Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

....Ukitaka fahamu FAMILIA yako na MAJIRANI wana mtizamo gani juu yakoo....."....."
 
Hivi ziara yake huko Lindi leo imefanyika?

Je,Rufiji na Ikwiriri nako jana alienda?

Haya maswali ni ya Kigogo huko twitter na wala si yangu.
Kigogo alipouliza kuhusu hela za ruzuku chadema ulimkabidhi akili yako kama hivi pia?
 
Binadamu utofautiana hisia,katu haziwezi kuwa sawa.Kifo ni sehemu ya maisha,na haiwezi leta vita taratibu zipo zilishapangwa kikatiba ikitokea hiki kifanyike kipi.Nchi uongozwa na katiba sio MTU.Gari haliwezikosa dereva mmiliki akifa.
 
Naona unajifariji baada ya dua lenu la kinyesi kugonga mwamba
Endelea kujipa moyo
 
Yani uvunjike moyo kwa mtu asiyekupa chakula!!!?what the hell!?

Kwani hatakufa huyo mtu wenu?

Acha fikra finyu.The niga is not a God,he is going to die one day,any day.

Acheni kumpa u-Mungu.
Kwa wanufaika ni pigo kwa wahanga ni kicheko
 
Mimi kinacbonisikitisha ni wapinzani kushikwa akili na kigogo mpaka wa naacha kufuatilia mambo ya msingi kama uchaguzi na mengineyo.

Baada ya tarehe 24 mwezi ujao ntakuja hapa kuwakumbusha mlivyo nyumbu
 

Mental slavery, divide and rule, media, mitandanao mingine inajiita huru where we dare to talk openly, what a joke, wengi wana agenda, ni wanaharakati, wana mipango flani, wanalipwa na Wazungu, kueneza sera zao kama Gay Rights, so called human right, democracy.

Wanapigania uhuru wa kuongea wakati huohuo wanawatukana wengine wenye maoni tofauti.

Wanapigania uhuru wa habari wakati huo huo wanafunga accounts za maoni tofauti.

Wanapigania haki za kibinadamu wakati hapa hapa matusi ni kama lugha ya taifa.

Unafiki, uhuni, ujanja ujanja, upotoshaji, matusi, kejeli, kebehi, dharau, bado ni tatizo hapa kwetu. Niishie hapa.

Unajua hata akili ndogo inajua majadiliano, maoni tofauti ndio yanawavutia members wapya, kuikuza website yoyote.

Dawa sio kuwasaka hawa wanaharakati, waachwe waendelee na upotoshaji wao.

Serikali, Rais inabidi wajikite zaidi kufikia malengo ya kuwasaidia Watanzania wengi.

100% focus should be directed to help the poor, improve infrastructure ( elimu, hospitali, barabara, maji, umeme, kujenga mazingira, kuwawezesha watu kufanya biashara, kufungua biashara, kubwa to export our stuffs). Serikali iwaache wapige kelele.

Piga kazi Rais, matokeo yataonekana. Ila usifanye kila kitu mwenyewe waachie Makamu wako, Waziri Mkuu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya,Kata, hadi watendaji vijiji wakusaidie.
 
Dabo std ya nn wengine wameuwawa na majalada yamefungwa sembuse uzushi.
 
aishi maisha marefu akilinda rasilimali za nchi lakini pia aruhusu demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na wa kutoa maoni. kwa ufupi aiishi Katiba ya Jamhuri siyo maneno ya wapambenuksi wanaomzunguka au wanaojipendekeza kwake.
 
aishi maisha marefu akilinda rasilimali za nchi lakini pia aruhusu demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na wa kutoa maoni. kwa ufupi aiishi Katiba ya Jamhuri siyo maneno ya wapambenuksi wanaomzunguka au wanaojipendekeza kwake.
MFALME UISHI MUDA MREFUUUUI
 
Kama Lissu Waliompiga Risasi Mpaka Leo Hawajakamatwa Basi Sioni Sababu Ya Sheria Kufanya Kazi Upande Mmoja.

Ata Kwa Lissu Kulikuwa Na Uwezekano Wa Kutokea Vita Kwani Hamkujua Ilo?
Halafu wngine kweli ni wehu,Lissu ni kichuguu tu nchi hii,vita vitokee sababu ya Lissu,wengine sijui mnafikir kwa kutumia miguu badala ya ubongo kwa kweli
 
swahiba wale wale tano bora maana ndo waliokomolewa sana wamama wawili na madume 3
 
wapumbavu wote wanaomsema rais vibaya mungu awaangamize na familia zao inshaaallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…