King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wewe vipi umekaa Tz miaka yako yote unaweza kutoa $20,000 bila kujiandaa?!
Ilitakiwa walimalize wao kama wao tu kwenye umoja wao wanaoishi huko....Tz na US kiuchumi hatulingani hata kidogo,kama ningekuwa US usd 100k au 200k ingekuwa kitu kidogo sana achilia mbali hizo usd 20,000......Huo ndiyo ukweri.
US wameendelea kitambo sana ,nina imani hata kwenye mambo ya bima wapo advanced sana ,kama huku TZ kuna bima ambazo zinagharamia misiba,vp kuhusu marekani walioendelea zaidi ya miaka 200 iliyopita?