Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Whether Kikwette yuko na SSH au Rais SSH ana tumia falsafa ya JK basi Watanzania tujipige kifua mara 5, tuseme TAIFA liko kwenye mikono salama.

Kikwette aliichukua nchi kwa BWM na akaifanyia mema mengi sana na mengine ni haya ambayo Mwendazake alikuwa analazimisha kuwa ni ya kwake. Kikwette mtu wa watu, hakuhangaika kuteka na kuua WAKOSOAJI.

Whether kulikuwa na ufisadi kama inavyodaiwa lakini watu walikuwa na hela na furaha mitaani.

Long live KIKWETTE
Hata mwendo kasi mwendazake alikuwa anasema ni yake wakati ilikuwa ya Kikwete
 
Waliigeuza Nchi kuwa Mali ya Chato,
Yale mahotrl yaliuojwngwa Chato yatàkuwa magofu Kama ya yule Mabutu,na uwanja wa ndege kwa Sasa wanajifunzia kuendesha baisikeli,
Hana wazili mkuu alipata shida Sana kutua kwenye uwanja wa ndege Chato,wananchi walikuwa hawataki kutoka uwanjani hapo na baisikeli zao.
Eti TAKUKURU nao kujenga jengo lao chato jengo kwenye hadhi ya makao makuu daa
 
Hakuna jambo jepesi JF kama kuifahamu Misukule ya Jiwe!!

Yaani inatapatapa hiyo... hadi inatia huruma!!
I am smelling something; unfortunately, my smell probe has not shown whether that something is scent or fishy!
 
I am smelling something; unfortunately, my smell probe has not shown whether that something is scent or fishy!
Ni kama kuna mission fulani dhidi ya wastaafu JK ulinzi uimarishwe kwa Jk jamani wasukuma gang sio watu
 
Kwa walichokifanya wasukuma hatuji kurudia tena bora wewe muhehe hauna ubaguzi
mnawapakazia watu ukabila tu jaman sio vizuri.

jpm,mabeyo,makonda,musukuma ni sehemu ndogo sana ya serikali ile,kulikuwa na kila kabila.huko arusha longido kuna mmasai,kule mbeya kuna mhehe,iringa kuna mrangi hao wote wanaonekana wasukuma sababu ya machachari yao utawala huo.
 
Vijana vya UDOM bwana kinaamka tuu na kuanzisha threat hivi vyuo uchwara hivi reasoning capacity ndogo sana
 
Tatizo ni mfumo
Bora Kikwete.

Magufuli na Nyerere wameingiza ndugu zao kwenye serikali, Nyerere alikuwa na kaka yake anaitwa Joseph Nyerere serikalini, pia alimchukua Butiku binamu yake kuwa katibu wake wa Ikulu
Magufuli alimchukua Binamu yake na kumkabidhi ubosi wa hazina

Magufuli is gone and is not coming back.

Hasara aliyotutia kwa miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu inatosha, uonevu, siasa za kununua watu, ubambikiziaji watu kesi, uvurugaji chaguzi, kutoheshimu katiba, mambo ya magenge ya watu wasiojulikana, kutolipa stahiki halali za wafanyakazi, sheria kandamizi vyote hivi inabidi tuvireverse
 
Waafrika na kupenda kuwapa wengine lawama za majanga yao. JK alishapita, JPM kashatangulia bado mnalialia, lawama hazitabadilisha kitu kama hampo tayari kubeba mizigo yenu wenyewe.

Wakati wewe unamlalamikia JK na Ridhi, wengine wametoka enzi za JK. Wakati unamtupia lawama za shortcomings zako Jiwe, wengiwe wametoka enzi za Jiwe. Sasa jiulize kwanini wewe?

Mit 13:22 SUV​

Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.
 
Hizi kauli siku moja zitamzindua HH Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, adandie Boeing 747 lake lakifahari aje kuisaka Chato kupima ushindani ukoje huku.[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
"Bahati mbaya waganga njaa ni wengi,na wanapata mradi wao kwa kuongopa":JK.
 
I am smelling something; unfortunately, my smell probe has not shown whether that something is scent or fishy!
Then relax some of your six organs so that they can lead you to the right conclusion of whether it's fishy or some kind of adorable scent!
 
Whether Kikwette yuko na SSH au Rais SSH ana tumia falsafa ya JK basi Watanzania tujipige kifua mara 5, tuseme TAIFA liko kwenye mikono salama.

Kikwette aliichukua nchi kwa BWM na akaifanyia mema mengi sana na mengine ni haya ambayo Mwendazake alikuwa analazimisha kuwa ni ya kwake. Kikwette mtu wa watu, hakuhangaika kuteka na kuua WAKOSOAJI.

Whether kulikuwa na ufisadi kama inavyodaiwa lakini watu walikuwa na hela na furaha mitaani.

Long live KIKWETTENimependezwa Sana na comment yako, Pamoja na kwamba Ni usiku wa manane lakini siachi kukupa heko. Hongera kwa comment nzuri mkuu.
 
Kikwete Urais wake ulikuwa wa ubia na familia na rafiki zake wakina 'ShKubar"! Kama ataruhusiwa kuturudisha huko kutatokea backlash kubwa kutoka kwa wananchi na Samia hata kuwa salama na utawala wake!
Kikwete na Shkuba walikuwa wanajuana?
 
  • Thanks
Reactions: PHR
hata jpm mwanzo aliambiwa hivi,alipokuja kubadiri gia angani.msoga hawakuwahi kuamini.

Tuombe Mungu awe hivyo lakini sasa Hivi inaonekana MTANDAO ndio wamerudi full shangwe; si unaona wakina Rostam wanavyojimwanbafy kama wao ndio vinara wa uwekezaji!! Tumesahau kuwa hawa ndio walikuwa vinara wa EPA!!
 
Magufuli alitaka Rostam awe ndiye mbunge wa Morogoro mjini badala ya Aboud umesahau?
 
Back
Top Bottom