Tumeharibu Taifa letu sisi wenyewe kwa kukubali ulimbukeni wa kumwacha mtu mmoja afanye atakavyo

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Nchi yetu imekuwa kituko sana siku hizi. Ukisikiliza hata vyombo vya habari vya nje jinsi wanavyoizungumzia nchi utafikiri wanaizungumzia Sudani ya Kusini, DRC au nchi zile zilizotawaliwa kimabavu.

Imeonekana viongozi wetu wengi wamepoteza weledi na wamekuwa wachumia tumbo na matapeli mbele ya wananchi wao bila kujali nini kitatokea kwani wanajua kuwa wananchi hawana chaguo ila ccm hata kama hawapendi.

Watanzania tuwe makini na wimbi hili la kuua demokrasia kupitia kudhoofisha vyama vya upinzani. Upinzani siku zote ni kama mizani ya kuleta usawa wa kisiasa kati ya chama tawala na vyama mbadala. Tukikubali upinzani dhaifu basi tutalia kutokana na uzembe wa chama tawala na kiburi kwani hawana wa kuwakosoa.

Mataifa yote yaliyoendelea hutumia upinzani kama jiwe la mizani ila inasikitisha hapa kwetu tunakubali upinzani ufe tukifikiri tunajiletea maendeleo. Tutakumbuka upinzani baada ya October mwaka huu.
 
Nani wa kumfunga paka kengere?

Hapa ndipo tatizo lilipo

Nan ajitolee kufa kwa ajili ya wengi, kila mtu anapenda kubaki hapa dunian kula kuku na mishikaki huku ukiwa na mtoto mzuri pembeni

Ndio maana kina kangi lugora wanaamua kumfananisha binadamu na Mungu

Fanya watu kuwa masikini ili uwatawale

Tukikubali kuwa masikini jiwe atatunyanyasa mpaka nchi nzima tutampigia magoti
 
Nchi yetu imekuwa kituko sana siku hizi. Ukisikiliza hata vyombo vya habari vya nje jinsi wanavyoizungumzia nchi utafikiri wanaizungumzia Sudani ya Kusini, DRC au nchi zile zilizotawaliwa kimabavu.

Imeonekana viongozi wetu wengi wamepoteza weledi na wamekuwa wachumia tumbo na matapeli mbele ya wananchi wao bila kujali nini kitatokea kwani wanajua kuwa wananchi hawana chaguo ila ccm hata kama hawapendi.

Watanzania tuwe makini na wimbi hili la kuua demokrasia kupitia kudhoofisha vyama vya upinzani. Upinzani siku zote ni kama mizani ya kuleta usawa wa kisiasa kati ya chama tawala na vyama mbadala. Tukikubali upinzani dhaifu basi tutalia kutokana na uzembe wa chama tawala na kiburi kwani hawana wa kuwakosoa.

Mataifa yote yaliyoendelea hutumia upinzani kama jiwe la mizani ila inasikitisha hapa kwetu tunakubali upinzani ufe tukifikiri tunajiletea maendeleo. Tutakumbuka upinzani baada ya October mwaka huu.
Hapana sio kweli kwani waliopita nini alikuwa anawapangia cha kufanya hata wao walifanya wanavyotaka labda wewe ulikuwa bado ni mtoto mdogo.
 
Kumwaga damu tena?.
Ebu Anza wewe
Kweli mkuu!!Tatizo wangapi wamejitoa kumwaga damu kwa ajili ya haya????
taifa_forum_20200612_1.jpg
 
Kitaani maisha ya kawaida tu ila mnavyoyatia chumvi humu sasa.
Tulieni hivyo hivyo hadi 2025!
 
Suala sio kuwa na maisha ya kawaida, jaribu kuangalia future ya taifa ikiwa viongozi wanaigeuza katiba watakavyo, hakuna atayekuwa salama hapo

Too much greed leading to too much war.
 
Waliiheshimu katiba,hawakujiwekea kinga,hawakufanya siasa pekee yao
Unataka siasa za aina gani wewe? hayo wanayoyafanya kwa mabeberu sio siasa? kutangazia ulimwengu umevamiwa, umepigwa sana na umevunjwa mguu wakati ripoti ya daktari ikionesha tofauti sio siasa na usanii? hama nchi usikonde mkuu..hehe
 
Nchi yetu imekuwa kituko sana siku hizi. Ukisikiliza hata vyombo vya habari vya nje jinsi wanavyoizungumzia nchi utafikiri wanaizungumzia Sudani ya Kusini, DRC au nchi zile zilizotawaliwa kimabavu.

Imeonekana viongozi wetu wengi wamepoteza weledi na wamekuwa wachumia tumbo na matapeli mbele ya wananchi wao bila kujali nini kitatokea kwani wanajua kuwa wananchi hawana chaguo ila ccm hata kama hawapendi.

Watanzania tuwe makini na wimbi hili la kuua demokrasia kupitia kudhoofisha vyama vya upinzani. Upinzani siku zote ni kama mizani ya kuleta usawa wa kisiasa kati ya chama tawala na vyama mbadala. Tukikubali upinzani dhaifu basi tutalia kutokana na uzembe wa chama tawala na kiburi kwani hawana wa kuwakosoa.

Mataifa yote yaliyoendelea hutumia upinzani kama jiwe la mizani ila inasikitisha hapa kwetu tunakubali upinzani ufe tukifikiri tunajiletea maendeleo. Tutakumbuka upinzani baada ya October mwaka huu.
Binafsi nina matumaini makubwa kuwa huyu mlevi na limbukeni wa madaraka anayetaka kuturudisha mfumo wa chama kimoja Cha siasa kwa tamaa zake za madaraka Covid 19 itamfyekelea mbali kabla ya October 25
 
Hivi kampeni za mwaka huu zitafanyika kwa style gani mkuu?

Maana nyomi ya watu kwny mikutano ya kampeni kule Burundi tayari tumeona matokeo yake kwa Pierre.
 
Mkuu Mungu anapotaka kuleta ukombozi kwa watu wake huwafanya watesi wao kuwa na mioyo migumu.Hope campaign zitaendelea same way watoto wetu walivyorudishwa mashuleni
 
Inashangaza kuona wapinzani wanajitabiria kifo wenyewe, mlifikaje hapo?
 
Mkuu Mungu anapotaka kuleta ukombozi kwa watu wake huwafanya watesi wao kuwa na mioyo migumu.Hope campaign zitaendelea same way watoto wetu walivyorudishwa mashuleni
Daah hii ni hatari sana aisee,lkn na mwenye masikio asikie mkuu.
 
Back
Top Bottom