Tumeshapata pa kuanzia kuhusu ghorofa kuanguka Kariakoo

Tumeshapata pa kuanzia kuhusu ghorofa kuanguka Kariakoo

Kwani sayansi ndiyo inaeleza kila kitu? Sayansi inakwambia nini kuhusu kusaidiana wakati wa shida na raha? Sayansi inakwambia nini kuhusu kusameheana au kupendana? Sayansi inakwambia nini kuhusu ratiba yako uliyopanga kesho? Sayansi inakwambia nini kuhusu haki za binadamu? Kwa haya machache, utaona kwamba sayansi haina majibu yake. Yet, ni mambo ya ayotokea katika maisha yetu ya kila siku. Sayansi inakwambia nini kuhusu kumpenda mkeo na kuwafanya watoto wako wawe na makuzi bora? Sasa kama sayansi haina majibu yake ina maana hayo mambo hayatokei?
Vingine vinapimika, ila vya imani huwa havipimiki; kwa hiyo inaweza kuwa ni kichaka cha kufanya uovu.
 
Ebu tamka kwa sauti na jamii isikie, fulani atakufa siku fulani, alafu afe uone?
Sijuinajadili na mtu mwenye uelewa kiasi gani, wewe unaonekana hata bundi akitua kwenye paa lenu utasema umerogwa una akili isiyotaka kueleimishwa. As i said before pp huwezi kusema hayo maneno pekee yanaweza kusababisha ushtakiwe unless kuna corroborative evidence sio tu bare words utterred on lose air Anyway. nimekuelewesha lakini ni vema uendelee kuelewa unavyoelewa pia ni vizuri itasaidia wanaoelewa wajue wanajadili na mtu wa level gani.p Have a great weekendp
 
Watu kama hawa ndio wakukamata acheni kuhangaika na Mbowe, hakuna cha unabii wala nini ahojiwe inawezekana kuna Siri anazijua nyingi anajifanya nabii.

Kashaona Yule alietabiri mwezi wa pili kua kutaanguka jengo kkoo mwisho wa mwaka huu naye anaiga anataka kutrend.

Huu Uhuru WA kuabudu unaharibu mambo ndio maana kagame anafungia makanisa, inamaana hapo anaharibu hata biashara za watu waliopo kwenye hilo jengo wateja wataogopa kwenda.

View attachment 3159151
Sasa hapo kuna shida gani?
 
Sijuinajadili na mtu mwenye uelewa kiasi gani, wewe unaonekana hata bundi akitua kwenye paa lenu utasema umerogwa una akili isiyotaka kueleimishwa. As i said before pp huwezi kusema hayo maneno pekee yanaweza kusababisha ushtakiwe unless kuna corroborative evidence sio tu bare words utterred on lose air Anyway. nimekuelewesha lakini ni vema uendelee kuelewa unavyoelewa pia ni vizuri itasaidia wanaoelewa wajue wanajadili na mtu wa level gani.p Have a great weekendp
Elimu ni nini?, elimu ni kuyakana mawazo yako uliyozaliwa nayo na kubeba mawazo ya watu wengine kichwani mwako.

Turudi kwenye mada, huwa napenda kufundisha kwa mifano; ebu mtamkie jirani yako kuwa kesho atakufa, na jamii ikusikie, alafu kifo kitokee; nadhani si ajabu na wao wakakutanguliza kaburini.​
 
Mie nishamalizana nawe mzee we elewa unachoelewa acha kukaza fuvu. Nachoweza kukuambia ni kwamba we lawyers always say "the Court is not your mother.." Kwamba unaweza kuja na falllacies tu ukasema ashtakiwe mtu kwa just mere words bila corroborative facts. Labda kama unasema Polisi waanzie upelelezi hapo lakini sio kwenda nae mahakamani bila other facts forming part of evidence. Huwezi kujq na maneno tu ya mtaani hayo hata mwendawqzimu anaweza kuyatamka, kama huna supporting evidence it is as good as love poem mzee. Learn or Perish.
 
