Tumeharibu Taifa letu sisi wenyewe kwa kukubali ulimbukeni wa kumwacha mtu mmoja afanye atakavyo

Saa ya ukombozi ni sasa amkeni watz kutoka ccm.
 
Nchi yetu imekuwa kituko sana siku hizi. Ukisikiliza hata vyombo vya habari vya nje jinsi wanavyoizungumzia nchi utafikiri wanaizungumzia Sudani ya Kusini, DRC au nchi zile zilizotawaliwa kimabavu.

Imeonekana viongozi wetu wengi wamepoteza weledi na wamekuwa wachumia tumbo na matapeli mbele ya wananchi wao bila kujali nini kitatokea kwani wanajua kuwa wananchi hawana chaguo ila ccm hata kama hawapendi.

Watanzania tuwe makini na wimbi hili la kuua demokrasia kupitia kudhoofisha vyama vya upinzani. Upinzani siku zote ni kama mizani ya kuleta usawa wa kisiasa kati ya chama tawala na vyama mbadala. Tukikubali upinzani dhaifu basi tutalia kutokana na uzembe wa chama tawala na kiburi kwani hawana wa kuwakosoa.

Mataifa yote yaliyoendelea hutumia upinzani kama jiwe la mizani ila inasikitisha hapa kwetu tunakubali upinzani ufe tukifikiri tunajiletea maendeleo. Tutakumbuka upinzani baada ya October mwaka huu.
Nani Yesu[emoji3]
 
Kweli mkuu!!Tatizo wangapi wamejitoa kumwaga damu kwa ajili ya haya????

Zama zimebadilika siku hizi raia wanadai haki kwa mujibu wa Sheria sio kuingia msituni na kufanya harakati za ukombozi....

Ipo siku tu raia watachoka kuburuzwa na kudanganywa..
 
Kwani yesu wenu huko yupo?

Hahah aiseee!anasifiwa mpaka kuitwa yesu!!!
 
Zama zimebadilika siku hizi raia wanadai haki kwa mujibu wa Sheria sio kuingia msituni

Unadai vipi haki kupitia sheria ambazo kila uchwao wanazibadili ziweze kuwalinda?

Msituni sio njia sahihi wala rahisi.

Mabadiliko yatatokea kama tukipata wazalendo wachache ndani ya tabaka tawala ambao wanajali mustakabali wa nchi na hawana ulafi wa kuendelea kuchuma na kuhodhi madaraka na mali za bure kutoka kwa mfuko wa umma.

Watu wasiomwogopa Rais kwa sababu hawana haja na mgao wa vyeo vyake kwao au watoto wao au wake zao, wala hawaogopi kuzibwa mirija ya miradi yao, wala hawahofu kukosa saini ya mkono wake ili mafao ya pensheni na huduma zao yaendelee kutoka. Watu ambao hawana rekodi ya mawaa katika utumishi wao.

Watu hao hata Rais angewaogopa!

Lakini kwa third world zetu hizi watu hao huwa hawapo!
 
Nchi yetu imekuwa kituko sana siku hizi. Ukisikiliza hata vyombo vya habari vya nje jinsi wanavyoizungumzia nchi utafikiri wanaizungumzia Sudani ya Kusini, DRC au nchi zile zilizotawaliwa kimabavu.

Imeonekana viongozi wetu wengi wamepoteza weledi na wamekuwa wachumia tumbo na matapeli mbele ya wananchi wao bila kujali nini kitatokea kwani wanajua kuwa wananchi hawana chaguo ila ccm hata kama hawapendi.

Watanzania tuwe makini na wimbi hili la kuua demokrasia kupitia kudhoofisha vyama vya upinzani. Upinzani siku zote ni kama mizani ya kuleta usawa wa kisiasa kati ya chama tawala na vyama mbadala. Tukikubali upinzani dhaifu basi tutalia kutokana na uzembe wa chama tawala na kiburi kwani hawana wa kuwakosoa.

Mataifa yote yaliyoendelea hutumia upinzani kama jiwe la mizani ila inasikitisha hapa kwetu tunakubali upinzani ufe tukifikiri tunajiletea maendeleo. Tutakumbuka upinzani baada ya October mwaka huu.

Shida ni hii kitu.
FB_IMG_1592137507510.jpeg
 
wengi wape, sasa kelele za nn
 
we unadhan basi hakuna anaependa upizani? ukiachana na izi sura za ndio watu wengi wanapenda kue na balance, ikiwepo mm! lakini sasa, upinzani gan huo unaoongelea? cdm? ni mara mia NCCR na vyama vinhine! kungekua na upinzani wenye msimamo aisee nchi hii tungefika mbali sana, wala ata kusingekua na shida ya kumlilia magu kiasi iki, mfano kipindi cha JK upinzani ulionyesha weledi sana, tulijua mambo mengi amabyo yalikua yamefichwa na hatuyajui, wamejenga iman kubwa sana kwa wananchi kwa kazi kubwa waliofanya kipindi icho kiasi kwamba UKAWA ilikua haina mfano,lakini ona sasa walichofanya??? yule yule mliokua mnampinga ndo mnakuja kumpa kichwa??? upinzani gan sasa huu
 
Awamu hii thubutu kuibua uozo uone ama utapigwa risasi 20, utapotezwa, au ukiwa na bahati utavunjwa mguu. Siku za demokrasia Tz zimepita sasa ni matumizi ya nguvu kuua upinzani ila cha ajabu kuna misukule hailali usiku kucha kutetea ccm.
 
Back
Top Bottom