Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Hizi habari za kusema wapinzani ni waathirika wa utawala huu sijui mnazitoa wapi.

Hivi wakulima nao ni wapinzani?
Hata Marekani ambapo mnakuabudu sana maamuzu mengine ya establishment yana athiri watu wa kawaida,lakini sijawahi kuona wananchi wa Marekani wakinanga serikali yao kama Tanzania.Nadhani Watanzania tuna matatizo makubwa.Zipo issues kama za ownership of guns,za uchaguzi,vita ya kiuchumi kati ya Marekani na China ambayo imeathiri uchumi wa Marekani hasa wakulima wa Soya Beans.Katika hali ya kufurahisha, wakulima wale wa Soya beans wame endelea kuiheshimu serikali yao!

Issue ya silaha za kujilinda ni nyeti sana Marekani.Wamarekani kila uchao wanauana.Hata hivyo pamoja na serikali yao kutochukua hatua stahiki za kulitatua tatizo hilo,sijaona upuuzi huu unaoendelea Tanzania.Tunapaswa ku-mature kimawazo and how we solve problems.
 
Umekosa hoja unaishia kuonyesha uduanzi wako hapa. Baada ya kuzusha kifo hao uliowataja wamerudi? Kwa kauli yako inaonekana una ushahidi jinsi walivyopotezwa na serikali weka hadharani basi
Punguani wewe! Hao watu wameuawa kwenye awamu gani ya Serikali? Waliomshambulia Lissu mchana kweupe tena katika makazi ya Vigogo, uchunguzi wao umefikia wapi? Wewe unapaswa kuendelea kugombea "remote" na watoto wa dada yako tu, haya mambo huyawezi.
 
T
Kama kuna mtu aliandika au kutangaza kuwa RAIS wa JMT amekufa basi huyo ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Tena haraka haraka! Jamii forum imekuwa uwanja wa mazuzu. Watoto wengi humu, na mitumwa ya wazungu imejaa humu!
 
Ho
Punguani wewe! Hao watu wameuawa kwenye awamu gani ya Serikali? Waliomshambulia Lissu mchana kweupe tena katika makazi ya Vigogo, uchunguzi wao umefikia wapi? Wewe unapaswa kuendelea kugombea "remote" na watoto wa dada yako tu, haya mambo huyawezi.
Kila kitu Lissu,😏😏😏 huyo lisu bwana ako? Au kakutelekeza na mimba? Tanzania Ni zaidi ya unavyoifikiria!
 
Hivi tunapata wapi ujasiri wa kumuita binadamu CHUMA? Chuma kinaugua? Hata kama ni mapenzi ya kuteuliwa na woga wa kutumbuliwa usipocomment, lakini tusifikie kumfanya binadamu wa kudumu.
 
Ndani ya miaka minne kafanikiwa kuwatokomeza mapangoni mafisadi, wauza madawa na kutumbua wazembe, wawekezaji wanyonyaji na vyeti feki! Katika hiyo hali, lazima utavutia maadui wengi ndani na nje ya nchi..Mwl. Nyerere pia pamoja na ku apply 'coercive diplomacy' na ingawa hakukuwa na chama pinzani bado jamaa hawakumpenda na wakataka kumpindua (sio mara moja wa mara mbili)...
Magu piga kazi, forward ever, backward never!
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe! Huwezi rusha jiwe kwenye muarobaini.
 
Ho
Kila kitu Lissu,😏😏😏 huyo lisu bwana ako? Au kakutelekeza na mimba? Tanzania Ni zaidi ya unavyoifikiria!
Uadilifu wa Rais unapimwa na namna anavyowaongoza watu wake, bila ubaguzi, udini n.k Ili kupima mifano ya hayo ndipo tunapoangalia matendo aliyowafanyia anika Lissu, Ben Saanane, Azori Gwanda na wengineo. Kupitia hayo huyo "jamaa yako" Magufuli anatofauti gani na mtu kama Nduli Idd Amini Dadaa?
Acha kushabikia upumbavu kwa kutetea tumbo tu, unaweza kujikuta "umefanya makubwa zaidi" nyuma ya pazia.
 
Acha kujizani ni mpumbavu. Kuna awamu ambayo watu hawajafa? Kwann vifo unavifanya viwe ni mamlaka ya Raisi? Huyo rais ni Mungu hadi awe na mamlaka yakuzuia usife? Mbna Bibi yako kafa alisababisha Nani?
 
Bibi yangu bado yupo hai hadi leo, turudi kwenye mada. Elfu 7 isikutoe kwenye utu watu, sisi sote tutapita hapa duniani. Ni mbaya sana kulazimisha vifo vya wengine ukidhani wewe huwezi kukutwa na mauti, muda wowote ule.
 
Tumeweza kujua kwamba wasomi wengi wenye kuendesha magari mazuri na kuvaa mavazi nadhifu na kufunga tai, kumbe ni wapumbavu wa kiwango cha kimataifa.

Kuna wasomi wengi tu ambao kwa mtazamo wa nje ni watu wa maana kumbe vichwani they are so stupid and childish.

Nimekuwa nikimheshimu Zitto Kabwe lakini baada ya ile post yake ya Mama Samia, nimemjumuisha katika hilo kundi la hapo juu.
 
Kutoka kwenye binadamu hadi 'chuma' bado kidogo tutafika kwenye mungu Endeleeni kuabudu mtu atae kufa kama wengine. Kwa mbali namkumbuka Sofia Simba na kauli yake tata kwa Lowassa ' Mwanaume wa shoka'.
 
1.Watu wengi tena waliosoma bado wanaamini tatizo linaweza kutatuliwa kwa kumtakia mtu jambo baya, hatufahamu dhana ya kuwa sisi ndio nahodha wa maisha yetu na maisha tunayoyaishi ni uamuzi wa machaguo tuliyochagua na sio bahati nasibu wala mtu mwengine kusababisha tuwe tulivyo.

2.Upinzani bado hawajakua, bado hawajawa mbadala wa CCM, Wengi wanamchukia Magufuli kwasababu ya kuminywa mirija yao na sio wana uchungu na Watanzania.

3.Serikali imefanya jambo lililosahihi, kwa wakati sahihi katika namna sahihi kabisa.

4.Inawezekana kukawa na mageuzi makubwa ya vyombo vyetu vya usalama na ile mianya ya kuvuja kwa siri ambazo wengine hatupaswi kujua imeanza kuminywa kimya kimya, watu wenye kazi zao wapo kazini.

5.Watanzania tunapenda sana umbeya na Majungu, zamani tulikaa katika vijiwe vijiwe sasa hivi Teknolojia imeturahisishia kuendeleza tabia zetu za umbeya na Majungu.
Kweli kabisa Mimi na Wewe tu Watanzania na Tunapenda Sana Umbea sijui Tumerithi Wapi?
 
"Eti Hataki" = heart attack
Heart attack ni magonjwa tabia yanaepukika kwa kubadili tabia kuacha tabia za hasira,chuki,visasi,kushikilia,tuwe na mioyo ya kusamehee kuachilia ili tusiubebeshe moyo sumu itakayopelekea vifo vya ghafla sababu ya moyo kulemewa na mazito ikapelekea kushindwa kuhimili.
 
Back
Top Bottom