Hayo mambo ya kumtegemea mtu hayafai tutengeze Taasisi imara.Nchi za Kiafrika hizi zinahitaji viongozi aina ya Magufuli na Kagame.
Taasisi ambazo hazipenyeki na mafisadi.Hata former CAG kazingumzia sana hili jambo.
Hahaa hayo ni mabalaa aiseeΓna nyota kali mwaka huu kila mtu anataka uwe wake, peleka sadaka ya shukrani
Na ndio makao makuu ya Afrika Mashariki na Mahakama ya Afrika, sasa hawa wageni wanapendezewa na Hali kama hii au wao wana jenereta manyumbani na maofisini kwao.Ila Arusha miaka nenda rudi Umeme ni Tatizo, Sijajua changamoto ni nini.
Funga solar. Nitalipia ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈWamekata tena ππ ilaaa tanesco
Sipati picha joto linavowachapaBora huko arusha kuna baridi huku dar na joto hili usipime!
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app