Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.

Tanzania Tumepoteza IT Guru.

View attachment 1976999
Inasikitisha sana! Kwa nini binadamu anaweza kuwa mnyama wa kiwango hiki!

US, waombee siku moja atokee kiongozi atakayejitolea kuongoza mhula mmoja, akiwa madarakani asukume agenda ya kufanyia mabadiliko makubwa ya sheria ya umilikaji silaha ili kuwa na masharti magumu sana ya mtu kupata kibali cha kumiliki silaha. Siyo jambo rahisi, kwa kuzingatia nguvu walizonazo wamiliki wa viwanda vya kutengeneza silaha na kile chama cha wamiliki silaha, lakini inawezekana.
 
Haiwezekani. Silaha ni biashara kubwa kuliko unavyoijua Marekani. Wanatumia ushawishi wao wa kiuchumi kuwanunua wabunge ili kutetea biashara yao.

Angalia wafadhili wa kampeni za uraisi, utakuta wao ni sehemu kubwa ya chanzo cha hela za kampeni hivyo wanakuwa wamemuweka raisi kibindoni. Endapo hawakumuweka raisi kibondoni basi wabunge. Wengi wa wabunge wananufaika na mauzo ya bunduki kifedha, alafu pia, Marekani kama nchi inauza silaha duniani kote hivyo hawawezi kukubali biashara ife. Bepari anathamini hela kuliko uhai wako
 
Nguvu haipo kweny hivo vyote, nguvu ipo kwenye katiba yao unless wafany mabadiliko ya katiba,
Ajenda nying za Trump zilipofika mahakaman zilikataliwa.
 
Dogo aligongana na mtu mweupe, mtu mweupe akatoka kwenye gari yake akaja kwa dogo na kumpiga risasi sita, mtu mweupe amekamatwa na amefunguliwa kesi ya mauaji. Sasa sijui ni ubaguzi au bhange tu za mtu mweupe
Dogo anamiaka 20?huyo itakua anaishi ma ndgu huko sio mzamiaji huyo,rip dogo
 
Dogo aligongana na mtu mweupe, mtu mweupe akatoka kwenye gari yake akaja kwa dogo na kumpiga risasi sita, mtu mweupe amekamatwa na amefunguliwa kesi ya mauaji. Sasa sijui ni ubaguzi au bhange tu za mtu mweupe
Sidhani kama ni ubaguzi maana hata bongo ishatokea tena na mtu mzito tu. Ni hali fulani tu ya kibinadamu ambayo wengine wanashindwa kuistahimili.
 
Inasikitisha sana! Kwa nini binadamu anaweza kuwa mnyama wa kiwango hiki!

US, waombee siku moja atokee kiongozi atakayejitolea kuongoza mhula mmoja, akiwa madarakani asukume agenda ya kufanyia mabadiliko makubwa ya sheria ya umilikaji silaha ili kuwa na masharti magumu sana ya mtu kupata kibali cha kumiliki silaha. Siyo jambo rahisi, kwa kuzingatia nguvu walizonazo wamiliki wa viwanda vya kutengeneza silaha na kile chama cha wamiliki silaha, lakini inawezekana.

Kweli kabisa ,US mtu unaweza kula CHUMA kwasababu umepita masela bila kuwasalimia.
 
Haiwezekani. Silaha ni biashara kubwa kuliko unavyoijua Marekani. Wanatumia ushawishi wao wa kiuchumi kuwanunua wabunge ili kutetea biashara yao.

Angalia wafadhili wa kampeni za uraisi, utakuta wao ni sehemu kubwa ya chanzo cha hela za kampeni hivyo wanakuwa wamemuweka raisi kibindoni. Endapo hawakumuweka raisi kibondoni basi wabunge. Wengi wa wabunge wananufaika na mauzo ya bunduki kifedha, alafu pia, Marekani kama nchi inauza silaha duniani kote hivyo hawawezi kukubali biashara ife. Bepari anathamini hela kuliko uhai wako
Poleni.Huu ni msiba.
Lakini kisa cha bunduki kuruhusiwa kuwa bidhaa ya kununua kinatokana na aina ya uhuru ambao Wamarekani wapya kutoka Ulaya waliutaka kutofautisha na walikotoka ambako Serikali tu ilipewa ukiritimba wa kuwa na silaha wakati Serikali ilikuwa haiwezi kuweka rehani (guarantee) kutetea kila mahali ambapo mwananchi anaweza kushambuliwa na mtu/watu/wezi wenye silaha! Ni hoja inauma pande zote kama uhuru wa habari, kukusanyika na demokrasia yenyewe.
 
Kuna Mtanzania kijana wa miaka 20 kapigwa risasi baada ya ajali na dogo mwingine wa miaka 19! Mmoja kafa na mwingine atanyongwa 🤔 habari mbaya sana wa Watanzania diaspora na wanajumuia wa Houston na Texas kwa ujumla. Hizi ni kati ya changamoto za kutafuta maisha

Kwenye hii habari hakuna mahali wametanabaisha kuwa aliyeuawa ni mtanzania

FORT BEND COUNTY, Texas (KTRK) -- Authorities in Fort Bend County have arrested a 19-year-old for the "senseless" killing of a driver who they say was shot and killed after the two men were involved in a minor crash Friday.

According to officials, Ramon Vasquez is said to have shot Humphrey Magwira multiple times at the intersection of Beechnut and Addicks-Clodine in the Mission Bend neighborhood.

Magwira, 20, was less than a mile away from his home at the time of the shooting. He suffered multiple gunshot wounds before he was flown to a hospital where he later died.

Doorbell video from the area showed Magwira's car T-bone Vasquez's vehicle at the intersection.

Almost instantly, Vasquez stepped out of his vehicle, fired six shots, then got back in his car and sped off.

Vasquez was later arrested and charged with murder.

He's now in the Fort Bend County Jail. His bond was set at $500,000.

"Totally inappropriate actions of one individual to kill another human over some bent metal," one investigator commented. "It's very upsetting. It's senseless."

The entire incident happened in less than 20 seconds.

Those who lead and live in that community commented about the shooting.

"We're talking about a neighborhood here in our county that is, obviously, heavily populated with several homes," said Fort Bend County Sheriff's Office spokeswoman Jacqueline Preston. "It certainly could have been much worse than it was."

"I was very terrified, because I work out outside here," said a neighbor who was awakened by the sound of the shooting. "So, I could have gotten caught in the crossfire."

Investigators originally said it appeared to be a case of deadly road rage, but later said it was not.
 
Kwani inashindikana nn kuwaa
Wamarekani pale waliporuhusu matumizi ya silaha ni kama na akili zao ziliharibiwa na silaha hizo. Mana kila siku ni kupigana risasi mashuleni,masupermarket,makanisani nk. Kwakweli ni hali inatisha.
Kwani inashindikana nn kuwaambia warudishe silaha hizo kama tunavyofanya huku bongo
 
Kama "WATASHA aka MABEBERU" wamemuamini mimi na wewe ni nani tupinge?
Wapi nimepinga? Nimekwambia tueleze uguru wake amefanya nini?

Unaposema fulani ni guru maana yake unatambuwa kazi zake, mimi simjui, ni wajibu wako kutuambia abc zake badala ya porojo.

Maxence Melo tunamjuwa kwenye IT kwa sababu shughuri yake inajieleza yenyewe hapa JF.
 
Back
Top Bottom