Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Hata Marekani ambapo mnakuabudu sana maamuzu mengine ya establishment yana athiri watu wa kawaida,lakini sijawahi kuona wananchi wa Marekani wakinanga serikali yao kama Tanzania.Nadhani Watanzania tuna matatizo makubwa.Zipo issues kama za ownership of guns,za uchaguzi,vita ya kiuchumi kati ya Marekani na China ambayo imeathiri uchumi wa Marekani hasa wakulima wa Soya Beans.Katika hali ya kufurahisha, wakulima wale wa Soya beans wame endelea kuiheshimu serikali yao!Hizi habari za kusema wapinzani ni waathirika wa utawala huu sijui mnazitoa wapi.
Hivi wakulima nao ni wapinzani?
Issue ya silaha za kujilinda ni nyeti sana Marekani.Wamarekani kila uchao wanauana.Hata hivyo pamoja na serikali yao kutochukua hatua stahiki za kulitatua tatizo hilo,sijaona upuuzi huu unaoendelea Tanzania.Tunapaswa ku-mature kimawazo and how we solve problems.