Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Hapendwi MTU inapendwa ajira.Inasemekana baadhi ya mawazir walikuwa busy kujadili makamu Wa rais anafaa kuchukua nafasi au lah badala ya kumuombea bwana mkubwa.Nimeamini binadamu ni wanafiki hatari.
 
Nimpongeze Tundu Lisu, amekaa kimya na hata alipotaka kusema alitamka maneno ya kuomba heri ya Mhe.Rais. Kwamba ameandika kutoka moyoni au la ni Siri yake na Mwenyenzi Mungu.

Niwaombe Watanzania tusivae ukatili mkubwa kiasi hiki, kiongoz anapohisiwa kupata tatizo Taifa linakaa kimya na kumwombea mazuri ila nimeshangazwa kuona mtaani hata wale wanaccm tuliotegemea wamwombee afya njema walibadilika na kuanza kujadili Kama Makamu anafaa au la. Sisemi wanaccm wote bali nasema na wale waliofurahia uvumi uliokuwa unaendelea.

Mawazi na wakuu wa Mikoa, mmeonyesha wazi kwamba upo unafiki ndani yenu na hapendwi mtu inapendwa ajira...mlikuwa na Uhuru wa kupost na kutoa tweet za faraja lakini mlikaa kimya na baadhi yenu mliwaza zaidi kuhusu next prezdaa kuliko kufuatilia afya ya aliyepo. Baada ya kutambua kwamba chuma kipo imara mkaondoka kabisa kwenye imani zenu za dini na kuanza kutengeneza posts za matusi na video zisizo na stahaa mkiamini kuwa maradhi na kifo vinaletwa na Binadamu. Kumbukeni na kaeni mkijua siku zote mtu apatwapo na matatizo au mpendwa wako anapopakaziwa kuwa na matatizo ukabaini huu buheri wa afya ni dhambi kuwashambulia wanaopakaza, yakupasa kumtukuza Mungu.

TBC, ninyi Ni chombo Cha Taifa na kinapaswa kusimama Kama chombo Cha Taifa achaneni na siasa na kujiendesha kishabiki...nyimbo ya Gozbeth haikupaswa kupigwa kwa wakati mliopiga...vipindi vyenu kwa siku tatu havikupaswa kupangiliwa mlivyovipangilia....tambueni wajibu wenu.

Kwa watawala, napenda kuwaomba mjifunze kitu kwenye tukio hili. HAKI IMEONDOKA, UHURU UMEONDOKA,USAWA UMEONDOKA, UBINAFSI UMETAWALA, CHUKI IMETAWALA. TAIFA LETU HALIPASWI KUSHANGILIA MABAYA YAWAPATAYO KIONGOZI WAO, TUJITAFAKARI MAANA IPO SIKU TUTASAIDIANA KWENYE SHIDA KUTOKANA NA VYAMA VYETU.

ADUI WA TANZANIA APASWI KUWA WATANZANIA BALI WATANZANIA WANAPASWA KUWA WALINZI WA TANZANIA.
Wewe unalako jambo acha ngonjera dada sisi waelewa tunakujua sana wewe popoma!
 
Tarehe 19 na tarehe 20 October 2019 ni siku ambazo wengi wa watanzania hatutakaa tukazisahau maishani mwao.

Tulivunjwa miyoyo,tulikosa matumaini na wengine walitamani kuikimbia nchi aidha kwa kukosa matumaini au kwa kuhofia usalama wao.

Rais anapokuwa amekufa mazingira ya kutatanisha hali hiyo huleta vita ndani ya nchi.Mambo haya yalitokea nchini Rwanda na Burundi ,na nchi nyengine.

Watanzania wengi walikua wanafuatilia ziara ya Rais. Walikuwa wakifurahia sana gafla wanaambiwa na wapinzani eti amekufa tena wapinzani hao wanafurahia kifo hicho.kwa maana nyengine walikuwa wamepanga kifo chicho.

Niseme kuwa Mungu amewatuliza watazania vinginevo yaliyotokea Burundi na Rwanda yangeweza kutokea baada ya kuona watu wanashangilia mabaya juu ya rais.

Wako watu walianzisha au kushangilia mabaya hayo.wanajukikana na wengine wametajwa Leo na Musiba.yako madhara makubwa wamesababisha kutoka na uzushi huo.

Vyombo vya Dora viwasake kote waliko wawekwe ndani mpaka rais atakapotoka madarakani.Hii itakuwa afya kwa taifa letu la Leo na la kesho kwa sababu watu hawa wanavuruga nchi.

Najua wakikamatwa mataifa ya nje yatapiga makelele kama kawaida yao.lakini potelea mbali.kwanza in usalama kwao.

Waziri mwenye dhamana chukua hatua LA sivyo watanzania wengi watawaza mengi juu yako!!
 
