenga jengo lao chato jengo kwenye hadhi ya makao makuu daaWaliigeuza Nchi kuwa Mali ya Chato,
Yale mahotrl yaliuojwngwa Chato yatàkuwa magofu Kama ya yule Mabutu,na uwanja wa ndege kwa Sasa wanajifunzia kuendesha baisikeli,
Hana wazili mkuu alipata shida Sana kutua kwenye uwanja wa ndege Chato,wananchi walikuwa hawataki kutoka uwanjani hapo na baisikeli zao.
Sina haja ya kutoa hoja yangu kwa mtu anaye endeshwa na hisia zake za siasa njaa.Njoo na hoja siyo unaandika andika tu. Nimelia wapi?
I am smelling something; unfortunately, my smell probe has not shown whether that something is scent or fishy!Hakuna jambo jepesi JF kama kuifahamu Misukule ya Jiwe!!
Yaani inatapatapa hiyo... hadi inatia huruma!!
Wanasahau wanahisi JPM alijiweka wamuulize lowasa JK alimfanya nnHasira za Sukuma Gang tu hizo hakuna lolote, wakati unalaumu ukumbuke JK ndiye aliyemweka JPM madarakani!!
Ni kama kuna mission fulani dhidi ya wastaafu JK ulinzi uimarishwe kwa Jk jamani wasukuma gang sio watuI am smelling something; unfortunately, my smell probe has not shown whether that something is scent or fishy!
mnawapakazia watu ukabila tu jaman sio vizuri.Kwa walichokifanya wasukuma hatuji kurudia tena bora wewe muhehe hauna ubaguzi
Bora Kikwete.
Magufuli na Nyerere wameingiza ndugu zao kwenye serikali, Nyerere alikuwa na kaka yake anaitwa Joseph Nyerere serikalini, pia alimchukua Butiku binamu yake kuwa katibu wake wa Ikulu
Magufuli alimchukua Binamu yake na kumkabidhi ubosi wa hazina
Magufuli is gone and is not coming back.
Hasara aliyotutia kwa miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu inatosha, uonevu, siasa za kununua watu, ubambikiziaji watu kesi, uvurugaji chaguzi, kutoheshimu katiba, mambo ya magenge ya watu wasiojulikana, kutolipa stahiki halali za wafanyakazi, sheria kandamizi vyote hivi inabidi tuvireverse
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]Hizi kauli siku moja zitamzindua HH Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, adandie Boeing 747 lake lakifahari aje kuisaka Chato kupima ushindani ukoje huku.[emoji1787]
Then relax some of your six organs so that they can lead you to the right conclusion of whether it's fishy or some kind of adorable scent!I am smelling something; unfortunately, my smell probe has not shown whether that something is scent or fishy!
Shikuba alikamatwa na nani?
Whether Kikwette yuko na SSH au Rais SSH ana tumia falsafa ya JK basi Watanzania tujipige kifua mara 5, tuseme TAIFA liko kwenye mikono salama.
Kikwette aliichukua nchi kwa BWM na akaifanyia mema mengi sana na mengine ni haya ambayo Mwendazake alikuwa analazimisha kuwa ni ya kwake. Kikwette mtu wa watu, hakuhangaika kuteka na kuua WAKOSOAJI.
Whether kulikuwa na ufisadi kama inavyodaiwa lakini watu walikuwa na hela na furaha mitaani.
Long live KIKWETTENimependezwa Sana na comment yako, Pamoja na kwamba Ni usiku wa manane lakini siachi kukupa heko. Hongera kwa comment nzuri mkuu.
Serikali makini haikurupuki, mambo mengine ni matter of timeSHIKUBA alipelekwa Marekani enzi ya Mwendazake, Kikwete angekuwa madarakani asingepelekwa!!
Kikwete na Shkuba walikuwa wanajuana?Kikwete Urais wake ulikuwa wa ubia na familia na rafiki zake wakina 'ShKubar"! Kama ataruhusiwa kuturudisha huko kutatokea backlash kubwa kutoka kwa wananchi na Samia hata kuwa salama na utawala wake!
Kikwete na Shkuba walikuwa wanajuana?
hata jpm mwanzo aliambiwa hivi,alipokuja kubadiri gia angani.msoga hawakuwahi kuamini.
Magufuli alitaka Rostam awe ndiye mbunge wa Morogoro mjini badala ya Aboud umesahau?Tuombe Mungu awe hivyo lakini sasa Hivi inaonekana MTANDAO ndio wamerudi full shangwe; si unaona wakina Rostam wanavyojimwanbafy kama wao ndio vinara wa uwekezaji!! Tumesahau kuwa hawa ndio walikuwa vinara wa EPA!!