Tumeharibu Taifa letu sisi wenyewe kwa kukubali ulimbukeni wa kumwacha mtu mmoja afanye atakavyo

Tumeharibu Taifa letu sisi wenyewe kwa kukubali ulimbukeni wa kumwacha mtu mmoja afanye atakavyo

Awamu hii thubutu kuibua uozo uone ama utapigwa risasi 20, utapotezwa, au ukiwa na bahati utavunjwa mguu. Siku za demokrasia Tz zimepita sasa ni matumizi ya nguvu kuua upinzani ila cha ajabu kuna misukule hailali usiku kucha kutetea ccm.

sio kwamba tunaitetea ccm: upinzani gan sasa unategemea una mashiko? kidogo NCCR wameanza kupata wanachama lakini bado tunasubiri mda useme kama wanaweza kua msaada mkubwa kiupinzani? ila kwa sasahv hakuna namna ccm ndo imebaki last option, cdm tulioitegemea ndo hio hio imechukua mtu wa ccm 2015! nn sasa hiki? bora ata mngechukua basi mtu ambae hana skendo, yaani mmechukua yule yule ambae mpaka alijiuzulu kwa skendo and you expect me to say yes kwa cdm??????? wtf

yaaani badala chama chenyewe kianze kujipanga upya ndo kinazidi kuchefua watu! kuna lijamaa mpaka linaitwa wananchi wajinga wakati hao hao ndo wanawapigia kura. what do you expect kwenye scenario kama izi? NCCR wako bussy kujenga chama kilichokufa, na wanavuuta watu sio kidogo, cdm inaloose watu, infact mpaka wabunge wa cdm, wanachama! enough is enough
 
Shida ni kwamba hata wale wanao aminiwa si waaminifu.. sasa n nani atamfunga paka kengele? Ni swala la muda acheni kelele za kwenye majukwaa
IMG_20200613_200138.jpg
 
Back
Top Bottom