Nimpongeze Tundu Lisu, amekaa kimya na hata alipotaka kusema alitamka maneno ya kuomba heri ya Mhe.Rais. Kwamba ameandika kutoka moyoni au la ni Siri yake na Mwenyenzi Mungu.

Niwaombe Watanzania tusivae ukatili mkubwa kiasi hiki, kiongoz anapohisiwa kupata tatizo Taifa linakaa kimya na kumwombea mazuri ila nimeshangazwa kuona mtaani hata wale wanaccm tuliotegemea wamwombee afya njema walibadilika na kuanza kujadili Kama Makamu anafaa au la. Sisemi wanaccm wote bali nasema na wale waliofurahia uvumi uliokuwa unaendelea.

Mawazi na wakuu wa Mikoa, mmeonyesha wazi kwamba upo unafiki ndani yenu na hapendwi mtu inapendwa ajira...mlikuwa na Uhuru wa kupost na kutoa tweet za faraja lakini mlikaa kimya na baadhi yenu mliwaza zaidi kuhusu next prezdaa kuliko kufuatilia afya ya aliyepo. Baada ya kutambua kwamba chuma kipo imara mkaondoka kabisa kwenye imani zenu za dini na kuanza kutengeneza posts za matusi na video zisizo na stahaa mkiamini kuwa maradhi na kifo vinaletwa na Binadamu. Kumbukeni na kaeni mkijua siku zote mtu apatwapo na matatizo au mpendwa wako anapopakaziwa kuwa na matatizo ukabaini huu buheri wa afya ni dhambi kuwashambulia wanaopakaza, yakupasa kumtukuza Mungu.

TBC, ninyi Ni chombo Cha Taifa na kinapaswa kusimama Kama chombo Cha Taifa achaneni na siasa na kujiendesha kishabiki...nyimbo ya Gozbeth haikupaswa kupigwa kwa wakati mliopiga...vipindi vyenu kwa siku tatu havikupaswa kupangiliwa mlivyovipangilia....tambueni wajibu wenu.

Kwa watawala, napenda kuwaomba mjifunze kitu kwenye tukio hili. HAKI IMEONDOKA, UHURU UMEONDOKA,USAWA UMEONDOKA, UBINAFSI UMETAWALA, CHUKI IMETAWALA. TAIFA LETU HALIPASWI KUSHANGILIA MABAYA YAWAPATAYO KIONGOZI WAO, TUJITAFAKARI MAANA IPO SIKU TUTASAIDIANA KWENYE SHIDA KUTOKANA NA VYAMA VYETU.

ADUI WA TANZANIA APASWI KUWA WATANZANIA BALI WATANZANIA WANAPASWA KUWA WALINZI WA TANZANIA.

Hata Mimi nampongeza Tundu Lissu kwa alichokifanya ila nilitamani sana Mwenyezi Mungu alipotuumba basi angetupa na Macho yenye Uwezo wa Kuona Mioyo ya Watu kama kweli huwa inaendana na yale ambayo huwa yanaandikwa / yanatamkwa.
 
Mwana CCM unawafundisha upinzani kufanya siasa za upinzani,what an irony?

Jamaa wenu alipigwa heart attack scare!

Kaenda kufanyiwa huduma kapona,leo karudi!

Ikija mara ya pili analala flat mamaeeeee!

Mnafanya mchezo na cardiac arrest????

Shubamitiiii
Sawa Dr
 
hapo umepotoka, binadamu hapaswi kushangilia mabaya ya binadamu mwenzao, sio kiongozi tu.., ila kwa kiongozi anapoona kuna baadhi ya watu wanashangilia inabidi kujiuliza, je wanafanya hivyo kwa chuki binafsi au kuna kitu anachofanya kinawa-marginalize.., kumbuka kiongozi inabidi kuongoza wote wanaokupenda na wasiokupenda.
Tatizo kwa sasa viongozi wetu ndo chanzo cha kugawa watu badala ya kuwaunganisha, ukisikiliza hotuba za mheshimiwa rais maeneo ya wapinzani hazina matumaini ya kuliunganisha taifa zaidi kuligawa.Natamani viongozi wote Wa vyama vya siasa hasa ccm watambue sisi ni watanzania kwanza kabla ya vyama.
 
Nimpongeze Tundu Lisu, amekaa kimya na hata alipotaka kusema alitamka maneno ya kuomba heri ya Mhe.Rais. Kwamba ameandika kutoka moyoni au la ni Siri yake na Mwenyenzi Mungu.

Niwaombe Watanzania tusivae ukatili mkubwa kiasi hiki, kiongoz anapohisiwa kupata tatizo Taifa linakaa kimya na kumwombea mazuri ila nimeshangazwa kuona mtaani hata wale wanaccm tuliotegemea wamwombee afya njema walibadilika na kuanza kujadili Kama Makamu anafaa au la. Sisemi wanaccm wote bali nasema na wale waliofurahia uvumi uliokuwa unaendelea.

