MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Hujielewi!Watu kama hawa ndio wakukamata acheni kuhangaika na Mbowe, hakuna cha unabii wala nini ahojiwe inawezekana kuna Siri anazijua nyingi anajifanya nabii.
Kashaona Yule alietabiri mwezi wa pili kua kutaanguka jengo kkoo mwisho wa mwaka huu naye anaiga anataka kutrend.
Huu Uhuru WA kuabudu unaharibu mambo ndio maana kagame anafungia makanisa, inamaana hapo anaharibu hata biashara za watu waliopo kwenye hilo jengo wateja wataogopa kwenda.
View attachment 3159151