Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

Dogo aligongana na mtu mweupe, mtu mweupe akatoka kwenye gari yake akaja kwa dogo na kumpiga risasi sita, mtu mweupe amekamatwa na amefunguliwa kesi ya mauaji. Sasa sijui ni ubaguzi au bhange tu za mtu mweupe
RAMON VASQUEZ, mshutumiwa wa mauaji, sio mtu mweupe wewe diaspora illiterate wewe !

angalau basi jizoeze kusoma local newspapers mfano hapo kwenu kuna Houston Chronicle , sikiliza NPR Radio ujifunze mambo ya kijamii ya nchi hiyo na pia TV channel ya C-SPAN itakusaidia!

0ab8ac6a9d92852572b051fffd4b71d3
 
Huyo mtu mweupe mwenyewe sasa utadhani papai limevalishwa wigi. Sura woyowoyo kama pila mbwa huyu katuulia mdogo wetu .
 
RAMON VASQUEZ, mshutumiwa wa mauaji, sio mtu mweupe wewe diaspora illiterate wewe !

angalau basi jizoeze kusoma local newspapers mfano hapo kwenu kuna Houston Chronicle , sikiliza NPR Radio ujifunze mambo ya kijamii ya nchi hiyo na pia TV channel ya C-SPAN itakusaidia!

0ab8ac6a9d92852572b051fffd4b71d3
Naliona hapo kwenye picha jeusi kama mpingo
 
Biashara ya silaha inajumuisha watu wakubwa wengi na faida ni kubwa hawawezi kuifuta
Ni kama sigara
Lakini hawaoni kuwa ni tatizo Sasa? Ndugu kama wewe ni mfuatiliaji wa vyombo vya habari vya kwao utakubaliana na mimi kuwa hili limeshakuwa tatizo kubwa USA. Kibaya zaidi wanaoshambulia ni vijana rika la utineja mwishowe wanaenda kupoteza miaka yao ya ujana magerezani. Kuna kipindi iliibuka mwamko wa kuzifanyia mabadiliko sheria za umiliki wa silaha na sijajua iliishia wapi Mana ilionekana kama inapata upinzani mkubwa.
 
RAMON VASQUEZ, mshutumiwa wa mauaji, sio mtu mweupe wewe diaspora illiterate wewe !

angalau basi jizoeze kusoma local newspapers mfano hapo kwenu kuna Houston Chronicle , sikiliza NPR Radio ujifunze mambo ya kijamii ya nchi hiyo na pia TV channel ya C-SPAN itakusaidia!

0ab8ac6a9d92852572b051fffd4b71d3
Na wewe ulivyoandika kwa paniki ni kama ungeukuwa na pistol ungempiga risasi mwenye huo uzi uliojibu
 
Lakini hawaoni kuwa ni tatizo Sasa? Ndugu kama wewe ni mfuatiliaji wa vyombo vya habari vya kwao utakubaliana na mimi kuwa hili limeshakuwa tatizo kubwa USA. Kibaya zaidi wanaoshambulia ni vijana rika la utineja mwishowe wanaenda kupoteza miaka yao ya ujana magerezani. Kuna kipindi iliibuka mwamko wa kuzifanyia mabadiliko sheria za umiliki wa silaha na sijajua iliishia wapi Mana ilionekana kama inapata upinzani mkubwa.

Ni kweli kabisa hili tatizo ni kubwa sana na haliwezi kuisha
Kumbuka wakati Obama alipoingia madarakani alilivalia njuga na kutaka lifanyiwe kazi, ila nguvu yote iliisha maana kama nilivyosema hapo juu ni biashara kubwa inayowaingizia kipato

Haijulikani ni kiasi gani cha wananchi wanaomiliki silaha USA maana wengi wanauziana bila taarifa na wengine wananunua mpaka silaha 100 bila kuhojiwa

Yaani ukitaka uwe na arsenal yako mwenyewe ni wewe tu
Unakuwa na kajeshi kako mwenyewe

Huu ni mtihani
Nakumbuka nilikuwa nafanya kazi sehemu UK kulikuwa na jamaa alidundunduliza hela awapeleke watoto wake Orlando
Siku wameondoka wali book nyumba na gari pia kufika huko wameoga wakasema waende supermarket kununua mahitaji
Ile wanashuka kwenye gari kumbe kuna majambazi wamevamia hapo na risasi zinapigwa

Siku ya nne namuona jamaa karudisha familia anasema huko sio kwa kwenda bora aje kuangalia wanyama [emoji23]
 
Kuna Mtanzania kijana wa miaka 20 kapigwa risasi baada ya ajali na dogo mwingine wa miaka 19! Mmoja kafa na mwingine atanyongwa 🤔 habari mbaya sana wa Watanzania diaspora na wanajumuia wa Houston na Texas kwa ujumla. Hizi ni kati ya changamoto za kutafuta maisha

R.I.P
 
We jamaa hujui kuandika au? Mara ajali, mara risasi, mara kanyongwa, yaani vurugu, ngoja nisome mwenyewe hiyo habari, aagh
 
Ni kweli kabisa hili tatizo ni kubwa sana na haliwezi kuisha
Kumbuka wakati Obama alipoingia madarakani alilivalia njuga na kutaka lifanyiwe kazi, ila nguvu yote iliisha maana kama nilivyosema hapo juu ni biashara kubwa inayowaingizia kipato

Haijulikani ni kiasi gani cha wananchi wanaomiliki silaha USA maana wengi wanauziana bila taarifa na wengine wananunua mpaka silaha 100 bila kuhojiwa

Yaani ukitaka uwe na arsenal yako mwenyewe ni wewe tu
Unakuwa na kajeshi kako mwenyewe

Huu ni mtihani
Nakumbuka nilikuwa nafanya kazi sehemu UK kulikuwa na jamaa alidundunduliza hela awapeleke watoto wake Orlando
Siku wameondoka wali book nyumba na gari pia kufika huko wameoga wakasema waende supermarket kununua mahitaji
Ile wanashuka kwenye gari kumbe kuna majambazi wamevamia hapo na risasi zinapigwa

Siku ya nne namuona jamaa karudisha familia anasema huko sio kwa kwenda bora aje kuangalia wanyama [emoji23]
Unaona shida hiyo Sasa na kingine ndugu haya matukio yamepata nguvu zaidi wakati wa utawala wa Trump kwa sera zake za kibaguzi kwa kuwajaza ujinga wajinga wenzie weupe kujiona wako bora zaidi ya wengine USA.
Kiukweli watu wetu wanaokaa huko wapewe tahadhari kujiepusha mikusanyiko isiyo ya lazima. Matukio haya yanatishs na kuki-create mayhem kwa watu hasa wenye watoto mashuleni. Kuna mama mmoja alihojiwa wanae wamekubwa na hali ya mashambulio hayo mara mbili na kwa shule mbili tofauti. Sasa vaa viatu vya mama huyo na vipi hao wanae mana kwa bahati matukio yote walipona.
 
Neno SAMAHANI huwezi juwa mtu ana waza nini kichwani mwake umegonga gari lake anakuja kwa hasira za kugongewa gari akichanganywa na mawazo mengine, ana kutana na bonge la tusi( kawaida ya wamarekani wengi).
Unategemea hata kama ningekuwa nimeshika jiwe ningekupiga nalo na ndio maana si vizuri kumiliki silaha maana unaweza itumia wakati wowote panapo maudhi yoyote na ukashindwa jimudu kiakili.siongelei tukiolililotokea ila nakumbusha tu tupende tumia neno samahani likae midomoni mwetu ni tiba kwa wengine.
 
Back
Top Bottom