minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kwani mkulu mwenyewe yuko wapi kipenzi cha watu?si ajitokeze tu awambie wanangu nipo.
CCM wametengeneza sinema kuficha Aibu ya ofisi ya DPP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mkulu mwenyewe yuko wapi kipenzi cha watu?si ajitokeze tu awambie wanangu nipo.
Takwimu za mtandaoni zinakupoteza Ndugu.We kwa akili zako meco ulomuona akiongea leo ni yule wa kawaida? Hujaona alivyo mpole.
Ukweli ni kuwa anaumwa ila hajafariki. Ila kwa jinsi ilivyoonekana mtandaoni ni kuwa hapendwi kabisaaaaa, hata ajifariji namna gani nguvu ilokuwa mtandaoni inaonyesha waz kuwa hapendwi,
OVER
Mkuu;
Kuwabebesha lawama zote CHADEMA nadhani sio sahihi kwa sababu naamini sio wote walioamini au kufurahia.
Nenda YouTube leo wakati anaapisha viongozi uone live chart zaidi ya 10k walichangia positively ni record ya mwaka! Usihangaike na hawa wa tweeter na JF mawakala wa mafisadi.
Omba uzima siku atakapokutana na Israeli mtoa roho mambo yatakavyokua ndo uamini kuwa jamaa yako ni gundu!Nimejifunza kwamba utamaduni wa Watanzania kumstahi rais na kumuheshimu sana, siyo tu unaisha, bali unaelekea kwenye utamaduni wa ajabu wa kumtakia mtu, tena rais, kifo.
Hii ni tabia mbaya kwa upande wa wananchi wenye mawazo hayo.
Lakini tabia mbaya hii imepaliliwa na kutiliwa mbolea na ubabe wa rais Magufuli.
Watu waliwakejeli Kikwete na Mwinyi kwa udhaifu wao, lakini haikufikia watu wengi hivi kusheherekea uvumi wa kifo cha rais.
Sasa magufuli kagundua kuwa CCM yake ni shiiida kubwa hawampendi kabsaOmba uzima siku atakapokutana na Israeli mtoa roho mambo yatakavyokua ndo uamini kuwa jamaa yako ni gundu!
Wewe ni mmoja wapo jamaa wa Simiyu? Wachawi bwaaaana!Ni kweli afya ni mgogoro. Ila sio kama walivyozusha kuwa kafa. Yaani hafi leo wala 2020.Tunaye mpaka amalize 2025.
Nduli Idd Amin kabla ya mauti yake kumfika alitubu na kumrudia Muumba wake, yeye ni nani asifanye hivyo? Huko kaburini mtakua naye wewe au mkeo?Kitu ambacho hujajua ni kwamba wanaompenda Magufuli, na wanaomuombea heri walikuwa kimya wakisubiri taarifa rasmi kutoka Ikulu, na ndio maana live streaming ya Ikulu ilijaa comments nyingi za shwangwe na furaha baada ya watu kumuona Rais wetu pendwa. Ila tu ole wao kwa waliovumisha huu uzushi, wanaweza wakadhani watapambana na vyombo vya dola tu, wakasahau kuwa kuna wananchi wengi wenye hasira nao.
Sasa magufuli kagundua kuwa huko CCM wengi hawampendi anaenda kuifumua CCM upya aisuke kivingineNduli Idd Amin kabla ya mauti yake kumfika alitubu na kumrudia Muumba wake, yeye ni nani asifanye hivyo? Huko kaburini mtakua naye wewe au mkeo?
Nini maana ya upinzaniUko sahihi,kwa upinzani wa style hii hatustahili kuwa na upinzani...
Comment zenyew za makada wachache wa ccm halafu mtu anakuja kusema ni watanzania tena kwa ambaye amefuatilia jambo utagundua wengi waliofurahi ni watumishi wa uma na masikini wa kawaida ndo mana imeletwa hoja ya yule mkandarasi aliyetukwana na raisi hakuna cha mafisadi hapa hawajui kinachoendeleaOmbwe la wadudu wasiozidi 1000000. kumbuka tuko zaidi ya milioni 30 wenye akili nziri. Ukiondoa hao wadusu tuliobaki wote tuko vizuri.
