WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Tunaofuata falsafa ya Nyerere hata siku moja hatuwezi kubaliana na hoja za Magufuri za kuthamini vitu kuliko wananchi wake,kujipendekeza pendekeza,uono uongo,ubabe ubabe,umimi mimi.ukanda ukanda,ukabila ukabila,dharau dharau,ikulu kuhamishiwa kwao,hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na tunu za taifa.Kwa mtazamo wa akina Kambona, Mwl. Nyerere aliwagawa watz! Kama ww Kambona wa leo😜! Ni mtazamo hasi wako tu hakuna lolote la maana! Kipindi cha Mwl, hilo kundi lenu la akina Kambona lilikuwa dogo sana, awamu zilizofuata baadaye zimelikuza na sasa na mnamuona Mh. Dr. JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power, amen) kuwa mwiba sana kwenu kwa kuvuruga agenda zenu za upigaji😜!