Fabio santolo
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 321
- 241
Usilinganishe kumpiga mtu konzi na kumkata pangaKuna wengine humu jf kipindi cha uongozi wa kikwete walikuwa hawajazaliwa...utakuta li-mtu linakomaa kwamba kipindi cha mwendazake tuliokota maiti kwenye viroba,kama vile hayo mambo hayakuwepo kabla ktk nchii hii
Mbona sasa hivi unaiunga mkono kupitia Samia?Na aliyehusika kumteka na kumtesa leo hii ni mbunge. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
Na Dr Sengondo Mvungi je?Mwangosi aliuawa na askari kwa sababu ya mob psychology tu ya maaskari, huwezi kumtuma askari akaue mtu kwa bomu la machozi.
Ulimboka huyo alipewa kibano kidogo tu cha kumshikisha adabu maana alikuwa anaendesha migomo isiyokoma ya madaktari ya kuparalyse huduma za Afya kwa wananchi, kwanza alipaswa ashitakiwe kwa kusababisha vifo vya watu wengi sana sababu ya kuendesha migomo kinyume cha taaluma ya utabibu
Sasa tuambie hawa wafuatao
Maiti za kwenye viroba
Ben Saananei yuko wapi
Simon Kanguye yuko wapi
Kamanda mawazo vipi?
Aliyempiga risasi tundu Lisu
Aliyemteka Roma mkatoliki
Aliyemteka Mo
Achilia mbali waliokufa kwa presha sababu ya uporaji wa pesa zao
Au waliokufa kwa mshtuko wa moyo kwa kuvunjiwa nyumba zao
Au waliokufa kwa msongo wa mawazo kwa kuporwa korosho zao
Huo ni uhalifu kama uhalifu mwingine ni kama vile alivyouawa padri ZanzibarNa Dr Sengondo Mvungi je?
Na kubenea na Boss wa GSM na sakata la tindikali je?
Nakumbuka kulikuwa na mzungu alipewa kazi ya kusimamia menejimenti, Ulimboka akawaongoza madaktari kumtoa ofisini mzungu yule.Namkumbuka ulimboka. Aliongoza madaktari wagome watu wasifanyiwe upasuaji wala kutibiwa akaitwa ikulu akagoma raisi akaamua awaachie usalama wa nchi wazungumze nae.
In fact.Despite all.
Magufuli was the most foolish ruler in the land.
Utakuwa na ukurutu kwenye ubongo wewe si bure.Mimi naunga mkono mambo mazuri anayofanya Samia,akifanya ya ovyo napiga spana. Kamwe siwezi kuiunga mkono CCM.Mbona sasa hivi unaiunga mkono kupitia Samia?
Na 2025 nasikia unamtupa kapuni Lisu uko na mama
Tanzania ni huru mno bila nduli Jiwee.Najua uzi kama huu unaisimamia Tanzania Huru watu wengi hawaupendi.
Basi kwa kuwa Samia anafanya vizuri mi 10 tena kwake!Utakuwa na ukurutu kwenye ubongo wewe si bure.Mimi naunga mkono mambo mazuri anayofanya Samia,akifanya ya ovyo napiga spana. Kamwe siwezi kuiunga mkono CCM.
Funzo kubwa lile.Nakumbuka kulikuwa na mzungu alipewa kazi ya kusimamia menejimenti, Ulimboka akawaongoza madaktari kumtoa ofisini mzungu yule.
Alifanya fujo akisahau kuwa JK alikuwa kashika mpini. Picha yake akiwa amelala kitanda cha hospitali iliwatia huruma watu wengi walioitazama.
Huyu hakumuona Magu, angemuona angemuingiza kwenye kundi la Mwl. Nyerere 🤔!Wakukumbukwa na kuenziwa nchi hii ni Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere tu, hao wengine wote wametuingiza kwenye matabaka mabaya kabisa, hebu msikilize kwa makini Chipukizi huyu, he was the only President I can dare to call Hero of the Nation
Nyerere aliitwa Ndugu
Magu hana sifa ya kuingizwa kwenye kundi la akina Nyerere,Kaunda,Mandela Nkwame Nkrumah n.k bali kundi lake ni akina Sabaya,Makonda,Nkurunzinza,Kagame,Mabotu,Idd Amin,Mseveni na wengine wanaofanana na hizo tabia za umimi.Huyu hakumuona Magu, angemuona angemuingiza kwenye kundi la Mwl. Nyerere 🤔!
Huo ni mtazamo wako! Mtazamo wangu na kwa waliowengi tunajua yupo kwenye kundi la Mwl J. K. Nyerere! Kundi hili halimhusu Mandela, maana yy aliwasaliti wazanzi!Magu hana sifa ya kuingizwa kwenye kundi la akina Nyerere,Kaunda,Mandela Nkwame Nkrumah n.k bali kundi lake ni akina Sabaya,Makonda,Nkurunzinza,Kagame,Mabotu,Idd Amin,Mseveni na wengine wanaofanana na hizo tabia za umimi.
Kwa lipi??? Nyerere kawaunganisha Watanzania,Magufuli kawagawa Watanzania.Huo ni mtazamo wako! Mtazamo wangu na kwa waliowengi tunajua yupo kwenye kundi la Mwl J. K. Nyerere! Kundi hili halimhusu Mandela, maana yy aliwasaliti wazanzi!
Wewe uliyeachwa mjane ndiyo una msongo wa mawazo kwani yule dhalim mumeo anabanikwa kama mshikaki huko jehanam. Sisi huku ni vicheko na bata sana kuondokewa na mtesi wetuBasi kwa kuwa Samia anafanya vizuri mi 10 tena kwake!
Alafu uache hasira na kutukana hovyo hiyo ni dalili ya mtu mwenye msongo wa mawazo
Kwa mtazamo wa akina Kambona, Mwl. Nyerere aliwagawa watz! Kama ww Kambona wa leo😜! Ni mtazamo hasi wako tu hakuna lolote la maana! Kipindi cha Mwl, hilo kundi lenu la akina Kambona lilikuwa dogo sana, awamu zilizofuata baadaye zimelikuza na sasa na mnamuona Mh. Dr. JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power, amen) kuwa mwiba sana kwenu kwa kuvuruga agenda zenu za upigaji😜!Kwa lipi??? Nyerere kawaunganisha Watanzania,Magufuli kawagawa Watanzania.