Tabia ni ngozi tabia ya MTU asiliKuna kitu kajifunza labda aamue kuwa kichwa ngumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia ni ngozi tabia ya MTU asiliKuna kitu kajifunza labda aamue kuwa kichwa ngumu.
hata wanajuwa bombardiers hawafiki hata asilimia 2%Kwa taarifa yako hata katiba ya nchi wanaoijua ni wachache sana wenye uelewa wa mambo, hao wengine wasiojua ni lile kundi linaloswagwa kama ng'ombe wa mnadani.
Hivi kwenye watu million 60 MTU mmoja asipokuwepo hio vita itatokea wapi?Uloshawahiona gari likakosa abiria.Nchi ni watu sio MTU.Halafu wngine kweli ni wehu,Lissu ni kichuguu tu nchi hii,vita vitokee sababu ya Lissu,wengine sijui mnafikir kwa kutumia miguu badala ya ubongo kwa kweli
ukitaka kumjuwa mtu njisi alivyo bila chega mpe madaraka na pesa, utaona true color yake. pesa na madaraka havi mbadilishi mtu bali vinapanuwa tabia zake.Kuzushiwa kifo si jambo dogo kwa kiongozi wa nchi tena kwa muda wa siku mbili mfululizo wananchi kubaki katika sintofahamu.
Hilo ni moja zaidi yake ni reaction ya watu hasa katika mitandao ya kijamii ambayo ni representative ya wale wasio kuwa nayo mizani kuelekea upande wa wale waliofurahia sana habari hiyo.
Kama Rais akipata wasaa wa kuona mitizamo ya watu kuhusiana na kifo chake, basi tutegemee hasa kuona mabadiliko makubwa katika kauli zake na matendo yake. Kauli za kibabe, kebehi, sipangiwi na mtu, acha kiherehere, Mimi Rais wa wanyonge tutegemee kupungua kwa kiasi kikubwa.
Atakuwa ameona ana kikundi cha watu wachache sana wanaomshangilia na kumpigia makofi kinafiki huku kundi kubwa likiwa linavuja machozi ya damu na hawa ndiyo wanyonge. Kundi hili ndilo lilikuwa linasubiria breaking news ya msiba wa taifa.
Kwa sasa atakuwa anajitafakari sana idadi ya watu isiyomtakia mema hivyo kuangalia approach mpya katika uongozi wake. Huna namna utauona ufalme wa mbingu huku watu ulioukuwa ukiwaongoza wanasherehekea kifo chako.
Wenger kawaachia pacha wakeJamani hivi Aseno mnakwama wapi?
Samahani Lakini
Tatizo ubongo wako haujai kisoda. Hapa siyo mahali pako, nenda kwenye magazeti ya Tanzanite. Hapa panahitajj Great thinkers tu siyo Buk 7 kama wewe. Get out of here asapMkuu huu uzi una faida gani?
Ukishachafuka ni ngumu kutakakata hata kwa steel wire ya chuma.Fanya mema laki moja moja baya uharibu mazuri yoteJana alikuwa mpole, mnyenyekevu, asiye na mambo mengi, mwenye hekima na busara tele; Ametoa maagizo kwa msisitizo na bila vile vitisho vyake tulivyo vizoea, nk.
Akiendelea na aina ile ya kutoa hotuba, huku akiguswa na kuonesha kuyajali makundi yote kwenye jamii likiwemo kundi lililotengwa la watumishi wa umma; huenda mbele ya safari akarudisha imani kwa hayo makundi yote muhimu kwenye jamii.
AminaBwana atainyoosha kutoka Mbinguni fimbo ya nguvu zake, ili Mh. John Pombe Joseph Magufuli awe na Enzi, Nguvu na Uweza wa ajabu dhidi maadui zake.
Kwa nguvu za Mungu mwenye nguvu natamka kwamba, watafanya kila wanalodhani litamdhoofisha MH. JPM, lakini kamwe kamwe hawataweza. Zaidi sana wataaibika tu. Na aibu yao itakuwa ni LAANA kuu juu yao. LAANA hiyo itaanzia miilini, vyumbani mwao na popote waendapo. Chochote wakiwazacho, wakinenacho, wakitendacho nk. vitakuwa ni LAANA juu yao.
Au la, wanatakiwa kuomba msamaha wa kweli.
Maendeleo ni kwenda kujenga chato Airport kienyeji bila idhini ya bunge?Mlichojifunza nyie wazushi ni kuwa muache majungu na umbea na uzushi, fanyeni yanayowahusu tafuteni pesa mlipe kodi ya serikali nchi ipate maendeleo.
Kwa hiyo wazee wa Ngende Ruangwa wali test mitambo?
