Tumelala giza tumeamka bado hakuna umeme !.

Tumelala giza tumeamka bado hakuna umeme !.

Ila Arusha miaka nenda rudi Umeme ni Tatizo, Sijajua changamoto ni nini.
Na ndio makao makuu ya Afrika Mashariki na Mahakama ya Afrika, sasa hawa wageni wanapendezewa na Hali kama hii au wao wana jenereta manyumbani na maofisini kwao.
Je wakitaka kwenda Ku barizi sehemu wakati nchi ipo tororo Kwa Giza , au ndio Wana furahia kuona Hali hiyo . Na hii ni kwendana na Sera ya utunzaji wa Mazingira
 
Back
Top Bottom