Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

RAMON VASQUEZ, mshutumiwa wa mauaji, sio mtu mweupe wewe diaspora illiterate wewe !

angalau basi jizoeze kusoma local newspapers mfano hapo kwenu kuna Houston Chronicle , sikiliza NPR Radio ujifunze mambo ya kijamii ya nchi hiyo na pia TV channel ya C-SPAN itakusaidia!

0ab8ac6a9d92852572b051fffd4b71d3
Katoboa sikio
 
Ni kweli kabisa hili tatizo ni kubwa sana na haliwezi kuisha
Kumbuka wakati Obama alipoingia madarakani alilivalia njuga na kutaka lifanyiwe kazi, ila nguvu yote iliisha maana kama nilivyosema hapo juu ni biashara kubwa inayowaingizia kipato

Haijulikani ni kiasi gani cha wananchi wanaomiliki silaha USA maana wengi wanauziana bila taarifa na wengine wananunua mpaka silaha 100 bila kuhojiwa

Yaani ukitaka uwe na arsenal yako mwenyewe ni wewe tu
Unakuwa na kajeshi kako mwenyewe

Huu ni mtihani
Nakumbuka nilikuwa nafanya kazi sehemu UK kulikuwa na jamaa alidundunduliza hela awapeleke watoto wake Orlando
Siku wameondoka wali book nyumba na gari pia kufika huko wameoga wakasema waende supermarket kununua mahitaji
Ile wanashuka kwenye gari kumbe kuna majambazi wamevamia hapo na risasi zinapigwa

Siku ya nne namuona jamaa karudisha familia anasema huko sio kwa kwenda bora aje kuangalia wanyama [emoji23]
Mmmh Wana vurugu kinoma bas
 
RAMON VASQUEZ, mshutumiwa wa mauaji, sio mtu mweupe wewe diaspora illiterate wewe !

angalau basi jizoeze kusoma local newspapers mfano hapo kwenu kuna Houston Chronicle , sikiliza NPR Radio ujifunze mambo ya kijamii ya nchi hiyo na pia TV channel ya C-SPAN itakusaidia!

0ab8ac6a9d92852572b051fffd4b71d3

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna binadamu hawana huruma. Mtu kama huyu kabla hajaua hakusikia ile sauti inayokuonya kabla hujafanya tendo baya? Maana hiyo sauti ipo kwa kila binadamu.

Mara nyingi hiyo sauti inatoaga onyo, usifanye hivyo, matokeo yake ni mabaya, Mungu hapendi.
Ninadamu sisi niwabishi. Sasa ndugu pande zote muuaji na ndugu wa marehemu wako ktk haki gani muda?

Mungu awape wepesi, apumzike kwa amani mdogo wetu.
Kuna vitu hujapitia mkuu ni ngumu kuelewa, lakini mara nyingi wauaji wanasema wakishaua mara moja, ile trauma (PTSD) ya mauaji ya kwanza inapelekea wanakuwa kama akili imeswitch, hivyo lazima tu kuna matukio utajikuta umeua tena. Huyo jamaa inawezekana ameshaua watu zaidi hata ya 20 lakini hii kesi ndiyo vyombo vya sheria vikafanikiwa kumkamata.
 
Inasikitisha sana! Kwa nini binadamu anaweza kuwa mnyama wa kiwango hiki!

US, waombee siku moja atokee kiongozi atakayejitolea kuongoza mhula mmoja, akiwa madarakani asukume agenda ya kufanyia mabadiliko makubwa ya sheria ya umilikaji silaha ili kuwa na masharti magumu sana ya mtu kupata kibali cha kumiliki silaha. Siyo jambo rahisi, kwa kuzingatia nguvu walizonazo wamiliki wa viwanda vya kutengeneza silaha na kile chama cha wamiliki silaha, lakini inawezekana.
Wale jamaa wenye viwanda vya kutengeneza silaha hawawezi kukubali abadani asilani, they are capable of anything, ikiwemo kuhakikisha Rais hashindi awamu inayofuata. Hili ni janga kwa US na kwa dunia nzima linakuja.

Alale salama kijana mdogo wa kitanzania.
 
Kuna vitu hujapitia mkuu ni ngumu kuelewa, lakini mara nyingi wauaji wanasema wakishaua mara moja, ile trauma (PTSD) ya mauaji ya kwanza inapelekea wanakuwa kama akili imeswitch, hivyo lazima tu kuna matukio utajikuta umeua tena. Huyo jamaa inawezekana ameshaua watu zaidi hata ya 20 lakini hii kesi ndiyo vyombo vya sheria vikafanikiwa kumkamata.
Kabisa hata hivyo wanasema damu ya mtu lazima imuandame. Ndo 40 zomefika sasa
 
Kabisa hata hivyo wanasema damu ya mtu lazima imuandame. Ndo 40 zomefika sasa
Hebu tafakari, kijana mdogo kama huyo amekuwa katili hivyo, future yake itakuwaje? Hapo ana miaka 19, akifikisha miaka 40 itakuaje?!
Lakini kama atapata matibabu ya kisaikolojia anaweza kusamehe past yake na akaendelea na maisha kama raia wa kawaida. Lakini asipokuwa chini ya uangalizi mzuri na yeye lazima tutasikia ameuawa ama ameua tena.
 
Hakuna cha matibabu ni ubaguzi wa rangi, baadhi ya wazungu wanaona ngozi nyeusi kama laana vile.
 
Hakuna sehemu niliposema mzungu nimesema mweupe, Duniani kuna mtu mweusi na mweupe tu hao wahindi wekundu hawana tofauti ki rangi na John Deep
Wewe ndio unalazimisha hivi, ni sawa na kulazimisha duniani kuna dini mbili tu, Ukristo na Uislamu kwa sababu ndio mwisho wa upeo wako wa kuelewa mambo.

Nenda South Africa tu hapo kuna White, black, coloured na Indian.

Wewe huna unalolielewa hapa duniani, lack of exposure.
 
Kuna Mtanzania kijana wa miaka 20 kapigwa risasi baada ya ajali na dogo mwingine wa miaka 19! Mmoja kafa na mwingine atanyongwa 🤔 habari mbaya sana wa Watanzania diaspora na wanajumuia wa Houston na Texas kwa ujumla. Hizi ni kati ya changamoto za kutafuta maisha

Msiba uko wapi huku bongo?
 
Wewe ndio unalazimisha hivi, ni sawa na kulazimisha duniani kuna dini mbili tu, Ukristo na Uislamu kwa sababu ndio mwisho wa upeo wako wa kuelewa mambo.

Nenda South Africa tu hapo kuna White, black, coloured na Indian.

Wewe huna unalolielewa hapa duniani, lack of exposure.
Narudia tena nimesema mweupe na si mzungu
 
Ujana! Una-drive, unamiliki silaha, nk. Hizi sinema ni nzuri lakini ni mbaya sana. Ni uongo ambao wameufanya uonekane ni uhalisia.
Utemiutemi nk. Vijana wanaiga.
Angalia umri wenyewe, 20 kwa 19.
Ona sasa wegawana majengo ya Serikali
 
Back
Top Bottom