Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

Fanya utafiti eneo anapoishi au hicho chuo kilipo book hoteli wewe mwenyewe karibu na hicho chuo kabla ya kwenda na ukifika kwa muda flani awe anakuja hapo hotelini muonane hapo usitoke kwanza msome kama anania mbaya na wewe.
 
Mwambie huyo demu apambane aje kama mtalii, mwambie pia mamlaka zimekunyima vibali so hutoweza kwenda malta mpaka wakuruhusu. mwambie wamekuambia nikwasababu zakiusalama.

Then tupe mrejesho atakacho kujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda acha kukatishwa tamaa...wabongo hawapendi maendeleo ya watu...Kama ni kufa utakufa tu hta ukigoma kwenda..
 
Fanya kumuunganisha mwenzio na Ndugu yetu mtz huko sasa!
 
Usisahau KY na Lotion zingine kumbuka na kubeba Kondomu. Unaenda kuliwa sifuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…