Kunyanyaswa gani mnanyanyaswa!!!!ubaguzi mbaya sana chuki zinaanza pale wapinzani wanaponyanyaswa assume wewe ungekuwepo mpinzani usingeombea mabaya tujifunze kuthamini utu Lisu kupigwa lisasi wewe na genge lako mlikuwa mnafanya nini?
tuna viongozi Wa upinzani hovyo SanaUzushi wa kushtusha kuhusiana na hali ya afya ya Mheshimiwa Rais umechefua watu wengi sana. Ni jambo la kusikitisha zaidi kwamba baada ya kuamini na kukurupuka kama kawaida yao, baadhi ya wasiompenda wamejiacha wazi mno kiasi kwamba hata waliowahi kuonekana wana hekima upuuzi wao umejianika wazi.
1. Utashangiliaje taarifa mbaya dhidi ya rais wa nchi yako?
2. Unawezaje kutaka kiongozi wa nchi yako aonekane mbaya jumla na kupuuza mema mengi anayofanya na kusimamia?
3. Kama ni mbaya kiasi hicho huyo aliye mzuri na kufaa kwa kila jambo ni yupi?
4. Kama huwezi kutofautisha chuki zako binafsi na wema halisi wa kiongozi wa nchi yako hekima yako ipo wapi?
5. Kama ni muhimu sana kushangilia mabaya kwa rais wa nchi yako, kwa nini walau usithibitishe kwanza?
Mh. Mkapa hakukosea sana alipotuita baadhi yetu wapumbavu na malofa wakubwa.
Hivi hata kama kuna mahala amekukosea kweli unawezaje kufurahia mambo kama mali za taifa lako kushikiliwa na mabeberu huko nje?
Asante Mzee Mkapa kwa kauli hii.
Kunyanyaswa gani mnanyanyaswa!!!!
Uite mkuu wa nchi mtu wa ajabu,uachwe hivi hivi,ili ujijenge kisiasa!!!huu upumbavu hauvumiliki,mtagongwa sana na kama mmekaa mkisubiri rais afariki mjipongeze mtazeekea hapo mezani.
Kwa kawaida ulichosema ni sawa usingetegemea hayo yatokee kwa kiwango yalichotokea. Sasa kama yamekuwa hivyo, nadhani ni busara upande wa mkulu nao ujiulize kwa nini yamekuwa hivyo. Kuwaita wapumbavu na malofa sidhani kama kunasaidia, ingekuwa ni hivyo sitaona mantiki ya uzi kama huu.Uzushi wa kushtusha kuhusiana na hali ya afya ya Mheshimiwa Rais umechefua watu wengi sana. Ni jambo la kusikitisha zaidi kwamba baada ya kuamini na kukurupuka kama kawaida yao, baadhi ya wasiompenda wamejiacha wazi mno kiasi kwamba hata waliowahi kuonekana wana hekima upuuzi wao umejianika wazi.
1. Utashangiliaje taarifa mbaya dhidi ya rais wa nchi yako?
2. Unawezaje kutaka kiongozi wa nchi yako aonekane mbaya jumla na kupuuza mema mengi anayofanya na kusimamia?
3. Kama ni mbaya kiasi hicho huyo aliye mzuri na kufaa kwa kila jambo ni yupi?
4. Kama huwezi kutofautisha chuki zako binafsi na wema halisi wa kiongozi wa nchi yako hekima yako ipo wapi?
5. Kama ni muhimu sana kushangilia mabaya kwa rais wa nchi yako, kwa nini walau usithibitishe kwanza?
Mh. Mkapa hakukosea sana alipotuita baadhi yetu wapumbavu na malofa wakubwa.
Hivi hata kama kuna mahala amekukosea kweli unawezaje kufurahia mambo kama mali za taifa lako kushikiliwa na mabeberu huko nje?
Asante Mzee Mkapa kwa kauli hii.
wewe ni uchafu tu kama damu za hedhi siwezi kujibizana na weweKunyanyaswa gani mnanyanyaswa!!!!
Uite mkuu wa nchi mtu wa ajabu,uachwe hivi hivi,ili ujijenge kisiasa!!!huu upumbavu hauvumiliki,mtagongwa sana na kama mmekaa mkisubiri rais afariki mjipongeze mtazeekea hapo mezani.
In research we always determine on majority observation I fully agree CHADEMA members are the most problematic people ever seen in my life.Mkuu;
Huwezi kusema CHADEMA wote ni wapumbavu!
Ninadhani ni baadhi ya wanaCHADEMA.
Aliyekibonyeza alitaka kupima imani za kishirikina walizonazo nzego,coz kuna walioamini kuwa moshi huo ni makombora ya kimakonde.
Ni kweli badala ya kujibu hoja wanamtwanga risasi1.Watu wengi tena waliosoma bado wanaamini tatizo linaweza kutatuliwa kwa kumtakia mtu jambo baya, hatufahamu dhana ya kuwa sisi ndio nahodha wa maisha yetu na maisha tunayoyaishi ni uamuzi wa machaguo tuliyochagua na sio bahati nasibu wala mtu mwengine kusababisha tuwe tulivyo.
2.Upinzani bado hawajakua, bado hawajawa mbadala wa CCM, Wengi wanamchukia Magufuli kwasababu ya kuminywa mirija yao na sio wana uchungu na Watanzania.
3.Serikali imefanya jambo lililosahihi, kwa wakati sahihi katika namna sahihi kabisa.
4.Inawezekana kukawa na mageuzi makubwa ya vyombo vyetu vya usalama na ile mianya ya kuvuja kwa siri ambazo wengine hatupaswi kujua imeanza kuminywa kimya kimya, watu wenye kazi zao wapo kazini.
5.Watanzania tunapenda sana umbeya na Majungu, zamani tulikaa katika vijiwe vijiwe sasa hivi Teknolojia imeturahisishia kuendeleza tabia zetu za umbeya na Majungu.
Kigogo aliaminiwa sana na wanamtandao sasa wanamlisha matango pori ili watu wawe wanampuuza na kwa hili la kuumwa kwa prezda yaani ameingizwa "CHAKADEMUS" 100% watu huko twita wanampa "MAKAVU LIVE".nilichojifunza kigogo wakati mwingine wanamlisha taarifa fake nae hayuko makini kuzihakiki,,i mean angeweza kutumia flightrada ili kuona ndege yeyote ya Tz ikiondoka na kutua Germany,ajipange
Jamii ya jamhuri ya watu wa twiter na jamioforums.Maneno kama haya ndio yanapaswa kukemewa maana ndio yanayoongeza chuki na uhasama kwa jamii.
Ataishi milele,kabebe mimba ujifungue tu.wewe ni uchafu tu kama damu za hedhi siwezi kujibizana na wewe