Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Habari za asubuhi, mambo yalikuwaje jana usiku?Jamaa wa Diaspora kuna mmoja alinituma kimfuatilie kampuni afungue nikaangaika anaingia mitini, mara kiwanja mara nn hakuna hata kimoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za asubuhi, mambo yalikuwaje jana usiku?Jamaa wa Diaspora kuna mmoja alinituma kimfuatilie kampuni afungue nikaangaika anaingia mitini, mara kiwanja mara nn hakuna hata kimoja
AiseeInasikitisha sana. Ni mtoto wa dada yake na rafiki yangu [emoji25][emoji25]
Wamarekani nao wana hali ngumu kama sisi ila sisi tuna roho nzuri.Yaani binadamu anamuua binadamu mwengine kwa sababu amegonga gari yake? Kweli inasikitisha.
RIP.
Bange tuDogo aligongana na mtu mweupe, mtu mweupe akatoka kwenye gari yake akaja kwa dogo na kumpiga risasi sita, mtu mweupe amekamatwa na amefunguliwa kesi ya mauaji. Sasa sijui ni ubaguzi au bhange tu za mtu mweupe
Ajabu sana mkuuUnamuua Binadamu mwenzako sababu ya machuma tu!
Rest easy young boy.
Sauti hiyo huwa haidumu milele kwa mtu, ni endapo tu unakuwa una itii, ukikaza moyo mara kwa mara na kwenda kinyume chake, inafifia na kufa kabisaa, hapo sasa ni wewe na macho yako, akili yako!Kuna binadamu hawana huruma. Mtu kama huyu kabla hajaua hakusikia ile sauti inayokuonya kabla hujafanya tendo baya? Maana hiyo sauti ipo kwa kila binadamu.
Watoto wadogo wanayo, na moja ya matokeo yake ni kujua ovu na kuogopa kulitendaSauti hiyo huwa haidumu milele kwa mtu, ni endapo tu unakuwa una itii, ukikaza moyo mara kwa mara na kwenda kinyume chake, inafifia na kufa kabisaa, hapo sasa ni wewe na macho yako, akili yako!
Watoto wadogo wanayo, na moja ya matokeo yake ni kujua ovu na kuogopa kulitenda.
Mfano ni kama mtoto wakiume anayeanza kunamna gani kwa mara ya kwanza, akimwaga tu, anaanza kujutia na haoni kwanini alifanya hivyo na pengine kujisemea sitorudia tena mpaka muda sahihi ufike. Kisha muda unakuja, anatamani tena kwa kile alichoki-feel siku hiyo, vitamanishi viko mbele yake, pengine vizuri na vimenona, kitendea kazi kinasimama ovyo ovyo, nyuzi 45, sauti inamuonya, akili na macho vinamchochea, moyo unamdunda kwa uwoga, akitekeleza tu, moyo una slow down tena, sauti haipo, anabakiwa na kumbukumbu ya maonyo ya sauti, anajutia tena, utaratibu huu unaendelea mpaka sauti inakoma, moyo haudundi kwa spidi tena unapoelekea gesti hata na mke/mume wa mtu, mtoto wa shule n.k
Hapo sauti imekufa, unabakiwa na watu wenye busara kukuasa, sheria za nchi kukuongoza, si huna tena muongozo wa ndani! Ndo hata kumfyatulia mtu risasi kwa issue ya kugonga gari inapokuja, ingawa wanaweza sema magonjwa ya akili yanachangia.
Hiyo ni bange tu!! Unamkumbuka ditopile wa mzuzuri!! Kwa vile kuna tofauti ya rangi tutasema ubaguzi, ila ni hulka ya binadamu kutokana na state aliyopo in emotions, labda kaachwa na mpenziwe muda sio mrefu!!Dogo aligongana na mtu mweupe, mtu mweupe akatoka kwenye gari yake akaja kwa dogo na kumpiga risasi sita, mtu mweupe amekamatwa na amefunguliwa kesi ya mauaji. Sasa sijui ni ubaguzi au bhange tu za mtu mweupe
Wamarekani pale waliporuhusu matumizi ya silaha ni kama na akili zao ziliharibiwa na silaha hizo. Mana kila siku ni kupigana risasi mashuleni,masupermarket,makanisani nk. Kwakweli ni hali inatisha.
Wapi nimepinga? Nimekwambia tueleze uguru wake amefanya nini?
Unaposema fulani ni guru maana yake unatambuwa kazi zake, mimi simjui, ni wajibu wako kutuambia abc zake badala ya porojo.
Maxence Melo tunamjuwa kwenye IT kwa sababu shughuri yake inajieleza yenyewe hapa JF.
Halafu hawa mabwege wanatuhubiria sisi kuhusu democracy msyuuuuuuuuHaiwezekani. Silaha ni biashara kubwa kuliko unavyoijua Marekani. Wanatumia ushawishi wao wa kiuchumi kuwanunua wabunge ili kutetea biashara yao.
Angalia wafadhili wa kampeni za uraisi, utakuta wao ni sehemu kubwa ya chanzo cha hela za kampeni hivyo wanakuwa wamemuweka raisi kibindoni. Endapo hawakumuweka raisi kibondoni basi wabunge. Wengi wa wabunge wananufaika na mauzo ya bunduki kifedha, alafu pia, Marekani kama nchi inauza silaha duniani kote hivyo hawawezi kukubali biashara ife. Bepari anathamini hela kuliko uhai wako