MFUKO WA RAMBO
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 201
- 114
Acha upumbavuNduli Idd Amin kabla ya mauti yake kumfika alitubu na kumrudia Muumba wake, Ndugu Magufuli yeye ni nani asifanye hivyo? Huko kaburini atakua na hawa wapambe njaa wanao mtetea huku kwenye mitandao?
Kama hatobadirika, ama kwa hakika kifo chake itakuwa ni sherehe kubwa mno.
Magufuli ana tabia ya kutengenezea maadui hata sehemu ambayo hakuna ulazima wa kutengeneza maadui.CCM wengi ndiyo wameshangilia
Hakuna lolote hapo,ni akili zako na ufahamu wako umekufikirisha hivyo, ikumbukwe kuwa jamaa kawashika vibaya sana watu wengi,Tunampenda Raisi wetu na tutazidi kumwombeaNduli Idd Amin kabla ya mauti yake kumfika alitubu na kumrudia Muumba wake, Ndugu Magufuli yeye ni nani asifanye hivyo? Huko kaburini atakua na hawa wapambe njaa wanao mtetea huku kwenye mitandao?
Kama hatobadirika, ama kwa hakika kifo chake itakuwa ni sherehe kubwa mno.
Nduli Idd Amin kabla ya mauti yake kumfika alitubu na kumrudia Muumba wake, yeye ni nani asifanye hivyo? Huko kaburini mtakua naye wewe au mkeo?Acha upumbavu
Jinga weweHakuna lolote hapo,ni akili zako na ufahamu wako umekufikirisha hivyo, ikumbukwe kuwa jamaa kawashika vibaya sana watu wengi,Tunampenda Raisi wetu na tutazidi kumwombea
Sijasema kuogopa kifo. Siwezi ogopa haki yangu ya asili kama kuzaliwa.
Hoja hapa ni "iweje watu wafurahie Kifo" cha binadamu mwingine ilhali wao pia watakufa? Mwenye akili jibu ashalipata!
Unaweza ukathibitisha hicho ulichoandika?daah sijaamini yani kuna wananchi walifurah sana raisi wa nchi kuumwa yani kuna wengi sana wasiompenda Jamaa aisee
Inawezekena una ID ishirini humu; kwa mantik hiyo utasema watu 20 hawampendi ?We kwa akili zako meco ulomuona akiongea leo ni yule wa kawaida? Hujaona alivyo mpole.
Ukweli ni kuwa anaumwa ila hajafariki. Ila kwa jinsi ilivyoonekana mtandaoni ni kuwa hapendwi kabisaaaaa, hata ajifariji namna gani nguvu ilokuwa mtandaoni inaonyesha waz kuwa hapendwi,
OVER
Ben saanane ameonekana vijiwe vya kahawa-Ben Saanane, Azory Gwanda na wengio ni Serikali ya Chama gani nani imewapoteza wewe ndezi?
Trust me,huyu jamaa kawashika sana watu, hamna wapigaji hapa mkuu alafu jibu hoja unaishia kutukanaJinga wewe
Hahaaaaa....Kigogo kawaingizeni mjini nyumbu wakubwa nyie
Magufuli ana tabia ya kutengenezea maadui hata sehemu ambayo hakuna ulazima wa kutengeneza maadui.
Uongozi mbovu hupelekea taifa kuwa na watu wenye maadili ya ajabu.Sijasema kuogopa kifo. Siwezi ogopa haki yangu ya asili kama kuzaliwa.
Hoja hapa ni "iweje watu wafurahie Kifo" cha binadamu mwingine ilhali wao pia watakufa? Mwenye akili jibu ashalipata!
Ben Saanane na Azory gwanda wapo wapi? Tuanzie hapo kwenye hoja yako.Trust me,huyu jamaa kawashika sana watu, hamna wapigaji hapa mkuu alafu jibu hoja unaishia kutukana
Ke..nge katika ubora wakoMagafuli anatakiwa kujifunza kuwa humble na binadamu wenzake. Ukiona binadamu wenzako wanakuombea kifo ujue kuna mahali unawakwaza.
Kuwa humble na binadamu wenzako haimaanishi kwamba usitekeleza majukumu yako kama Raisi.
Mi nadhani aisikilize ile hotuba ya Kikwete vizur kuna kitu atajifunza.