Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
Watangulie na mama yao ili baba afe peke yake🤔Marehemu hasemwi ila nimejisikia vibaya sana. Watoto wamefunga shule tokea mwezi wa 12 mwanzoni, kwann wasitangulie na mama yao?
Msiba ungekua mdogo.Watangulie na mama yao ili baba afe peke yake🤔
WanaCCM mnaotokea Burundi mnatuharibia sana lugha yetu ya KISWAHILIHata misiba ya kusafirisha, wakikodi gari jichenge.
Kuna Mambo mengi ambayo hatuyaoni
Siku yako ya kufa ikisha fika hakuna kitu chochote chenye uwezo wa kuzuia hilo.Msiba ungekua mdogo.
MwiliweWanaCCM mnaotokea Burundi mnatuharibia sana lugha yetu ya KISWAHILI
Kweli kabisa..Watz ni watu wajinga Sana .
Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.
Baba
Mama
Watoto
Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.
Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Wapi huko tena?Marehemu hasemwi ila nimejisikia vibaya sana. Watoto wamefunga shule tokea mwezi wa 12 mwanzoni, kwann wasitangulie na mama yao?
sawa mbona wamegawana sawa wangesafiri kwa magari tofautiWatz ni watu wajinga Sana .
Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.
Baba
Mama
Watoto
Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.
Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Inauma sanaWatz ni watu wajinga Sana .