ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Faraja ya nini wakati mfarijiwa kazushiwa? Mimi sioni sababu ya Kujipendekeza kumpa pole mtu ambaye ni mzima utaonekana kichaa.Watu watume post za faraja wakati kurugenzi ya habari haijatoa taarifa yoyote kwamba Rais ni mgonjwa...?
Watu wanatumaje post za faraja wakati jambo limefanywa siri...?
Hajafikia wattage ya kunihangaisha, nimempeleka >/dev/null .Hahahahah mkuu unahangaishwa na ma zero brain hayo
Unamaana walimpa wrong information kwa makusudi ili waweke mtego kwa akina Kigogo and company Ltd?Ni kweli Ikulu sasa hivi wamefanikiwa kwa asilimia kubwa kudhibiti uvujaji wa siri tofauti na kipindi cha nyuma! Hii imemdhoofisha sana Zitto kisiasa na kumfanya haonekane kituko!!
Mtoa hoja ya mwanzo hapa kaghafilika.Watu watume post za faraja wakati kurugenzi ya habari haijatoa taarifa yoyote kwamba Rais ni mgonjwa...?
Watu wanatumaje post za faraja wakati jambo limefanywa siri...?
Chuki ilikuwepo na itaendelea kuwepo hata aje nani as long as chadema wapo! Chadema hawajawahi kuishiwa chukiTanzania haipo kawaida Kama zamani, Magufuli kafanikiwa kutenga watu na kutengeneza chuki kubwa miongoni mwao
Kuna mtu kahamua kuanzisha uongo labda kwa chuki zake binafsi au kutafuta attention. Na wengi wakaeneza kwa kuamini ni ukweli.Unamaana walimpa wrong information kwa makusudi ili waweke mtego kwa akina Kigogo and company Ltd?
Unalificha weww au!?Ni wazi kulikuwa na jambo linafichwa!!
Ni wazi kulikuwa na jambo linafichwa!!
Endeleeni kumpa moyo!!!
Ile frailty aliyoonyesha jomba jana, ni wazi anaumwa.Ni wazi kulikuwa na jambo linafichwa!!
Endeleeni kumpa moyo!!!
Most likely tena atatumia high tech, Mossad wapo kazini.Anajipanga kulipiza ngoja apone kabisa utamsikia,
Mtoa hoja ya mwanzo hapa kaghafilika.
Kaandika kwa hisia zaidi ya mantiki.
Hili la kuwataka watu watoe pole wakati Ikulu inaficha ugonjwa ni la kwenda na hisia zaidi kuliko mantiki.
Kutoa pole kwa mgonjwa asiyetaka ugonjwa wake ujulikane ni kumuumbua hadharani na kumtoa faragha zake anazotaka zibakie faragha.
Tuwe tunafikiri kwa mantiki kidogo kuepusha kuandika kwa hisia tu.
Kutungwa uongo kunasaidia taifa au kunalipumbaza taifa.Kwa upande wangu nimejifunza,Taifa LIMEGAWANYIKA,SIYO WAMOJA TENA.
Wazee wetu WAKUU,mh.Mwinyi,mh.Mkapa,mh. Kikwete wakishirikiana na wazee wengine kama Mangula,Msekwa,Warioba,na wazee kutoka vyama vya upinzani na viongozi wa dini wanaweza kulisulu hili Taifa.Acheni hizo siasa zenu UCHWARA,TAIFA LIMEGAWANYIKA.
ama kusema mtu ni mfuasi wa MANGE KIMAMBI AU SARUNGI, kama hujui uliza, si dhambi?Sasa mtu unakuwa mfuasi wa Lema, Zitto au Fatuma Karume hivi unakuwa na akili kweli?
Yani hao ndio tunaowat3gemea kuwa mbadala wa ccm, sasa wao badala ya wawe field kutafiti watalifanyia nini taifa baada ya kuitoa ccm madarakani eti wako busy kwenye account ya kigogo kulishwa umbea.
Kama yule Fatuma nmemdharau sana eti anasema ingekuwaje kama si kigogo.
Na nyie mifuasi yake mnashangilia kama mazuzu.