Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kuna Mtanzania kijana wa miaka 20 kapigwa risasi baada ya ajali na dogo mwingine wa miaka 19! Mmoja kafa na mwingine atanyongwa 🤔 habari mbaya sana wa Watanzania diaspora na wanajumuia wa Houston na Texas kwa ujumla. Hizi ni kati ya changamoto za kutafuta maisha

===========

Mamlaka katika Kaunti ya Fort Bend huko Texas wamemkamata kijana wa miaka 19 kwa mauaji ya kijana Mtanzania Humphrey Magwira kwa kumpiga risasi baada ya magari ya wawili hao kugongana.

Kulingana na maafisa hao, Ramon Vasquez anasemekana kumpiga risasi Humphrey mara kadhaa katika eneo la makutano ya Beechnut na Addicks-Clodine katika kitongoji cha Mission Bend.

Magwira, 20, alikuwa umbali wa chini ya maili moja kutoka nyumbani kwake wakati alipopigwa risasi ambazo zilimuacha na majeraha mengi ya kabla ya kupelekwa hospitali ambako baadaye alifariki.

============

FORT BEND COUNTY, Texas (KTRK) -- Authorities in Fort Bend County have arrested a 19-year-old for the "senseless" killing of a driver who they say was shot and killed after the two men were involved in a minor crash Friday.

According to officials, Ramon Vasquez is said to have shot Humphrey Magwira multiple times at the intersection of Beechnut and Addicks-Clodine in the Mission Bend neighborhood.

Magwira, 20, was less than a mile away from his home at the time of the shooting. He suffered multiple gunshot wounds before he was flown to a hospital where he later died.

Doorbell video from the area showed Magwira's car T-bone Vasquez's vehicle at the intersection.

Almost instantly, Vasquez stepped out of his vehicle, fired six shots, then got back in his car and sped off.

Vasquez was later arrested and charged with murder.

He's now in the Fort Bend County Jail. His bond was set at $500,000.

"Totally inappropriate actions of one individual to kill another human over some bent metal," one investigator commented. "It's very upsetting. It's senseless."

The entire incident happened in less than 20 seconds.

Those who lead and live in that community commented about the shooting.

"We're talking about a neighborhood here in our county that is, obviously, heavily populated with several homes," said Fort Bend County Sheriff's Office spokeswoman Jacqueline Preston. "It certainly could have been much worse than it was."

"I was very terrified, because I work out outside here," said a neighbor who was awakened by the sound of the shooting. "So, I could have gotten caught in the crossfire."

Investigators originally said it appeared to be a case of deadly road rage, but later said it was not.

Magwira.jpg

Humphrey Magwira

0ab8ac6a9d92852572b051fffd4b71d3.jpg

Ramon Vasquez, kijana ambaye anashikiliwa na mamlaka za polisi kwa mauaji ya Humphrey Magwira
 
Kuna binadamu hawana huruma. Mtu kama huyu kabla hajaua hakusikia ile sauti inayokuonya kabla hujafanya tendo baya? Maana hiyo sauti ipo kwa kila binadamu.

Mara nyingi hiyo sauti inatoaga onyo, usifanye hivyo, matokeo yake ni mabaya, Mungu hapendi.
Ninadamu sisi niwabishi. Sasa ndugu pande zote muuaji na ndugu wa marehemu wako ktk haki gani muda?

Mungu awape wepesi, apumzike kwa amani mdogo wetu.
 
Back
Top Bottom