mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Kunyanyaswa gani mnanyanyaswa!!!!ubaguzi mbaya sana chuki zinaanza pale wapinzani wanaponyanyaswa assume wewe ungekuwepo mpinzani usingeombea mabaya tujifunze kuthamini utu Lisu kupigwa lisasi wewe na genge lako mlikuwa mnafanya nini?
Uite mkuu wa nchi mtu wa ajabu,uachwe hivi hivi,ili ujijenge kisiasa!!!huu upumbavu hauvumiliki,mtagongwa sana na kama mmekaa mkisubiri rais afariki mjipongeze mtazeekea hapo mezani.