Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

Ila baadhi ya wamarekani hawawapendi watu weusi haijalishi umezaliwa huko au umezamia, wengi wanaigiza. Sasa kama hivyo ukiingia kwenye 18 zake anakumaliza.
Maerkani sio nchi salama yakusema unaenda kuishi huko. Labda vacation tu unarudi zako.
Dogo aligongana na mtu mweupe, mtu mweupe akatoka kwenye gari yake akaja kwa dogo na kumpiga risasi sita, mtu mweupe amekamatwa na amefunguliwa kesi ya mauaji. Sasa sijui ni ubaguzi au bhange tu za mtu mweupe
 
Ila baadhi ya wamarekani hawawapendi watu weusi haijalishi umezaliwa huko au umezamia, wengi wanaigiza. Sasa kama hivyo ukiingia kwenye 18 zake anakumaliza.
Maerkani sio nchi salama yakusema unaenda kuishi huko. Labda vacation tu unarudi zako.
Hata vacation ukizubaa unalambwa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Tunapewa silaha ili kujilinda na majambazi, matokeo yake silaha zinatupa ugonjwa wa akili; kama unamatatizo ya akili usimiliki silaha
 
Unaona shida hiyo Sasa na kingine ndugu haya matukio yamepata nguvu zaidi wakati wa utawala wa Trump kwa sera zake za kibaguzi kwa kuwajaza ujinga wajinga wenzie weupe kujiona wako bora zaidi ya wengine USA.
Kiukweli watu wetu wanaokaa huko wapewe tahadhari kujiepusha mikusanyiko isiyo ya lazima. Matukio haya yanatishs na kuki-create mayhem kwa watu hasa wenye watoto mashuleni. Kuna mama mmoja alihojiwa wanae wamekubwa na hali ya mashambulio hayo mara mbili na kwa shule mbili tofauti. Sasa vaa viatu vya mama huyo na vipi hao wanae mana kwa bahati matukio yote walipona.

Hali ni mbaya kwa kweli
Tena inatisha
 
Rest in peace kijana ulie kua unapambania ndoto zako lakini mzungu asie na huruma kakatisha uhai wako na kuipa jeraha familia yako poleni sana wanafamilia, marekani vijana wengi ni ma psychopath.
IMG_20211017_121920.jpeg
 
Rest in peace kijana ulie kua unapambania ndoto zako lakini mzungu asie na huruma kakatisha uhai wako na kuipa jeraha familia yako poleni sana wanafamilia, marekani vijana wengi ni ma psychopath.View attachment 1977584

Hapa ndipo nachoka na wabeba box ,yaani wamekaa huko USA zaidi ya miaka 10 lakini usd 20,000 mpaka watembeze MABAKULI.
 
Kuna Mtanzania kijana wa miaka 20 kapigwa risasi baada ya ajali na dogo mwingine wa miaka 19! Mmoja kafa na mwingine atanyongwa [emoji848] habari mbaya sana wa Watanzania diaspora na wanajumuia wa Houston na Texas kwa ujumla. Hizi ni kati ya changamoto za kutafuta maisha

Unakuta muuaji ana stress za mapenzi kaachwa na malaya wake ana hasira kama Hamza
JamiiForums-489022816.jpg
 
Kuna binadamu hawana huruma. Mtu kama huyu kabla hajaua hakusikia ile sauti inayokuonya kabla hujafanya tendo baya? Maana hiyo sauti ipo kwa kila binadamu.

Mara nyingi hiyo sauti inatoaga onyo, usifanye hivyo, matokeo yake ni mabaya, Mungu hapendi.
Ninadamu sisi niwabishi. Sasa ndugu pande zote muuaji na ndugu wa marehemu wako ktk haki gani muda?

Mungu awape wepesi, apumzike kwa amani mdogo wetu.
Kuna wakati huwa nachangia humu JF pale wasiowahi fika Marekani au kusafiri kwenda nje ambao wanaona Marekani au Ulaya ni Kanaan au ni nchi za maziwa na asali kuwa zunguka wee nenda hadi mwezini hapa Bongo ni peponi na maisha yetu ni mazuri sana kulinganisha na maisha ya songombingo za ughaibuni lakini wengi hawaelewi ,kibaya zaidi sisi ngozi nyeusi hatupendwi kabisa na hizi ngozi nyeupe. Marekani maisha ya ngozi nyeusi ni sawa tu na maisha ya kuku, wakati wowote unaweza uawa au kuzuriwa. Mtu mweusi haishi kwa amani huko ughaibuni na hana haki,kila jambo baya linamuangukia yeye.
 
Kuna mmoja alizaana na binti wa kizungu, huyo baba alitusimulia kuwa wale watu ni wa aguzi sana.
Alisema kuna wakati alikuwa akienda kumsalimia mwanae akifika pale nyumbani hata hawamujali, yaani jinsi wanavyo mcare paka wao ni zaidi wanavyo mcare yeye.

Alisema pamoja na kutoa matumizi yote ya mtoto ila hana uhuru na yule mtoto.anasema anajuta kuzaa na ngozi nyeupe.
 
Back
Top Bottom