Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

Dah nimecheka sana
 
Kula hela badili line mzee! Akikutafta mwabie uliuziwa simu ya wizi[emoji3] na ukasingiziwa kesi kwahio ulikaa jela miezi 6 bila mawasiliano.

Zingatia kanuni, first date mtoto analiwa kwako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeuliza maswali ya msingi sana kwako, vipi hio hoja hujawauliza wao hasa walau shangazi na Hata ku Google tu, wewe kama wewe umetafakari uamuzi upi, unaweza ukawa just a penipal friend kwa miaka Hii walau 2 more years. Hata ukienda uende kama rafiki wa kawaida kbsa avoid talking sex wait and learn more from there, Malta is more of Italian culture and everything (sina hakika labda nachanganya na Cyprus), islands have loose ball hasa kwa kutegemea leisure/utalii hivo soon utajua mengi but first uwe normal friend.
 
Usiende badala yake mwambie mkutanie nchi iliyopo jirani na Malta Kama unaenda weka namba nitume rambirambi yangu mapema,

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kudate na mtoto chini ya 18 ni kifungo. Kitkachofanyika utafunguliwa kesi ya ubakaji na watasema ulikuwa unataka kutoroka umetumbukia baharini. Acha ujinga. Na hao ni organized crime cartel. Hiyo hela lazima wakuue labda upotee kabisa
 
Ninamjua mtu ambae tulifahamiana hapa JF. Sitomtaja kamwe maana tunaheshimiana ila mara ya Mwisho nimeongea nae video call yupo Malta na amepata mume wa kule na ana mtoto mmoja tayari.

Niliongea nae na mume wake pia tuliongea.

Kumbuka: nimefahamiana nae hapa hapa JF na aliondoka TZ kwenda kusaka life na sasa yupo huko.

Sometimes kufanikiwa maishani kunahitaji ujasiri
 
Yaani unatuuliza sisi kana kwamba ndo tulikupa koneksheni yake.

Kuhusu usalama hapo, hilo ni la kwako

Kuhusu kudate na binti wa miaka 17 hilo ni lako pia

Kuhusu kumzima hiyo dola 2720 hilo la kwako kuamua.

Kuhusu sheria za Malta na maisha yapoje hangaika nalo kwenye google utapata kila kitu.

La msingi kabla haujaondoka, tuma namba yake PM niweze kuwa namcheki mara kwa mara wasije wakakutoa figo na kuuza ili kufidia vichenji chenji vyao ulivyokula
 
Figo mbili ni bei gani kule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…