Mawazi na wakuu wa Mikoa, mmeonyesha wazi kwamba upo unafiki ndani yenu na hapendwi mtu inapendwa ajira...mlikuwa na Uhuru wa kupost na kutoa tweet za faraja lakini mlikaa kimya na baadhi yenu mliwaza zaidi kuhusu next prezdaa kuliko kufuatilia afya ya aliyepo. Baada ya kutambua kwamba chuma kipo imara mkaondoka kabisa kwenye imani zenu za dini na kuanza kutengeneza posts za matusi na video zisizo na stahaa mkiamini kuwa maradhi na kifo vinaletwa na Binadamu. Kumbukeni na kaeni mkijua siku zote mtu apatwapo na matatizo au mpendwa wako anapopakaziwa kuwa na matatizo ukabaini huu buheri wa afya ni dhambi kuwashambulia wanaopakaza, yakupasa kumtukuza Mungu.

TBC, ninyi Ni chombo Cha Taifa na kinapaswa kusimama Kama chombo Cha Taifa achaneni na siasa na kujiendesha kishabiki...nyimbo ya Gozbeth haikupaswa kupigwa kwa wakati mliopiga...vipindi vyenu kwa siku tatu havikupaswa kupangiliwa mlivyovipangilia....tambueni wajibu wenu.

Kwa watawala, napenda kuwaomba mjifunze kitu kwenye tukio hili. HAKI IMEONDOKA, UHURU UMEONDOKA,USAWA UMEONDOKA, UBINAFSI UMETAWALA, CHUKI IMETAWALA. TAIFA LETU HALIPASWI KUSHANGILIA MABAYA YAWAPATAYO KIONGOZI WAO, TUJITAFAKARI MAANA IPO SIKU TUTASAIDIANA KWENYE SHIDA KUTOKANA NA VYAMA VYETU.

ADUI WA TANZANIA APASWI KUWA WATANZANIA BALI WATANZANIA WANAPASWA KUWA WALINZI WA TANZANIA.
Hapo ndipo tulipofikishwa...
Chuki huondosha upendo... ukimchukia jirani pia ndani kwako utachukiwa na unaemlea... haki ikiminywa huibua visasi...
 
Mpaka sasa hivi hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na serikali kuhusu afya ya JPM kuwa alikuwa anaumwa! Huu uvumi uliletwa na kigogo2014 na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii. Rais wetu ni mzima wa Afya na tunamuomba Mungu aendelelee kumlinda.
 
Ukweli ni kuwa hata mawaziri hawakujua kilichokuwa kinaendelea na ndiyo maana walikuwa kimya. Wametumia busara wameendelea kuwa kimya mpaka mwisho. Kuanza kutoa kejeli, mipasho na kushambulia "wazushi" wa mitandaoni was just too low for those who did It! How can a whole minister use such words as "chuma" to describe the president?
 
Kuna chuki Sana mkuu, kumbuka 99 wakat jkn anaumwa, anapelekws Uk mpak anafark, asilimia kubw ya watz walkua na huzun kubwa mno. Leo????
 
Tatizo kwa sasa viongozi wetu ndo chanzo cha kugawa watu badala ya kuwaunganisha, ukisikiliza hotuba za mheshimiwa rais maeneo ya wapinzani hazina matumaini ya kuliunganisha taifa zaidi kuligawa.Natamani viongozi wote Wa vyama vya siasa hasa ccm watambue sisi ni watanzania kwanza kabla ya vyama.

Forget about that; siyo zama hizi. Wakati wa uchaguzi wa1995 upinzani ulipoonyesha hushika kasi Mwalimu alijitokeza kupiga kampeni. Alipoulizwa kwanini alijibu kuwa hawezi kuwa mtazamaji na wakati kuna tishio la watu wasiofaa kuchukua madaraka ya uongozi wa nchi yake (Can not allow my country go to the dogs). Nyerere alikuwa na uwezo wa kuona uongozi ndani ya mtu.
 
Ata watoa wapi? Hiyo vita yao wenyewe huko huko.

Kumbuka ccm ilikuwa na wagombea 42, 2015. Na wote hawakufirahi isipokuwa Magufuli peke yake.

Wasitumie vyombo vya umma kwa mambo ya kichama.

Watumie green guard kuwatafuta, wako huko huko ccm.

Mambo yao ya ndani tutayajuaje sisi?!
 
Jana alikuwa mpole, mnyenyekevu, asiye na mambo mengi, mwenye hekima na busara tele; Ametoa maagizo kwa msisitizo na bila vile vitisho vyake tulivyo vizoea, nk.

Akiendelea na aina ile ya kutoa hotuba, huku akiguswa na kuonesha kuyajali makundi yote kwenye jamii likiwemo kundi lililotengwa la watumishi wa umma; huenda mbele ya safari akarudisha imani kwa hayo makundi yote muhimu kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom