Tumemuona Rais Trump akicheza na Mkewe baada ya Kuapishwa rasmi, hivyo tunaomba na wengine wakiapisha hivi karibuni nao wacheze na Wake / Waume zao

Tumemuona Rais Trump akicheza na Mkewe baada ya Kuapishwa rasmi, hivyo tunaomba na wengine wakiapisha hivi karibuni nao wacheze na Wake / Waume zao

Siyo kila anachofanya mzungu ni kizuri, na siyo kwa vile Trump amembusu mkewe na siye tuige, ndiyo maana mnaiga hata ushonga na mambo mengine ya hovyo Moto wa LA unawahusu mkiendelea kuigaiga,
Aisee unaelekea kuwa taahira.....
 
Na GENTAMYCINE naomba yoyote yule atakayeapishwa huku Afrika (kama kuna Uchaguzi wowote mwaka huu 2025 japo najua hakuna Uchaguzi wowote katika Kumbukumbu zangu) nae akiwa anacheza Muziki na ama Mkewe au Mumewe mara baada Kuapishwa basi atuonyeshe Manjonjo yake ya kujua Kucheza Muziki (hasa wa taratibu) kama ambavyo Rais Trump ametuonyesha akiwa anacheza na Mkewe Melania Trump leo.
Kwani ni lazima kinachofanywa na Rais wa Marekani na wengine wafanye hivyo ? Kila nchi ina mila na desturi zao!
 
Ni upuuzi tupu.

Kama hao Watawala hawana wenza Mimi binafsi naona kama ni sawa tu, kwanza ni faida kwa Wananchi walipakodi na ni vyema zaidi ikawa hivyo kuliko wawe na wenza Yaani Mume au mke/wake.
Kwa nchi hii ya Tanzania, watawala kuwa na wenza ni hasara kubwa sana kwa Uchumi wa Wananchi na nchi hii kwa ujumla wake kwa sababu hao wenza wanalipwa Mafao manono Sana pamoja na Viinua Mgongo kupitia fedha za Kodi zetu sisi Wananchi.
Aiseeeee,wawili wawili baba,Adam na Hawa
 
Are you Okay upstairs?
 
Back
Top Bottom