Part 1: waliomzushia mabaya Raisi mikonomi mwa MUSIBA, awa Mbogo awatangazia vita kaliKuzushiwa kifo si jambo dogo kwa kiongozi wa nchi tena kwa muda wa siku mbili mfululizo wananchi kubaki katika sintofahamu.
Hilo ni moja zaidi yake ni reaction ya watu hasa katika mitandao ya kijamii ambayo ni representative ya wale wasio kuwa nayo mizani kuelekea upande wa wale waliofurahia sana habari hiyo.
Kama Rais akipata wasaa wa kuona mitizamo ya watu kuhusiana na kifo chake, basi tutegemee hasa kuona mabadiliko makubwa katika kauli zake na matendo yake. Kauli za kibabe, kebehi, sipangiwi na mtu, acha kiherehere, Mimi Rais wa wanyonge tutegemee kupungua kwa kiasi kikubwa.
Atakuwa ameona ana kikundi cha watu wachache sana wanaomshangilia na kumpigia makofi kinafiki huku kundi kubwa likiwa linavuja machozi ya damu na hawa ndiyo wanyonge. Kundi hili ndilo lilikuwa linasubiria breaking news ya msiba wa taifa.
Kwa sasa atakuwa anajitafakari sana idadi ya watu isiyomtakia mema hivyo kuangalia approach mpya katika uongozi wake. Huna namna utauona ufalme wa mbingu huku watu ulioukuwa ukiwaongoza wanasherehekea kifo chako.
Jamani hivi Aseno mnakwama wapi?
Samahani Lakini
Kwani Dereva wa Lisu yuko wapi?Kama Lissu Waliompiga Risasi Mpaka Leo Hawajakamatwa Basi Sioni Sababu Ya Sheria Kufanya Kazi Upande Mmoja.
Ata Kwa Lissu Kulikuwa Na Uwezekano Wa Kutokea Vita Kwani Hamkujua Ilo?
Magufuli ajifunze kuwa CCM wote waliotumbuliwa na CCM wale wasio wanufaika wa utawala wake hawapo pamoja naye kabsa mpaka siku wakianza kunufaika kama CCM wenzao wanaofaidi keki ya Taifa pamoja na magufuli kimya kimya na hata kwa uwazi kama cyprian Musiba anavyolipwa mabilioni kisha kuzuga kuwahadaa watanzania kuwa ni mwanaharakati huruMitandao ya Jamii hasa Twitter na JF zilitawaliwa na habari mbaya juu ya Rais JPM. Watu wengi wamewalaumu sana watoa maoni ambao walikuwa wanamtakia mabaya Mkuu wa Nchi. Hata hivyo kuna matano ya kujifunza na ushauri;
1. Afya ya Rais siyo nzuri, pengine ana mapenzi makubwa ya kuwatumikia Watanzania kwa juhudi na Uzalendo, lakini hajapata mapumziko. Afya yake tumeiona kwenye runinga.
2. Madaktari wanaogopa kumshauri juu ya working hours and over working kutokana na attitude yake ya kutoshaurika.
3. Kuna watu wengi wanampenda na walikuwa wamefadhaika sana wakati mitandao ya jamii ilikuwa inaongea habari mbaya kuhusu yeye.
4. Kuna watu wengi pia wasiompenda kutokana na stahili yake ya uongozi na uamuzi.
5. Mfumo wa mawasiliano wa Ikulu haujui wajibu wake. Labda ulikuwa unataka upate ruksa yake ili utoe taarifa. Je mgonjwa ambaye amepata dharura kubwa anakupaje ruhusa
6. Vyombo vya habari vile vya main-stream vinaogopa kuandika chochote mpaka kwa ruhusa ya Ikulu. Matokeo yake mitandao ya jamii ikabakia ndiyo njia kuu ya habari.
NINI KIFANYIKE:
1. Rais afanye full checkup ya afya yake na apate muda wa kupumzika.
2. Rais ajitathmini style yake uongozi, asifurahie kuogopwa bali ajenge mazingira ya kuheshimiwa
3. Ni vizuri kuna watu wanampenda ila asipuuze sababu za wale wasiompenda. Azifanye kazi na kuchukua hatua.
4. Vyombo vya habari viachwe vifanye kazi zake kitaalamu
Atakama aumini kama uchawi hupo aufanyi uchawi usiwepo..! Kwa clip iliyotembea na kuendelea kung'ang'ania eti afanye checkup ya afya yake ni upuuzi mtupu.
Angeendelea kujificha for one more day aone mbuzi na kuku sKuzushiwa kifo si jambo dogo kwa kiongozi wa nchi tena kwa muda wa siku mbili mfululizo wananchi kubaki katika sintofahamu.