comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Sasa kama kaonyeshwa hivyo kosa lake liko wapi: kuonyesha jinsi jambo fulani litakavyotokea au kusema kwamba kaonyeshwa litatokea hivyo? Kama kutabiri ni vibaya, unasema nini kuhusu utabiri wa hali ya hewa?Watu kama hawa ndio wakukamata acheni kuhangaika na Mbowe, hakuna cha unabii wala nini ahojiwe inawezekana kuna Siri anazijua nyingi anajifanya nabii.
Kashaona Yule alietabiri mwezi wa pili kua kutaanguka jengo kkoo mwisho wa mwaka huu naye anaiga anataka kutrend.
Huu Uhuru WA kuabudu unaharibu mambo ndio maana kagame anafungia makanisa, inamaana hapo anaharibu hata biashara za watu waliopo kwenye hilo jengo wateja wataogopa kwenda.
Unafananishaje utabiri wa Hali ya hewa unaotumia mitambo ya kisasa na hawa matapeli?Sasa kama kaonyeshwa hivyo kosa lake liko wapi: kuonyesha jinsi jambo fulani litakavyotokea au kusema kwamba kaonyeshwa litatokea hivyo? Kama kutabiri ni vibaya, unasema nini kuhusu utabiri wa hali ya hewa?
Ndio, hawa ndio inawezekana wanajua uhuni unaofanyikaAkabanwe mpaka aseme
Hawa NI kuwakamata kuweka ndaniHuyo nabii tapeli anatafuta kiki. Hawa ndio wanadumaisha taifa
Ulitaka atabiri kifo chakoo mkuu huyu ndio habariyamujini hapa naulizia kanisalake.likowapiWatu kama hawa ndio wakukamata acheni kuhangaika na Mbowe, hakuna cha unabii wala nini ahojiwe inawezekana kuna Siri anazijua nyingi anajifanya nabii.
Kashaona Yule alietabiri mwezi wa pili kua kutaanguka jengo kkoo mwisho wa mwaka huu naye anaiga anataka kutrend.
Huu Uhuru WA kuabudu unaharibu mambo ndio maana kagame anafungia makanisa, inamaana hapo anaharibu hata biashara za watu waliopo kwenye hilo jengo wateja wataogopa kwenda.
View attachment 3159151
Anatakiwa atafute namna ya kuzuia hilo tukio lisitokee; hii ya kutabiri tu alafu tukio linatokea inaweza kupelekea kutafakari tofauti.Sasa kama kaonyeshwa hivyo kosa lake liko wapi: kuonyesha jinsi jambo fulani litakavyotokea au kusema kwamba kaonyeshwa litatokea hivyo? Kama kutabiri ni vibaya, unasema nini kuhusu utabiri wa hali ya hewa?
Kwanini kioneshe mimi nina tongotongo....!!!Ukijiona kwenye kioo una tongo tongo usoni, jukumu lako ni kuondoa tongo tongo sio kuvunja kioo.
Kongo tower liko Narungombe na Congo linauza viatu vya kiume pale undergroundWatu kama hawa ndio wakukamata acheni kuhangaika na Mbowe, hakuna cha unabii wala nini ahojiwe inawezekana kuna Siri anazijua nyingi anajifanya nabii.
Kashaona Yule alietabiri mwezi wa pili kua kutaanguka jengo kkoo mwisho wa mwaka huu naye anaiga anataka kutrend.
Huu Uhuru WA kuabudu unaharibu mambo ndio maana kagame anafungia makanisa, inamaana hapo anaharibu hata biashara za watu waliopo kwenye hilo jengo wateja wataogopa kwenda.
View attachment 3159151
🤣 🤣 🤣Sasa kama kaonyeshwa hivyo kosa lake liko wapi: kuonyesha jinsi jambo fulani litakavyotokea au kusema kwamba kaonyeshwa litatokea hivyo? Kama kutabiri ni vibaya, unasema nini kuhusu utabiri wa hali ya hewa?
🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