Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Nimefanya research,simple randomly sampling
Watanzania wako wa ngapi?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanya research,simple randomly sampling
Milioni 54Watanzania wako wa ngapi?.
Kigogo alipouliza kuhusu hela za ruzuku chadema ulimkabidhi akili yako kama hivi pia?Hivi ziara yake huko Lindi leo imefanyika?
Je,Rufiji na Ikwiriri nako jana alienda?
Haya maswali ni ya Kigogo huko twitter na wala si yangu.
Binadamu utofautiana hisia,katu haziwezi kuwa sawa.Kifo ni sehemu ya maisha,na haiwezi leta vita taratibu zipo zilishapangwa kikatiba ikitokea hiki kifanyike kipi.Nchi uongozwa na katiba sio MTU.Gari haliwezikosa dereva mmiliki akifa.Tarehe 19 na tarehe 20 October 2019 ni siku ambazo wengi wa watanzania hatutakaa tukazisahau maishani mwao.
Tulivunjwa miyoyo,tulikosa matumaini na wengine walitamani kuikimbia nchi aidha kwa kukosa matumaini au kwa kuhofia usalama wao.
Rais anapokuwa amekufa mazingira ya kutatanisha hali hiyo huleta vita ndani ya nchi.Mambo haya yalitokea nchini Rwanda na Burundi ,na nchi nyengine.
Watanzania wengi walikua wanafuatilia ziara ya Rais. Walikuwa wakifurahia sana gafla wanaambiwa na wapinzani eti amekufa tena wapinzani hao wanafurahia kifo hicho.kwa maana nyengine walikuwa wamepanga kifo chicho.
Niseme kuwa Mungu amewatuliza watazania vinginevo yaliyotokea Burundi na Rwanda yangeweza kutokea baada ya kuona watu wanashangilia mabaya juu ya rais.
Wako watu walianzisha au kushangilia mabaya hayo.wanajukikana na wengine wametajwa Leo na Musiba.yako madhara makubwa wamesababisha kutoka na uzushi huo.
Vyombo vya Dora viwasake kote waliko wawekwe ndani mpaka rais atakapotoka madarakani.Hii itakuwa afya kwa taifa letu la Leo na la kesho kwa sababu watu hawa wanavuruga nchi.
Najua wakikamatwa mataifa ya nje yatapiga makelele kama kawaida yao.lakini potelea mbali.kwanza in usalama kwao.
Waziri mwenye dhamana chukua hatua LA sivyo watanzania wengi watawaza mengi juu yako!!
Jibu maswali aliouliza usilete hoja zisizohusika.Kigogo alipouliza kuhusu hela za ruzuku chadema ulimkabidhi akili yako kama hivi pia?
Naona unajifariji baada ya dua lenu la kinyesi kugonga mwambaKuzushiwa kifo si jambo dogo kwa kiongozi wa nchi tena kwa muda wa siku mbili mfululizo wananchi kubaki katika sintofahamu.
Hilo ni moja zaidi yake ni reaction ya watu hasa katika mitandao ya kijamii ambayo ni representative ya wale wasio kuwa nayo mizani kuelekea upande wa wale waliofurahia sana habari hiyo.
Kama Rais akipata wasaa wa kuona mitizamo ya watu kuhusiana na kifo chake, basi tutegemee hasa kuona mabadiliko makubwa katika kauli zake na matendo yake. Kauli za kibabe, kebehi, sipangiwi na mtu, acha kiherehere, Mimi Rais wa wanyonge tutegemee kupungua kwa kiasi kikubwa.
Atakuwa ameona ana kikundi cha watu wachache sana wanaomshangilia na kumpigia makofi kinafiki huku kundi kubwa likiwa linavuja machozi ya damu na hawa ndiyo wanyonge. Kundi hili ndilo lilikuwa linasubiria breaking news ya msiba wa taifa.
Kwa sasa atakuwa anajitafakari sana idadi ya watu isiyomtakia mema hivyo kuangalia approach mpya katika uongozi wake. Huna namna utauona ufalme wa mbingu huku watu ulioukuwa ukiwaongoza wanasherehekea kifo chako.
Kwa wanufaika ni pigo kwa wahanga ni kichekoYani uvunjike moyo kwa mtu asiyekupa chakula!!!?what the hell!?
Kwani hatakufa huyo mtu wenu?
Acha fikra finyu.The niga is not a God,he is going to die one day,any day.
Acheni kumpa u-Mungu.
Tarehe 19 na tarehe 20 October 2019 ni siku ambazo wengi wa watanzania hatutakaa tukazisahau maishani mwao.
Tulivunjwa miyoyo,tulikosa matumaini na wengine walitamani kuikimbia nchi aidha kwa kukosa matumaini au kwa kuhofia usalama wao.
Rais anapokuwa amekufa mazingira ya kutatanisha hali hiyo huleta vita ndani ya nchi.Mambo haya yalitokea nchini Rwanda na Burundi ,na nchi nyengine.
Watanzania wengi walikua wanafuatilia ziara ya Rais. Walikuwa wakifurahia sana gafla wanaambiwa na wapinzani eti amekufa tena wapinzani hao wanafurahia kifo hicho.kwa maana nyengine walikuwa wamepanga kifo chicho.
Niseme kuwa Mungu amewatuliza watazania vinginevo yaliyotokea Burundi na Rwanda yangeweza kutokea baada ya kuona watu wanashangilia mabaya juu ya rais.
Wako watu walianzisha au kushangilia mabaya hayo.wanajukikana na wengine wametajwa Leo na Musiba.yako madhara makubwa wamesababisha kutoka na uzushi huo.
Vyombo vya Dora viwasake kote waliko wawekwe ndani mpaka rais atakapotoka madarakani.Hii itakuwa afya kwa taifa letu la Leo na la kesho kwa sababu watu hawa wanavuruga nchi.
Najua wakikamatwa mataifa ya nje yatapiga makelele kama kawaida yao.lakini potelea mbali.kwanza in usalama kwao.
Waziri mwenye dhamana chukua hatua LA sivyo watanzania wengi watawaza mengi juu yako!!
Dabo std ya nn wengine wameuwawa na majalada yamefungwa sembuse uzushi.Tarehe 19 na tarehe 20 October 2019 ni siku ambazo wengi wa watanzania hatutakaa tukazisahau maishani mwao.
Tulivunjwa miyoyo,tulikosa matumaini na wengine walitamani kuikimbia nchi aidha kwa kukosa matumaini au kwa kuhofia usalama wao.
Rais anapokuwa amekufa mazingira ya kutatanisha hali hiyo huleta vita ndani ya nchi.Mambo haya yalitokea nchini Rwanda na Burundi ,na nchi nyengine.
Watanzania wengi walikua wanafuatilia ziara ya Rais. Walikuwa wakifurahia sana gafla wanaambiwa na wapinzani eti amekufa tena wapinzani hao wanafurahia kifo hicho.kwa maana nyengine walikuwa wamepanga kifo chicho.
Niseme kuwa Mungu amewatuliza watazania vinginevo yaliyotokea Burundi na Rwanda yangeweza kutokea baada ya kuona watu wanashangilia mabaya juu ya rais.
Wako watu walianzisha au kushangilia mabaya hayo.wanajukikana na wengine wametajwa Leo na Musiba.yako madhara makubwa wamesababisha kutoka na uzushi huo.
Vyombo vya Dora viwasake kote waliko wawekwe ndani mpaka rais atakapotoka madarakani.Hii itakuwa afya kwa taifa letu la Leo na la kesho kwa sababu watu hawa wanavuruga nchi.
Najua wakikamatwa mataifa ya nje yatapiga makelele kama kawaida yao.lakini potelea mbali.kwanza in usalama kwao.
Waziri mwenye dhamana chukua hatua LA sivyo watanzania wengi watawaza mengi juu yako!!
Alikuwa kwema maumivu japo ame ajitahidi sana ila alikuwa na humble down to earthHata ile tone yake ya jana pamoja na maumivu lakini alikuwa anapima la kuongea.
MFALME UISHI MUDA MREFUUUUIaishi maisha marefu akilinda rasilimali za nchi lakini pia aruhusu demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na wa kutoa maoni. kwa ufupi aiishi Katiba ya Jamhuri siyo maneno ya wapambenuksi wanaomzunguka au wanaojipendekeza kwake.
Halafu wngine kweli ni wehu,Lissu ni kichuguu tu nchi hii,vita vitokee sababu ya Lissu,wengine sijui mnafikir kwa kutumia miguu badala ya ubongo kwa kweliKama Lissu Waliompiga Risasi Mpaka Leo Hawajakamatwa Basi Sioni Sababu Ya Sheria Kufanya Kazi Upande Mmoja.
Ata Kwa Lissu Kulikuwa Na Uwezekano Wa Kutokea Vita Kwani Hamkujua Ilo?
swahiba wale wale tano bora maana ndo waliokomolewa sana wamama wawili na madume 3Ata watoa wapi? Hiyo vita yao wenyewe huko huko.
Kumbuka ccm ilikuwa na wagombea 42, 2015. Na wote hawakufirahi isipokuwa Magufuli peke yake.
Wasitumie vyombo vya umma kwa mambo ya kichama.
Watumie green guard kuwatafuta, wako huko huko ccm.
Mambo yao ya ndani tutayajuaje sisi?!
Wawatafute humo humoswahiba wale wale tano bora maana ndo waliokomolewa sana wamama wawili na madume 3