Tumesahau alichofanywa Dkt. Ulimboka, Mwangosi na Said Kubenea. Nchi hii ni ya kinafiki sana

Tunaofuata falsafa ya Nyerere hata siku moja hatuwezi kubaliana na hoja za Magufuri za kuthamini vitu kuliko wananchi wake,kujipendekeza pendekeza,uono uongo,ubabe ubabe,umimi mimi.ukanda ukanda,ukabila ukabila,dharau dharau,ikulu kuhamishiwa kwao,hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na tunu za taifa.
 
Wewe uliyeachwa mjane ndiyo una msongo wa mawazo kwani yule dhalim mumeo anabanikwa kama mshikaki huko jehanam. Sisi huku ni vicheko na bata sana kuondokewa na mtesi wetu
Nmekwambia tu jitahidi ufanye kazi upate hela ili uachane na umasikini unaokufanya uwe na msongo wa mawazo kiasi hiki
 
Nmekwambia tu jitahidi ufanye kazi upate hela ili uachane na umasikini unaokufanya uwe na msongo wa mawazo kiasi hiki
Usihamasisishe watu kunyamaza hata kama kuna kitu kinawaumiza kwa kisingizio cha kujali sana maslahi yako,huo ni unyonge.
 
Basi hujakielewa unachokifuata i see😜! Hayo unayompakazia hayamhusu JPM! Kila kona ya Tz imejengwa na kuneemeka kwa mara ya kwanza Tz! Labda kama kuwa rais kunaondoa haki ya kupata maendeleo sehemu atokayo rais! Nenda Msoga ukaone maana halisi ya uyasemayo siyo Chato!
 
Usihamasisishe watu kunyamaza hata kama kuna kitu kinawaumiza kwa kisingizio cha kujali sana maslahi yako,huo ni unyonge.
Nimemwambia nani anyamaze?

Nmemwambia mbali na kukosoa ila atafute hela aondokane na umasikini unaomsababishia kuwa na stress na kuandika vitu vya kijinga
 
JK hakuwa msafi 100% lakini alikuwa na ubinadamu sn, dikteta yeye ni risasi mwanzo mwisho.
 
kuna watu wamekaa na kutufanya kama hatuna akili, mambo ya watu kutekwa, kuuawa na kuteswa yalianza awamu ya nne kwa hiyo wasijifanye kutuambia heri ya fulani sisi ndio tunajua nani mzuri nani mbaya
 
Hii nchi hakuna kundi la "wanafiki" kama CHADEMA.
Hili ni genge wa "wahuni" na "wanafiki" kupindukia.
Sasa hivi wanamshabikia Madam SSH utafikiri yeye siyo mwana-CCM. Kila analofanya SSH wanampa sifa na kumtukuza as if she is one of them.

Wamesahau kwamba mvinyo ni ule ule, kilichobadilika ni chupa tu basi.
 
Wewe mimi siyo mtoto ninaongea nilichokiona kwa hao wote wawili na siyo hadithi hadithi kama vile za Mkwawa au Kinjekitile Ngwale,
 
Dah moto unawaka humu ndani baada ya muda utalipuka tu
 

Ukifuatikia kwa ndani mwangosi hakuuawa bahati mbaya. Alikuwa akidhaniwa kuwa ni chadema kwa muda mrefu. Hicho kibano kidogo unachosema nawaza ungekuwa umekipata wewe au baba yako kama ingekuja shuhudia haya maneno. Mungu alimponya Mwangosi kama Tundu Lissu alivyoponywa. Akina Kubenea walimwagiwa Tindi Kali.

Vijana wengi walikufa kwa matumizi ya madawa ya kulevya na biashara hiyo.

Hao uliowataja nikutajie walipo unaonesha kuwa wewe huna akili maana sijaona palipoandikwa kuwa mleta mada anawafahamu hao. Udhalimu mnapoupaka rangi flani au kuutetea kwa misingi ya kabila,dini au itikadi ni kukubali kuwa upande wa udhalimu indirect.
 
Umewafikiria waliokufa kwa kukosa madawa,kujifungu matumizi ya madawa ya kulevya?mabomu ya mbagala,mauaji ya albino n.k? Ungeomba tulio ndani tukuelezee kinachofanyika. Mngekuwa na akili mngedai katiba mpya wauaji wote haijalishi walikuwa na nafasi gani washtakiwe. Asiwepo wa kuwa juu ya sheria.
 
Kwani nani kakubishia tunakubaliana na hoja zako mkuu
 
Mkuu ndo maana uchaguzi wa 2015 dr. Slasa alishinda hawakumtangaza tuanzie hapo.

Kwanini? hakutangazwa

usiwalaumu watanzamia walitekeleza wajibu wao
 
Wewe mimi siyo mtoto ninaongea nilichokiona kwa hao wote wawili na siyo hadithi hadithi kama vile za Mkwawa au Kinjekitile Ngwale,
🤣🤣🤣🤣 Nyie vijana mliozaliwa 2000s mna maneno sana.....🤣🤣🤣🤣
 
Nmekwambia tu jitahidi ufanye kazi upate hela ili uachane na umasikini unaokufanya uwe na msongo wa mawazo kiasi hiki
Sisi bado tunasherehekea kuondokana na dikteta uchwara, njoo ujirushe huku huyo harudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…