Elimu ni nini?, elimu ni kuyakana mawazo yako uliyozaliwa nayo na kubeba mawazo ya watu wengine kichwani mwako.

Turudi kwenye mada, huwa napenda kufundisha kwa mifano; ebu mtamkie jirani yako kuwa kesho atakufa, na jamii ikusikie, alafu kifo kitokee; nadhani si ajabu na wao wakakutanguliza kaburini.​
Mie naongelea mahakama we unaongelea mambo ya mtaani unaweza kuona tupo angle tofauti so relax we amini na hoja zako za mtaani
 
Mie nishamalizana nawe mzee we elewa unachoelewa acha kukaza fuvu. Nachoweza kukuambia ni kwamba we lawyers always say "the Court is not your mothe." Huwezi kujq na maneno tu ya mtaani hayo hata mwendawqzimu anaweza kuyatamka, kama huna supporting evidence it is as good as love poem mzee. Learn or Perish.
Najua kisheria haitakuwa na mashiko, lakini mpaka ifike mahakamani kwenye kutafsiri sheria, utakuwa tayari ulishapotea.
 
Mie naongelea mahakama we unaongelea mambo ya mtaani unaweza kuona tupo angle tofauti so relax we amini na hoja zako za mtaani
Ni sawa na kusema, ukiona mistari ya punda milia barabarani we vuka tu bila kujihami; bila kujua chombo cha moto kinaweza kufeli mfumo na kikakugonga pale pale.
 
Elimu ni nini?, elimu ni kuyakana mawazo yako uliyozaliwa nayo na kubeba mawazo ya watu wengine kichwani mwako.

Turudi kwenye mada, huwa napenda kufundisha kwa mifano; ebu mtamkie jirani yako kuwa kesho atakufa, na jamii ikusikie, alafu kifo kitokee; nadhani si ajabu na wao wakakutanguliza kaburini.​
Ungesema kwako "elimu ni..." Lakini ulivyoiweka ni kama vile definition ya elimu ndiyo kama ulivyoiweka, wakati ni mlevi tu anayeweza ku'define' elimu namna hiyo.
🤣🤣🤣
 
Kwani uovu unaofanyika duniani ni kwa sababu ya imani tu? Kuna vichaka vingi tu vya uovu. - matumizi mabaya ya madaraka, uchawa, etc.
Nakubaliana na hoja yako, kuhusu imani ni sawa na kosa la kimaamuzi kusukumiwa marehemu ambaye hawezi kujitetea.
 
Ungesema kwako "elimu ni..." Lakini ulivyoiweka ni kama vile definition ya elimu ndiyo hiyo ulivyosema, wakati hiyo ni mlevi tu anayeweza ku'define' elimu hivyo.
🤣🤣🤣
Kwa mtu aliye elimika lazima uwe na 'definition' yako; ndio maana huwa tuna 'criticize definitions' za wengine na kuja na zetu; na wewe unatakiwa uni 'criticize' uje na ya kwako, na si kukariri za wengine.​
 
Nakubaliana na hoja yako, kuhusu imani ni sawa na kosa la kimaamuzi kusukumiwa marehemu ambaye hawezi kujitetea.
Huwa tunasumbuka ku'define' imani. Actually, imani ni 'trust' uliyonayo kuhusu mtu, jambo fulani au deity. Ukitoka nyumbani asubuhi kwenda ofisini mjini na kisha baada kazi, kwa nini tunarudi nyumbani? Ni kwa sababu unaamini nyumbani kwako kuko kama ulivyokuacha asubuhi na ndiyo maana unarudi bila wasiwasi na wala huwezi kukosea njia, unless kama njia uliyoitumia Ina matengenezo ya dharura na kuna divergence. Kwangu mimi hii ni aina moja ya imani - firm conviction/trust kwamba unarudi nyumbani na utakuta kila kitu kikiwa kama ulivyokiacha.
 
Back
Top Bottom