Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Takwimu za mtandaoni zinakupoteza Ndugu.
 
Wapi umesema ikulu?mhhhh
Nenda YouTube leo wakati anaapisha viongozi uone live chart zaidi ya 10k walichangia positively ni record ya mwaka! Usihangaike na hawa wa tweeter na JF mawakala wa mafisadi.
 
Omba uzima siku atakapokutana na Israeli mtoa roho mambo yatakavyokua ndo uamini kuwa jamaa yako ni gundu!
 
Omba uzima siku atakapokutana na Israeli mtoa roho mambo yatakavyokua ndo uamini kuwa jamaa yako ni gundu!
Sasa magufuli kagundua kuwa CCM yake ni shiiida kubwa hawampendi kabsa
 
Hafla iliyotangazwa ndani ya saa moja kabla ya kufanyika!? Hafla za mzee kufanyika jumapili!? Hafla kutoonyeshwa wala kutangazwa TBC zote!!? Afla ambayo hadi sasa haijaingizwa Utube!? Na vipi kuhusu ile taarifa ya Vicky Nchimbi!!?!! Mi bado nina mashaka kwa kweli!!
 
Nduli Idd Amin kabla ya mauti yake kumfika alitubu na kumrudia Muumba wake, yeye ni nani asifanye hivyo? Huko kaburini mtakua naye wewe au mkeo?
 
Sasa magufuli kagundua kuwa huko CCM wengi hawampendi anaenda kuifumua CCM upya aisuke kivingine
 
Nilichojifunza ni kwamba binadamu ni silaha yenye makali ya pande mbili. Akikuombea wema atakuombea na kukutakia mpaka basi! Na akikutakia shari atakutakia na kukuombea mpaka basi!

Ni jambo jema kama wahusika wakilitafakari.
 
Ombwe la wadudu wasiozidi 1000000. kumbuka tuko zaidi ya milioni 30 wenye akili nziri. Ukiondoa hao wadusu tuliobaki wote tuko vizuri.
Je uliangalia you tube mubashara comment za kushangilia zilivyokuwa zinaporomoka kwa maelfu??
Comment zenyew za makada wachache wa ccm halafu mtu anakuja kusema ni watanzania tena kwa ambaye amefuatilia jambo utagundua wengi waliofurahi ni watumishi wa uma na masikini wa kawaida ndo mana imeletwa hoja ya yule mkandarasi aliyetukwana na raisi hakuna cha mafisadi hapa hawajui kinachoendelea
 
Kama ni kweli basi wachawi wapo ama alipewa sumu
 
Ombwe la wadudu wasiozidi 1000000. kumbuka tuko zaidi ya milioni 30 wenye akili nziri. Ukiondoa hao wadusu tuliobaki wote tuko vizuri.
Je uliangalia you tube mubashara comment za kushangilia zilivyokuwa zinaporomoka kwa maelfu??

Milioni moja wanaowakilisha hisia zao ni bora kuliko milioni 30 walio kimya.
 
Nilichojifunza ni kwamba binadamu ni silaha yenye makali ya pande mbili. Akikuombea wema atakuombea na kukutakia mpaka basi! Na akikutakia shari atakutakia na kukuombea mpaka basi!

Ni jambo jema kama wahusika wakilitafakari.
Amekuwa mnyonge,usiombe kuhukumiwa na mahakama ya jamii
 
Wengi kina nani? Unayo idadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…