Je uliangalia you tube mubashara comment za kushangilia zilivyokuwa zinaporomoka kwa maelfu??
Kama ni kweli basi wachawi wapo ama alipewa sumuVicky Emmanuel Nchimbi wrote this piece [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Taarifa zinazosambazwa kuwa JPM amefariki si za kweli. Ni uzushi Zipuuzeni. May be if he will die in future on God's will, but as for now he is alive. It's true alipata heart attack akiwa ziarani kusini na kukimbizwa Dar usiku kwa helcopter ya jeshi kisha akasafirishwa to SA then Germany. Mama Samia aliitisha cabinet jana to adress the situation and all security organs are alerted.
Taarifa rasmi haijatolewa kwa sababu ya kuhofia kuiweka nchi kwenye tention unnecessarily. Kwa hiyo ili kupunguza minong'ono iliyopo imebidi itolewe taarifa ya uteuzi aliofanya kabla hajaugua. Ni idea iliyotolewa na Mzee Lukuvi just to calm people down. Ndio maana watu wanahoji if he is okay kwanini asijitokeze hadharani hata kwenda kununua samaki kule ferry as he used to be? uteuzi haujafanywa leo, isipokuwa leo umetangazwa tu. And the one who announced is Gerson not JPM.
Kutumia uteuzi as derteminant that he is okay is wrong. He is not okay and he is not in the country. Ndio maana hata kwenye mkutano wa AALCO he will be represented by mama Samia. Lets pray for him for the quick recovery. I'm told leo kapata nafuu na kaweza kufungua macho usiku huu. These are good news lets keep push the prayers. Hata kina Bashe na Polepole wamepata ujasiri to speak it out baada ya mzee kufungua macho usiku huu. Lakini tangu juzi alipozidiwa they were quet as absent b'se they couldnt anticipate what nature could provide.
The most important thing let's keep praying for him, and send our gratitude to Germans kwa kupambania afya ya baba yetu. Tusimuombee mabaya just b'se of political dissimilarities. Our prayers, our unity, our nation, our President.
Ombwe la wadudu wasiozidi 1000000. kumbuka tuko zaidi ya milioni 30 wenye akili nziri. Ukiondoa hao wadusu tuliobaki wote tuko vizuri.
Je uliangalia you tube mubashara comment za kushangilia zilivyokuwa zinaporomoka kwa maelfu??
Amekuwa mnyonge,usiombe kuhukumiwa na mahakama ya jamiiNilichojifunza ni kwamba binadamu ni silaha yenye makali ya pande mbili. Akikuombea wema atakuombea na kukutakia mpaka basi! Na akikutakia shari atakutakia na kukuombea mpaka basi!
Ni jambo jema kama wahusika wakilitafakari.
Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali lakini CCM wao ni wajinga hawataki kukosolewa wamewageuza wapinzani kuwa maadui wao wakubwaNini maana ya upinzani
Wengi kina nani? Unayo idadi?Nimejifunza kwamba utamaduni wa Watanzania kumstahi rais na kumuheshimu sana, siyo tu unaisha, bali unaelekea kwenye utamaduni wa ajabu wa kumtakia mtu, tena rais, kifo.
Hii ni tabia mbaya kwa upande wa wananchi wenye mawazo hayo.
Lakini tabia mbaya hii imepaliliwa na kutiliwa mbolea na ubabe wa rais Magufuli.
Watu waliwakejeli Kikwete na Mwinyi kwa udhaifu wao, lakini haikufikia watu wengi hivi kusheherekea uvumi wa kifo cha rais.
Hakuna watu wabaya kama wakaao kimyaMilioni moja wanaowakilisha hisia zao ni bora kuliko milioni 30 walio kimya.